Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hayo makombora ya kupiga hizo power jenerators unapata wapi..,halafu inaonekana hujui hata power jenerators, unadhani hizo ni sawa na kituo Cha kuzalisha umeme kilichopo sehemu flani,endelea kuelewa hivyo hivyo Sina namna ya kukusaidia[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 




Hili goma hatari. Hapa wapangaji kama mnavyoona, tumeshapewa warning na actually Sauna wameamua kufunga kabisa huku tukiambiwa kujiandaa na mgao wa umeme.

Ifahamike tu kwamba hapa Ufini suala la umeme kukatika au mgao haujashuhudiwa kwa zaidi ya miaka 30. Kweli Urusi siyo Zimbabwe.
 
Hiyo hata Ukraine na west wameshalijua,ndio maana misaada ya power jenerator inamiminika kila kukicha.., lakini vita ni lazima iendelee

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hakuna vita ya kuendeleza hapo Kipanya,Ukraine is no more.Kwanza mpaka sasa it has been reduced to an Old Stone Country,sasa the 500,000+ Russian troops ambao tayari wameshaizingira Ukraine wakiingia,si watatembea tu.Lakini tuliwaambia kwamba Russia hawakuwa wanataka kuiharibu Ukraine kwa kuwa Ukranians ni ndugu zao wa damu,ndio maana the war was stalling.Sasa kwa kuwa Zelensky amekataa kutekeleza the Minsk Accord,Russia hawana jinsi,ila kutumia millitary force kuichukua Ukraine.What is happening in Ukraine is Zelensky choosing kwa kushirikiana na the Khazarian Cabal.Nawahurumia sana watu wa Ukraine.
 
Hii wakipewa Range yake ni mara mbili ya HIMARS,Crimea haswa Daraja la Kerch litakua within range,Kherson yote, Mariupol shida ni kwamba itapelekwa baada ya winter kuisha[emoji134]
Kwahio tutashuhudia mashambulio ndani ya CRIMEA [emoji16][emoji16][emoji16]

Hizo silaha kama zinauwezo wakutwanga CRIMEA basi hazitapelekwa

Vipi kuhusiana na zile tb drone ziliishia wapi hivi maana nimezikumbuka ghafla

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama urusi ana mpango huo basi aache kulilia mazungumzo kama mtoto mdogo.., afanye kilichomleta , ni kweli Ukraine itapoteza na itaharibiwa pakubwa sana.., lakini lengo la kumfunga sipid governor huyu anayejiita super pawer litatimia kwa namna yoyote.., ukraine wako tayari kurudi hata stone age, lakini hawako tayari kusikia nyimbo za wavamizi zikiendelea kuimbwa kwenye mipaka yao

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
USA NDIO HUMUITA RUSSIA SUPER POWER HATA NATO HUMUITA HIVYO .TANZANIA NDIO TUNAMUONA WA MCHONGO
 
Urusi hawalilii mazungumzo,they are behaving like human beings, nimeshasema kwamba hawataki kuua ndugu zao,na pia hawataki ku-inherit nchi ambayo miundo mbinu imeharibiwa kabisa,ndio maana wanataka dialogue whenever the opportunity arises.Ndio maana pia wako careful in what they are destroying.

Mwisho unajidanya,hakuna wa kumfunga Urusi speed governor kwa sasa,hata hao US unaodhani wanaweza kumfunga speed governor Urusi wapo in the sidelines kwa sasa, just watching in horror.Malengo yao ya kuitenganisha Urusi na Europe yameshafanikiwa,what next.Sasa ni kuiibia tu Europe hela:LNG prices four times higher,not ofcourse forgetting higher prices for Crude Oil and other commodities.Very stupid of Europe,yaani wameingia kwenye mtego wa US kama panya kabisa.
 
Articles 106 and 107 of the UN Charter give Russia, as the legal successor to the victor of World War II, the right to take any action, including military ones, against Germany, Hungary, Austria, Romania, Bulgaria, Finland, Croatia, Slovenia. , Czech Republic, Latvia, Estonia, Lithuania and Ukraine for attempts to revive Nazism.

UN Secretary-General António Guterres was surprised to learn from Putin that there is an article in the UN charter that allows a Russian special operation to be carried out in Ukraine.

RUSSIA HAS THE RIGHT TO PUNISH NAZIS ANYWHERE (according to UN Charter)

The Nuremberg Tribunal sentenced to criminal liability all those who fought against the United Nations and committed genocide. The greatest genocide was committed against the Soviet people. UN Charter, Articles 106 and 107, gives the victors of World War II - the USSR, USA, Great Britain and China - the right to take action against the countries that fought against them to prevent actions that aim to revise the results of the Second World War. .

In particular, the use of military force against these countries is permitted. To do this, you only need to NOTIFY the other three winning countries, but not get their consent. Russia, as the LEGAL successor to the USSR, can also use force against states that want to overhaul the Yalta-Potsdam system in Europe. Russia can stop attempts to revive Nazism in Germany, Hungary, Romania, Austria, Bulgaria, Finland, Croatia, Slovenia and the Czech Republic, which acted as the protectorate of Bohemia and Moravia during the war.
Chapter XVII: Transitional Security Arrangements (Articles 106-107) | United Nations
 
Wow,thanks mixx for this piece.Russia,go,go,go,go.
 
👏👏👏👏👏👏👏👏🤝🤝🤝🇷🇺☑️🇷🇺💪
 
Hao Nazis wapo ndani ya Russia yenyewe, Ujerumani, UK na hata US.... mbona hao hawashambuliwi ?

Uongo huu
 
Huyu jamaa chawa wa Putin kila siku anawaponda West lkn anatumia iPhone 14 bidhaa ya West[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Duh we jamaa una akili za kushikiwa Sana. Kwahiyo kisa tu kuna mgogoro na west ndo each other wasitumie bidhaa za upande huu kwenda ule?
Russia na ulaya na Marekani wanategemeana isivyo kawaida . Mambo mengi sana . Tena mengine Ni makubwa wayategemeayo kutoka Russia zaidi ya hiyo I phone 14.


Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Hao Nazis wapo ndani ya Russia yenyewe, Ujerumani, UK na hata US.... mbona hao hawashambuliwi ?

Uongo huu
Hao wahuko bado hawajavuka mipaka wakivuka watafuatwa huko huko wanyooshwe

Umepewa ushahidi unapingana nao kwamaneno matupu nawe leta walau ushahidi wakupingana na hoja ya huyo bwana hapo juuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 

PMC "Wagner" occupied Kurdyumovka After yesterday's success with the liberation of Ozaryanovka and Zelenopolye, the occupation of Kurdyumovka was a matter of time. It is reported from the localities that the settlement is completely under the control of the “musicians”. In addition, Wagner PMCs reached the Seversky Donets-Donbass canal. "Bakhmut meat grinder" continues.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…