Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Deranged person?!?!Hivi ndivyo Putin alivyonaswa kwenye vita aliyoanzisha mwenyeweView attachment 2429880
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile
In your his and your dreams!Imeisha hiyo
The issue of negotiations with the Russian Federation is in the hands of Zelenskyi, said US Ambassador to NATO Julianne Smith.
"He will determine the conditions under which he will be ready to sit down at the negotiating table and when to sit down at the negotiating table.
Our position as the United States, and it is supported in NATO - we must ensure that President Zelenskyi and Ukraine are in the strongest position on moment of the start of such negotiations," she said.
Wanapenda kuongea maneno ya kufurahisha watu tu![emoji298]️ Only a military defeat of Russia can solve this conflict, says Swedish Foreign Minister Tobias Billström.
"We are ready to do more and more - because we are helping Ukraine, and Ukraine is helping us all to stop Russia. Only by defeating her (ed. Russia) in the war can we ensure a peaceful and stable future," says Bilström.
[emoji117] Follow @Flash_news_ua
So what? Ukitumia bidhaa za west basi unatakiwa uwe msukule wao??Huyu jamaa chawa wa Putin kila siku anawaponda West lkn anatumia iPhone 14 bidhaa ya West[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
"Kherson will be Russian forever" - PutinWanapenda kuongea maneno ya kufurahisha watu tu!
Russia ameshaapa,kwao victory ni lazima,ije jua ije mvua!
Sasa mtu aliyekula kiapo hiki,atatumia uwezo wake wote kushinda!
Kwa hapo Ukraine,msamiati kushindwa haupo kwenye kamusi ya Russia!
Kwa iyo kila sehemu kuna tope ?[emoji23][emoji23][emoji23]Sasa hivi Ukraine winter ndo imeanza mvua inanyesha ya kutosha,tope la kufa Mtu barafu la haja halafu we unatuletea video kuna jua kama la DAR [emoji23][emoji23][emoji23]. proRussia mtaacha lini uongo[emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe subiri second mobilization maana Ile ya walevi laki 3 haijazaa matunda wameishia kua mbolea za alizeti ndani ya [emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255]In your his and your dreams!
Hawa viongozi wa US wamekuwa na matamko mengi yasiyo na Kichwa Wala miguu!
Kiufupi US yuko against kukaa mezani Ili waendelee kufanya deal la silaha!
Umeleta video ya uongo wakati wa counter offensive ya Kherson hlf bado mbishi[emoji23][emoji23].Kwa iyo kila sehemu kuna tope ?
Leta video hata moja ya jana ya kuonyesha Bakhmut kuna barafu.usiongee vitu usivyokuwa na uwakika navyo.Umeleta video ya uongo wakati wa counter offensive ya Kherson hlf bado mbishi[emoji23][emoji23].
Sasa hivi huko barafu linashuka temperature iko karibu na sifuri,ww unatuletea video ardhi kavuuu,mimea haina hata kipande cha barafu,jua Kali km la DAR hlf unataka kutulazimisha tukubali?! Aaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu jamaa anatumia nguvu nyingi kweli kutuaminisha uongo, sijui analipwa[emoji848]Umeleta video ya uongo wakati wa counter offensive ya Kherson hlf bado mbishi[emoji23][emoji23].
Sasa hivi huko barafu linashuka temperature iko karibu na sifuri,ww unatuletea video ardhi kavuuu,mimea haina hata kipande cha barafu,jua Kali km la DAR hlf unataka kutulazimisha tukubali?! Aaaaah [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Temperature ya Bakhmut Jana tarehe 28/11/2022.Kwa iyo kila sehemu kuna tope ?
Chanzo Cha habari zako ni " trust me bro" hazionekani kwenye chombo chochote Cha habari [emoji23][emoji23]Vikosi vya Urusi vikielekea Bakhmut mjini [emoji635][emoji635][emoji635]
Uwongo unapingwa na ukweli.wekeni ukweli ili mimi nionekane muongo ila sio kupiga umbea tuHuyu jamaa anatumia nguvu nyingi kweli kutuaminisha uongo, sijui analipwa[emoji848]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama unaona naongopa lete za ukweli za kwakoChanzo Cha habari zako ni " trust me bro" hazionekani kwenye chombo chochote Cha habari [emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
The situation is very bad