Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mariupol inaenda kujirudia kwenye mji wa Bakhmut[emoji635][emoji635][emoji635].labda wakimbie
GridArt_20221129_164648778.jpg
 
Wewe ndo uisikilize akili yako,kama Russia aliondoka hakuondolewa zile air defense alizokua anajaribu kuziset pale snake island zilikua ni za kazi gani?! Russia aliweka Pantsir na Tor pale snake island akidhani zingedhibiti mashambulizi ya Ukraine lakini hazikufua dafu ndege na Makombora ya Ukraine yaliendelea kushuka kama mvua,Russia alivyoona Meli zinazoleta supply pale zinalipuliwa,boti zinalipuliwa na kisiwa chenyewe kinachoshambuliwa akaamua kukimbia halafu unatuletea fix hapa eti aliondoka hakuondolewa.

Kherson njia zote za kupeleka mahitaji kwa wanajeshi zilikatwa na wanajeshi wa Ukraine walikua wanakaribia kuwazunguka warusi,Yule general mwenye mashavu akaamua kuwaondoa wanajeshi wake ili kuwaokoa wasife kama kuku halafu unatuletea propaganda hapa eti hakuondolewa. Ninyi watu acheni kujitoa ufahamu.
Ndugu hawa pro urusi hawataki kusikia hayo akili zao wameshaziseti kwamba kwa urusi hakuna baya.

Mtu anakimbia/anajiondoa kwa kutaka sehemu aliyoidhibiti na wakati silaha nyingi waliwezeka hapo.

Basi tu tuwahurumie, naangalia jinsi wanavyojipetapeta.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Kila bwana mkubwa anapobalaswa wanakwambia strategic retreat [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Hivi hawa warusi kwanini hawaendi Iran, North Korea au China badala yake wanakimbilia America [emoji23][emoji23][emoji23]

The Moscow Times!
CONTRIBUTE TODAY
U.S. Sees 50-Fold Surge in Russian Asylum Seekers in 2022
Updated: 4 hours ago

The United States has seen a 4,500% rise in asylum requests from Russian nationals this year as Russia’s war in Ukraine has forced critics to flee the country, The New York Times reported Monday.

U.S. authorities processed 21,763 Russian asylum requests in October 2021-September 2022, compared with just 467 in the 2020 fiscal year, according to the publication.

October 2022, the first full month after President Vladimir Putin announced a “partial” mobilization of reservists, saw nearly 4,000 Russian asylum seekers enter the U.S.
 
Leta hio state

Halaf tukumbushe CRIMEA ilishambuliwa na silaga toka taifa lipi

Sent using Jamii Forums mobile app
U.S. approves of Ukraine striking Russian-occupied Crimea
By ALEXANDER WARD 08/17/2022 04:10 PM EDT

Attacking Crimea is fair game for Ukraine — and it has America’s support to hit the Russians there.

“If we are talking today about the de-occupation of temporarily occupied territories of Ukraine where the enemy is, then, correspondingly, we have no such restrictions,” he said, emphasizing that there still would be no attacks inside the legally recognized boundaries of Russia (though there have been some, umm, mysterious blasts on Russian border cities).

A senior administration official told NatSec Daily the U.S. supports strikes on Crimea if Kyiv deems them necessary.

“We don't select targets, of course, and everything we've provided is for self-defense purposes. Any target they choose to pursue on sovereign Ukrainian soil is by definition self defense,” this person said.

After your host checked to see if the administration considered the peninsula sovereign Ukrainian territory, the official replied: “Crimea is Ukraine.
U.S. approves of Ukraine striking Russian-occupied Crimea
 
Jamaa wewe ina maana umeshindwa hata kusikiliza akili yako japo kidogo snake island russia aliondoka hakuondolewa. Kherson Russia [emoji635] America kidogo hakuondolewa hebu is isikilize kidogo akili yako usijitoe ufahamu kwa kias8 hiki hata kama wanakulipa
Hivi inawezekana kuna watu hapa wanalipwa eeh!?
 
Supapawa ameanza kuhaha

Sanctions-hit Russia asks India for parts for key sectors
Reuters
MoscowUpdated: Nov 29, 2022, 05:00 PM IST

Moscow has sent India a list of more than 500 products for potential delivery including parts for cars, aircraft and trains, four sources familiar with the matter said, as sanctions squeeze Russia's ability to keep vital industries running.

RUSSIA'S STRUGGLES

Western sanctions have crippled supplies of some crucial products in Russia.

Airlines are experiencing an acute shortage of parts because almost all planes are foreign-made. Car parts are also in demand, with global automakers having left the market.

A source in Russia's car sales industry said the trade ministry had sent a list of car parts needed to corresponding ministries and state agencies in other countries, including India.

The list of items from Russia, which runs to nearly 14 pages, includes car engine parts like pistons, oil pumps and ignition coils. There is also demand for bumpers, seatbelts and infotainment systems.

For aircraft and helicopters, Russia requested 41 items including landing gear components, fuel systems, communication systems and fire extinguishing systems, life jackets and aviation tyres.

Russian metals producers like nickel and palladium giant Nornickel (GMKN.MM) have said Western sanctions and self-sanctioning by some suppliers have made it difficult for industrial companies to obtain imported equipment, spare parts, materials and technologies in 2022, posing a challenge to their development programmes.
Aiseee India naye anamuogopa Pakstan
 
Hivi hawa warusi kwanini hawaendi Iran, North Korea au China badala yake wanakimbilia America [emoji23][emoji23][emoji23]

The Moscow Times!
CONTRIBUTE TODAY
U.S. Sees 50-Fold Surge in Russian Asylum Seekers in 2022
Updated: 4 hours ago

The United States has seen a 4,500% rise in asylum requests from Russian nationals this year as Russia’s war in Ukraine has forced critics to flee the country, The New York Times reported Monday.

U.S. authorities processed 21,763 Russian asylum requests in October 2021-September 2022, compared with just 467 in the 2020 fiscal year, according to the publication.

October 2022, the first full month after President Vladimir Putin announced a “partial” mobilization of reservists, saw nearly 4,000 Russian asylum seekers enter the U.S.
America is the land of the free
 
Hasa hasa IT sector ndio imeathirika zaidi. Kwa kawaida IT ndio kundi lisilo na imani na serikali ya Urusi kuliko makundi ya wataalamu wengine kabla hata ya vita.
Urusi inatoa incentives na imewapunguzia income tax washawishike kubaki au kurudi. Wengi wameenda Uturuki
 
Back
Top Bottom