Sigonella Island
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 13,484
- 40,858
Ndio mkuuBoko Magengeni [emoji3]
Ndio mkuuBoko Magengeni [emoji3]
Unakaza fuvu sanaBado wanasubiliwa wajae mkuu, maana wameitwaa ardhi tukufu ya Russia [emoji2957]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Bize sana kuipa moyo Ukraine.Uingereza wanamaslahi gani kwenyehiivita. Naona wakobize hasa makachero wake kulikohata US. Au anabifu na warusi.
una chuki sana na russiaDunia hii tunaishi kiakili na hicho ndicho us anafanya..,sio kutumia miguvu kama super pawer wa mchongo [emoji12]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wewe soma tuu si wengine ni vipaji tumepitia vitu vingi kwa vitendo...
Si kweliWaafrika tunashida mahali. Ipo siku tutakumbuka kwanini hatukusimama na Ukraine.
pointlessCha msingi ni kwamba yule anayejiita super pawer anaendeleaa kupigishwa danadana, mengine yote ni chai
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Acha kujifanya mjuajiSawa mkuu maana mbongo ukimwambia unajua kitu cha kwanza ni kukasirika anaona kama vita kumbe kawaida tuu...punguza stress ufurahie maisha sio muda wote vita tuu tena na watu usiowajua
Mbona mna hasira sana vip...au ndio ile takwimu ya AfyaAcha kujifanya mjuaji
Hujui chochote kuhusu vita
Kama kasiriko hiviWewe ni mpumbavu uache kuomba poo wewe mmatumbi unayetegemea ARV kutoka Marekani ije Marekani iombe poo?
Tupe link au tuonyeshe Huo uharibifu BasiZaidi ya watu 10 wa Kherson Oblast wamekufa baada ya makombora kudondoka kwenye mji uliotajwa kukombolewa na Ukraine wiki 2 zilizopita.Urusi iliwataka watu wote waondoke upande wa kulia wa mto Dnipro na hatimae na majeshi yake yakaondoka upande huo ambapo majeshi ya Ukraine yaliingia kwa furaha na kutangaza kuukomboa mji huo.
Dalili za kukosekana kwa usalama mjini humo zilianza mapema wiki hii wakati serikali ya Ukraine nayo ilipowataka wananchi waliobaki waondoke na kwamba iko tayari kuwalipia gharama zote za kuhama,
Mashambulia ya Kherson yamekuja siku 3 tu tangu mvua nyengine ya makombora yalipopiga miji yote mikubwa ya Ukraine na kusababisha umeme na maji kukatika katika maeneo hayo.
Mashambulia hayo vile vile yamekuja siku chache tu tangu waiengereza waliposema Urusi imebakiwa na makombora yanayotosha kupiga UJkraine kwa mfululizo yasiyozidi siku tatu.
Katika hatua nyengine raisi wa Ukraine amesema Urusi hawajui kupigana.Wanachojua ni kupiga watoto na kuripua vinu vya umeme na maji.
Ukraine sio nchi ndogo tafadhali ukraine haipishani sana ukubwa na TANZANIA tukotoa Morogoro na dodoma nafikiri itakuwa sana kabisa na ukraine, Bara la Ulaya nchi kubwa kuliko zote ni Urusi na inayofuatia ni UKRAINE ,,,,, UKRAINE ni powerful imejiandaa vizuri sana kijeshi amepata support kubwa from NATOFashisti Putin haamini anachokiona mbele ya macho yake..,kanchi kadoogo Tena jirani yake kamekuwa mbogo[emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Piga mashoga hao
OkHao EU hadi wataomba po
USA anajinufaisha kupitia hii vita
Kias chakeHuyu mama alikuwa kiongozi bora sana