Lakini ww si ndo msemaji wa NATO humu ndani?Mkuu kilaza mbona Povu la Doffi?! Hlf mbn unalazimisha nijibu!? Kwani Mimi nafanya kazi kwenye maghala ya silaha ya wamagharibi,nenda ubalozi wa US ukawaulize[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Inakarbia kuanguka hali ni mbaya sana kwa upande wa Nato.Bakhmut
Hapo mwisho wa siku habari itakuwa ni moja tu.[emoji635][emoji635][emoji635] kuchukua mjiNi vizuri pia kujiandaa kisaikolojia kupokea habari hasi au chanya
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ni swala la muda tu kufungua blanch yetu ya Vodka hapo BakhmutInakarbia kuanguka hali ni mbaya sana kwa upande wa Nato.
🇺🇦 Ukrainian military in Bakhmut (Artemovsk), which is being stormed by Russian PMC fighters.Ni swala la muda tu kufungua blanch yetu ya Vodka hapo Bakhmut
Best wishesHapo mwisho wa siku habari itakuwa ni moja tu.[emoji635][emoji635][emoji635] kuchukua mji
Unategemea Russia wakwambie kwamba wanataka kuondoka zapozhia??[emoji635][emoji1255][emoji779]️Zaporozhye nuclear power plant in Energodar remains under Russian control, the city administration said in response to reports from a number of media
"The media are actively spreading fakes that Russia is allegedly planning to withdraw from Energodar and leave the Zaporizhzhya NPP. This information is not true," the administration said in a statement.
Kuna pro NATO wa buza walikuwa wanasema urusi inajiandaa kuondoka hapo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mrusi bado yupo Sana hapo na mtakoma kipindi cha baridi hiki hatutoi umeme
Bakhmut ina siri gani MKUU maana linapiganiwa muda sanaJiji la bakhamut ni maafa kwa jesh la ukraine
Muandiko wako unafanana na wa @pietro1. Karibu 90% ya Mafuta ya Urusi ambayo yanaingia Europe yanapita baharini na si kwenye mabomba.
2.India na China hayanunui mafuta ya Urusi kwa Bei iliyopo sokoni Ila wananunua mafuta mengi Urusi sababu wanapata discount hivyo faida haiwezi kulingana na Ile aliyokua akipata Europe.
Na sasa China inapambana na COVID imerudi Kwa Kasi wachina wanaingia quarantine hivyo consumption ya Mafuta ya China inatarajiwa kushuka Sana miezi ijayo hali itakayopelekea kushuka kwa Bei ya Mafuta duniani maana China ndio mnunuzi mkubwa wa mafuta duniani.
Hili ni pigo kwa Urusi.
3.Hayo sio maneno yangu,ni kutokana na data za IEA
IEA: US challenges Russia for Europe crude oil supplier rank
Sept. 16, 2022
The US is the main contender to become Europe’s biggest supplier of crude oil as refiners scramble to source alternative supplies ahead of a looming EU sanctions deadline, the IEA said in its latest monthly Oil Market Report.
OGJ editors
The US is the main contender to become Europe’s biggest supplier of crude oil as refiners scramble to source alternative supplies ahead of a looming EU sanctions deadline, the International Energy Agency (IEA) said in its latest monthly Oil Market Report.
By August, the gap between imports of Russian and US barrels narrowed to just 40,0000 b/d, from a 1.3 million b/d pre-war average. US crude oil made up for almost half of lost Russian volumes in the region.
4. Ngoja tuone itakavyokua lakini Europe imesema haitahusika na bima za Meli ambazo zitabeba mafuta ya Urusi kwa Bei kinyume na Ile inayokubaliwa na EU.
Turkey ni mfano wa nchi ambazo zitapiga Marufuku meli ambazo hazijawa insured kupita pale Bosporus