Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dah hoja nyingine za ajabu!
Hivi kumbe baadhi ya watu hawatakiwi kutumia bidhaa za nchi nyingine?

Aisee!
Ina maana NATO au west hawatumik kabisa bidhaa kutoka Urusi?

Kuna hoja nyingine zikitolewa na baadhi ya watu unabaki kushangaa TU.
Shithole countries ndio hutumia bidhaa za hasimu wao kwenye masuala muhimu ya usalama wa taifa. Nchi nyingine serious kama UK, Marekani au Germany huwezi kuta mkuu wa nchi anatumia bidhaa ya adui.

Hutomuona Rais wa Marekani kwenye Lada badala yake Cadillac, Chevlolet, etc. UK pale utawaona na RR, Range, etc. Germany utawaona na vitu kama BMW na Mercedes Benz.

Huwezi kumkuta Secretary of State wa Marekani na simu made in Russia ikiwa na server zenye kuweza fikiwa na watengenezaji. Huu ni upuuzi kwa first world countries ila kwa kisima cha kuchota gesi hamna shida
 
Mimi mwenyewe hata sioni shida. Sasa wangetumia nini wakati Aurus walizitengeneza 2018, huo muda wangepanda punda kwani.
Ningeshangaa kama ingekuwa nchi kubwa kiteknolojia
Umeambiwa utaje nchi ambayo haitumii bidhaa kutoka nchi nyingine acha ngonjera.

Marekani ndio muagizaji mkuu duniani wa bidhaa kutoka nje ya nchi yake tena kutoka kwa hasumu wake ambaye ni china.
 
U.S. approves of Ukraine striking Russian-occupied Crimea
By ALEXANDER WARD 08/17/2022 04:10 PM EDT

Attacking Crimea is fair game for Ukraine — and it has America’s support to hit the Russians there.

“If we are talking today about the de-occupation of temporarily occupied territories of Ukraine where the enemy is, then, correspondingly, we have no such restrictions,” he said, emphasizing that there still would be no attacks inside the legally recognized boundaries of Russia (though there have been some, umm, mysterious blasts on Russian border cities).

A senior administration official told NatSec Daily the U.S. supports strikes on Crimea if Kyiv deems them necessary.

“We don't select targets, of course, and everything we've provided is for self-defense purposes. Any target they choose to pursue on sovereign Ukrainian soil is by definition self defense,” this person said.

After your host checked to see if the administration considered the peninsula sovereign Ukrainian territory, the official replied: “Crimea is Ukraine.
U.S. approves of Ukraine striking Russian-occupied Crimea
Soma vyema habar yako

Halaf soma vyema koment yang

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dmitry Rogozin aliyekuwa chief wa Roscosmos na mwenye mdomo mdomo kupindukia ndio huyu hapa amevaa bidhaa za NATO kama zoteView attachment 2430915

Putin alikuwa anatumia Mercedes Benz S600 kama limousine ya Rais mpaka walipokuja kuunda Aurus Senat wenyeweView attachment 2430916View attachment 2430917

Warusi wa Mpwayungu watapinga, watasema Russia ni superpower anaweza tengeneza bidhaa za teknolojia ya kisasa
Hata west wanatumia bidhaa za RUSSIA kwenda huko angani

Katika hivyo ulotaja kipi ambacho RUSSIA hatengenezi gari ama kipi !!!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mimi mwenyewe hata sioni shida. Sasa wangetumia nini wakati Aurus walizitengeneza 2018, huo muda wangepanda punda kwani.
Ningeshangaa kama ingekuwa nchi kubwa kiteknolojia
Kwahio RUSSIA walianza kutengeneza magari mwaka 2018

MKUU umekua nahoja dhaifu sana asee tena zaidi ya sanaa

Hata huko US wanaagiza sana kamera za CCTV kutokea UCHINA



Sent using Jamii Forums mobile app
 
[emoji298]️Starlink terminals will be imported into Ukraine without duty and VAT, Prime Minister of Ukraine Denys Shmyhal said.

