Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Ni mara tano ya Himars.Accuracy yake ni nzuri sana
Sasa ivi tupo Bakhmut.unakwama wapi kiongoziWakuu,zile shule na mitaala ya elimu ya kirusi iliyokuwa imeshafunguliwa huko kheson itaendelea kufanya kazi ,au
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Zelensk vijana wanazidi kuteketea.ebu kabidhi mji wa Bakhmut kwa Warusi
[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hivi Ukraine winter ndo imeanza mvua inanyesha ya kutosha,tope la kufa Mtu barafu la haja halafu we unatuletea video kuna jua kama la DAR [emoji23][emoji23][emoji23]. proRussia mtaacha lini uongo[emoji23][emoji23][emoji23]Zelensk vijana wanazidi kuteketea.ebu kabidhi mji wa Bakhmut kwa Warusi
Hii vita inachosha bhas tu[emoji23][emoji23][emoji23]Naona member wamefuatilia hàdi wameenda likizo
Pande zote wamechoka lakini hakuna anayetaka kushindwa. Hii inaweza fika 2024Naona hata hao nato wamechoka nayo .Wengi hawapendi ifike mwakani