Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Povuuuuuu la foma Goldddd. Unataka video wakati umeshatuongopea.

Temperature below freezing point hlf Shekhe unatuletea video ardhi kavuuu,hata kiukungu kidogo hamna,vibarafu vya uongo na kweli hamna,jua kama la hapa manzese kwa mfuga mbwa hlf unatulazimisha tukubali hizo fix[emoji23][emoji23][emoji23]. TUMEKATAAAAAA
Unaleta mipasho tu alafu uleti hata video moja ya hali ilivyo.unaona kabisa hali ya hewa ya mvua alafu unataka sijui nini zaidi ya ivyo au mpaka barabarani kuwe na matope[emoji1787][emoji1787][emoji1787].hakuna barafu kwa sasa Bakhmut.ukileta video ya barafu kwa siku ya jana na leo basi mi nafuta acount yangu jamii forrum
 
Usisahau kuwapa rip pia Hawa waliolambishwa mchanga wakiwa wamelala kifudifudi[emoji848]
1668946752966.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Unaleta mipasho tu alafu uleti hata video moja ya hali ilivyo.unaona kabisa hali ya hewa ya mvua alafu unataka sijui nini zaidi ya ivyo au mpaka barabarani kuwe na matope[emoji1787][emoji1787][emoji1787].hakuna barafu kwa sasa Bakhmut.ukileta video ya barafu kwa siku ya jana na leo basi mi nafuta acount yangu jamii forrum
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akili za kuambiwa changanya na zako Shekhe.

Nenda katafute ardhi inakuaje wakati temperature ikiwa chini ya sifuri,hlf kule ni porini sio barabarani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Usifute account Shekhe unadhani ukifuta sisi tutaburudika wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
"Kherson will be Russian forever" - Putin

Baada ya mwezi mmoja katimua mbio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kwani vita imeisha?Only 30% ya kherson Iko Ukraine,the rest Russia ameshikilia!
Subirini siku Russia akiondoka kabisa Ukraine ndio mshangilie,else endeleeni kupigana to the last Ukrainian soldier!Wakimbizi ndio watakuja kuanza kujenga nchi Yao!
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akili za kuambiwa changanya na zako Shekhe.

Nenda katafute ardhi inakuaje wakati temperature ikiwa chini ya sifuri,hlf kule ni porini sio barabarani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimewapa kazi nyepesi tu kama mimi naongopa basi leteni picha ya Bakhmut leo hii.mbona ni simple tu hata ukingia google wataleta picha za leo.mnaogopa nini kufanya ivyo au hamtaki niumbuke[emoji23][emoji23]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akili za kuambiwa changanya na zako Shekhe.

Nenda katafute ardhi inakuaje wakati temperature ikiwa chini ya sifuri,hlf kule ni porini sio barabarani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama wewe ulivyofufua makaburi unatuletea mapicha ya February eti hapo ni bakhumut.., hizo picha ukizitaka tunazo nyingi tu..,Bora Mimi nimekuletea ya mwezi huu[emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sasa kwani vita imeisha?Only 30% ya kherson Iko Ukraine,the rest Russia ameshikilia!
Subirini siku Russia akiondoka kabisa Ukraine ndio mshangilie,else endeleeni kupigana to the last Ukrainian soldier!Wakimbizi ndio watakuja kuanza kujenga nchi Yao!
Russia kakimbilia kheson ya msituni, mjini kheson amekimbizwa,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Sasa kwani vita imeisha?Only 30% ya kherson Iko Ukraine,the rest Russia ameshikilia!
Subirini siku Russia akiondoka kabisa Ukraine ndio mshangilie,else endeleeni kupigana to the last Ukrainian soldier!Wakimbizi ndio watakuja kuanza kujenga nchi Yao!
Russia hawezi kuondoka Ukraine Ila ataondolewa.
 
Basi tupe idadi ya waliokuwa mbolea!!!
Nijuavyo Mimi Bado wako training maeneo mbalimbali ikiwamo Belarus!
Tatizo mnakuwa waongo Hadi mnapoteza kumbukumbu,nyie wenyewe mlituletea habari kwamba wale mobilized soldiers wataingia front line baada ya mafunzo ya wiki 2,hizo wiki 2 hazijaisha tu?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hahahahaaaa,endeleeni kubaki mjini kunakogeuzwa maghofu kila siku!70% Iko Russia!
Subirini mlegezwe joints,mtaachia tu hata hiyo 30% mnayojipigapiga kifua nayo
Hata Kiev inapigwa makombora lakini Iko mikononi mwa ukraine [emoji56][emoji56]..,nchi Iko vitani unataka kuona miji inameremeta kama Washington?

Back
Top Bottom