"This will reduce their cost and will provide them for the greatest number of people and organizations," the prime minister said.
 
Kwani wafungwa wa kirusi wameisha au[emoji23]

[emoji298]️The Russian "Wagner PMC" began recruiting mercenaries for the war in Ukraine in the prisons of the Central African Republic, — The Daily Beast.

The Wagnerites are recruiting dozens of insurgents who were held in custody, including for the murders and rapes of women and children, who controlled a large part of the territory of the CAR for almost 10 years during the civil war.

It is reported that the "Wagners" started recruiting back in October, the country's authorities gave the Russians the green light. Mercenaries are trained abroad.
 
Kwa iyo Urusi wameanza kutengeneza magari mwaka 2018?.unatia aibu kwa kweli[emoji23][emoji23]
Mimi nazungumzia gari la Rais wao. Ila kwakuwa una akili finyu hujui unajibu nini, na hata ungejua huna hoja maana unaona aibu kukataa.
By the way kuna brands za magari ya Urusi yalitengenezwa na teknolojia za NATO. Renault unajua ilichokuwa inakifanya Urusi, gari lenu pendwa kuliko yote lilikuwa linatolewa kwa msaada wa Renault mpaka hii 2022
 
Hata west wanatumia bidhaa za RUSSIA kwenda huko angani

Katika hivyo ulotaja kipi ambacho RUSSIA hatengenezi gari ama kipi !!!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nionyeshe picha ya kiongozi yeyote mkubwa Marekani, UK, Canada, South Korea, et al akiwa na bidhaa ya third world country tena critical kwenye usalama wa taifa kama huyu jamaa yenu
лавров-бали-фул.jpg
 
Nionyeshe picha ya kiongozi yeyote mkubwa Marekani, UK, Canada, South Korea, et al akiwa na bidhaa ya third world country tena critical kwenye usalama wa taifa kama huyu jamaa yenuView attachment 2431147
Mkuu usishangae hilo,mtoto wa Lavrov kasoma Columbia University,USA.

Watoto wao tu hawasomi huko Urusi wanapelekwa Marekani kwenye elimu inayoeleweka.
 
Hata west wanatumia bidhaa za RUSSIA kwenda huko angani

Katika hivyo ulotaja kipi ambacho RUSSIA hatengenezi gari ama kipi !!!!?

Sent using Jamii Forums mobile app
Russia na Marekani wako kwenye joint project ya International Space Station. Kuna mgawanyiko wa majukumu wanayo na hata hivyo hiyo project inaelekea kuisha. Mwenye uwezo wa kuongelea space station ni China ila sio Russia. Wakati Wachina wako busy kwenye space, foundry, automobile, telecommunication, wireless technology, artificial intelligence Russia iko busy kunyonya gesi ardhini na kuichuuza jambo ambalo hata South Sudan wanaweza.

Shirika la anga la Russia (Roscosmos) linaweza zidiwa akili na kampuni mbili pale Marekani. SpaceX na Boeing au na Raytheon wakianzisha ligi na taifa la Urusi wanashinda mchana kweupe. Russia ana teknolojia yeyote inayoelekea kulingana na Falcon 9 ya SpaceX inayoenda space na kurudi?
 
Nionyeshe picha ya kiongozi yeyote mkubwa Marekani, UK, Canada, South Korea, et al akiwa na bidhaa ya third world country tena critical kwenye usalama wa taifa kama huyu jamaa yenuView attachment 2431147
Unajua kama last week UK wamepiga marufuku aina ya vifaa vya HUAWEI kutumika kwenye ofisi za serikali

RUSSIA sio ZIMBABWE MKUU kuona ama kutokuona wala sio shida

Haya hayo wanayotumia madw in US vimeathiri vipi usalama wa RUSSIA

RUSSIA hakurupuki

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom