T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Kwamba uende White House ukutane na CCTV camera zilizotengenezwa China. Marekani hawa wanaofungia Huawei nchi nzima ndio watumie camera za Mchina kwa Rais, Spika, Secretary au kiongozi yeyote mkubwa?Kwahio RUSSIA walianza kutengeneza magari mwaka 2018
MKUU umekua nahoja dhaifu sana asee tena zaidi ya sanaa
Hata huko US wanaagiza sana kamera za CCTV kutokea UCHINA
Sent using Jamii Forums mobile app
Nilitarajia ubishe useme Putin hajawahi kutumia Mercedes Benz akiwa Rais kumbe unasema gari nyinginezo kama za majitaka. Sasa usupapawa uko wapi, si mnaona mlivyo wa kawaida duniani sasa yanini kujipandisha mabega