Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Yani temperature below freezing point hlf ardhi nyeupe kama ya Buza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Aiseee kupata vichekesho kama hivi bonyeza nyotaChanzo Cha habari zako ni " trust me bro" hazionekani kwenye chombo chochote Cha habari [emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unaleta mipasho tu alafu uleti hata video moja ya hali ilivyo.unaona kabisa hali ya hewa ya mvua alafu unataka sijui nini zaidi ya ivyo au mpaka barabarani kuwe na matope[emoji1787][emoji1787][emoji1787].hakuna barafu kwa sasa Bakhmut.ukileta video ya barafu kwa siku ya jana na leo basi mi nafuta acount yangu jamii forrum[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Povuuuuuu la foma Goldddd. Unataka video wakati umeshatuongopea.
Temperature below freezing point hlf Shekhe unatuletea video ardhi kavuuu,hata kiukungu kidogo hamna,vibarafu vya uongo na kweli hamna,jua kama la hapa manzese kwa mfuga mbwa hlf unatulazimisha tukubali hizo fix[emoji23][emoji23][emoji23]. TUMEKATAAAAAA
Kama mimi naongopa leteni za kwenu basi.shida ipo wapiYani temperature below freezing point hlf ardhi nyeupe kama ya Buza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Aiseee kupata vichekesho kama hivi bonyeza nyota
Usisahau kuwapa rip pia Hawa waliolambishwa mchanga wakiwa wamelala kifudifudi[emoji848]R.I.P wanajeshi wa Ukraine(Bakhmut)View attachment 2430401View attachment 2430402View attachment 2430403
Wameshakuletea ushaidi wa video huko bakhumut, unataka nini Tena[emoji23]Kama mimi naongopa leteni za kwenu basi.shida ipo wapi
Ikwapi iyo video au ni ya invisible[emoji23][emoji23][emoji23]Wameshakuletea ushaidi wa video huko bakhumut, unataka nini Tena[emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] umeamua kufufua makaburiUsisahau kuwapa rip pia Hawa waliolambishwa mchanga wakiwa wamelala kifudifudi[emoji848]View attachment 2430407
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akili za kuambiwa changanya na zako Shekhe.Unaleta mipasho tu alafu uleti hata video moja ya hali ilivyo.unaona kabisa hali ya hewa ya mvua alafu unataka sijui nini zaidi ya ivyo au mpaka barabarani kuwe na matope[emoji1787][emoji1787][emoji1787].hakuna barafu kwa sasa Bakhmut.ukileta video ya barafu kwa siku ya jana na leo basi mi nafuta acount yangu jamii forrum
Usifute account Shekhe unadhani ukifuta sisi tutaburudika wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Unaleta mipasho tu alafu uleti hata video moja ya hali ilivyo.unaona kabisa hali ya hewa ya mvua alafu unataka sijui nini zaidi ya ivyo au mpaka barabarani kuwe na matope[emoji1787][emoji1787][emoji1787].hakuna barafu kwa sasa Bakhmut.ukileta video ya barafu kwa siku ya jana na leo basi mi nafuta acount yangu jamii forrum
Sasa kwani vita imeisha?Only 30% ya kherson Iko Ukraine,the rest Russia ameshikilia!"Kherson will be Russian forever" - Putin
Baada ya mwezi mmoja katimua mbio [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimewapa kazi nyepesi tu kama mimi naongopa basi leteni picha ya Bakhmut leo hii.mbona ni simple tu hata ukingia google wataleta picha za leo.mnaogopa nini kufanya ivyo au hamtaki niumbuke[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akili za kuambiwa changanya na zako Shekhe.
Nenda katafute ardhi inakuaje wakati temperature ikiwa chini ya sifuri,hlf kule ni porini sio barabarani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kama wewe ulivyofufua makaburi unatuletea mapicha ya February eti hapo ni bakhumut.., hizo picha ukizitaka tunazo nyingi tu..,Bora Mimi nimekuletea ya mwezi huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]akili za kuambiwa changanya na zako Shekhe.
Nenda katafute ardhi inakuaje wakati temperature ikiwa chini ya sifuri,hlf kule ni porini sio barabarani.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Russia kakimbilia kheson ya msituni, mjini kheson amekimbizwa,Sasa kwani vita imeisha?Only 30% ya kherson Iko Ukraine,the rest Russia ameshikilia!
Subirini siku Russia akiondoka kabisa Ukraine ndio mshangilie,else endeleeni kupigana to the last Ukrainian soldier!Wakimbizi ndio watakuja kuanza kujenga nchi Yao!
Basi tupe idadi ya waliokuwa mbolea!!!Wewe subiri second mobilization maana Ile ya walevi laki 3 haijazaa matunda wameishia kua mbolea za alizeti ndani ya [emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255]
Russia hawezi kuondoka Ukraine Ila ataondolewa.Sasa kwani vita imeisha?Only 30% ya kherson Iko Ukraine,the rest Russia ameshikilia!
Subirini siku Russia akiondoka kabisa Ukraine ndio mshangilie,else endeleeni kupigana to the last Ukrainian soldier!Wakimbizi ndio watakuja kuanza kujenga nchi Yao!
Hahahahaaaa,endeleeni kubaki mjini kunakogeuzwa maghofu kila siku!70% Iko Russia!Russia kakimbilia kheson ya msituni, mjini kheson amekimbizwa,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ataondolewa na nani?Russia hawezi kuondoka Ukraine Ila ataondolewa.
Tatizo mnakuwa waongo Hadi mnapoteza kumbukumbu,nyie wenyewe mlituletea habari kwamba wale mobilized soldiers wataingia front line baada ya mafunzo ya wiki 2,hizo wiki 2 hazijaisha tu?Basi tupe idadi ya waliokuwa mbolea!!!
Nijuavyo Mimi Bado wako training maeneo mbalimbali ikiwamo Belarus!
Hata Kiev inapigwa makombora lakini Iko mikononi mwa ukraine [emoji56][emoji56]..,nchi Iko vitani unataka kuona miji inameremeta kama Washington?Hahahahaaaa,endeleeni kubaki mjini kunakogeuzwa maghofu kila siku!70% Iko Russia!
Subirini mlegezwe joints,mtaachia tu hata hiyo 30% mnayojipigapiga kifua nayo