Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,724
Hio ishu ya IT kwenda USA wawe makini USA, watadukuliwa mpaka basi.
Na ndo maana siri zao zinavuja sana.
Na ndo maana siri zao zinavuja sana.
Hivi kuna bidhaa gani ambayo unaitumia wewe made in Russia?Dah hoja nyingine za ajabu!
Hivi kumbe baadhi ya watu hawatakiwi kutumia bidhaa za nchi nyingine?
Aisee!
Ina maana NATO au west hawatumik kabisa bidhaa kutoka Urusi?
Kuna hoja nyingine zikitolewa na baadhi ya watu unabaki kushangaa TU.
Hata wewe una nini unachotumia cha USA tutajie hata viwili. Mimi binafsi sina hata kinoma cha USA, voters ni china.Hivi kuna bidhaa gani ambayo unaitumia wewe made in Russia?
Au kuna bidhaa gani anatumia jirani yako au hata rafiki au ndugu yako made in Russia?
Rusia ni kama North Korea tu, Nje ya gas she has nothing.
Ulimwengu wa sasa bila modern sayansi na teknologia ni sawa na kuishi gizani, Rusia awekeze kwenye maendeleo ya sayansi ya kileo, aachane na mambo ya kizamani, mwenzake China anakimbiza sana na Muhindi pia anakuja kwa kasi ya ajabu.
Elimu ya Russia ilikuwa ya kizamani zaidi ila Dunia imebadilika na watu wapo kwenye modern sayansi. Unakuwaje Taifa kubwa na hata kakiwanda kabajaji ambazo unaweza fanya biashara na mataifa mengine na ukaongeza ushawishi wako.
Russia nje ya gas na nuclear hana jipya
Bajaj kweli mkuu. Wakati Russia wanazalisha mamilioni ya cheap vehicles?Hivi kuna bidhaa gani ambayo unaitumia wewe made in Russia?
Au kuna bidhaa gani anatumia jirani yako au hata rafiki au ndugu yako made in Russia?
Rusia ni kama North Korea tu, Nje ya gas she has nothing.
Ulimwengu wa sasa bila modern sayansi na teknologia ni sawa na kuishi gizani, Rusia awekeze kwenye maendeleo ya sayansi ya kileo, aachane na mambo ya kizamani, mwenzake China anakimbiza sana na Muhindi pia anakuja kwa kasi ya ajabu.
Elimu ya Russia ilikuwa ya kizamani zaidi ila Dunia imebadilika na watu wapo kwenye modern sayansi. Unakuwaje Taifa kubwa na hata kakiwanda kabajaji ambazo unaweza fanya biashara na mataifa mengine na ukaongeza ushawishi wako.
Russia nje ya gas na nuclear hana jipya
Uingereza inajaribu kujitutumua lakini wapi?British Prime Minister Rishi Sunak: The golden era of British-Chinese relations is over.
Inaonekana hujawahi kupitia hata mgambo au jkt.Wewe jamaa una mzaha sana..,nimekuuliza umeshaona wapi Ukraine wanachimba handaki, Russia ndio wanachimba handaki na kujenga defense line
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Punguza ujuaji usio kuwa na kichwa wala miguu.Hivi kuna bidhaa gani ambayo unaitumia wewe made in Russia?
Au kuna bidhaa gani anatumia jirani yako au hata rafiki au ndugu yako made in Russia?
Rusia ni kama North Korea tu, Nje ya gas she has nothing.
Ulimwengu wa sasa bila modern sayansi na teknologia ni sawa na kuishi gizani, Rusia awekeze kwenye maendeleo ya sayansi ya kileo, aachane na mambo ya kizamani, mwenzake China anakimbiza sana na Muhindi pia anakuja kwa kasi ya ajabu.
Elimu ya Russia ilikuwa ya kizamani zaidi ila Dunia imebadilika na watu wapo kwenye modern sayansi. Unakuwaje Taifa kubwa na hata kakiwanda kabajaji ambazo unaweza fanya biashara na mataifa mengine na ukaongeza ushawishi wako.
Russia nje ya gas na nuclear hana jipya
🤣🤣 Wakakasirika wakaenda kukuripoti..mashoga bwana Wana tabu Sana....
Bora umetoa SoMo Ili wengine wajifunze na kuwa wastaharabu[emoji106]Hodi humu wanabodi,nilipigwa ban ya mwezi mzima,Leo ndio nimefunguliwa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2431450
Hiyo statement nilitoa kipindi mobilization inafanyika wakati huo UKRANE alikua ameshika makali lakini unaweza kuona uhalisia wa hii kauli KWA SASA. Hakuna quality inayoshinda bila quantity hasa pale watu wanajeruhiwa kuugua na kufa. Usijikaririshe . USA Wana vikosi KILA engo ya dunia. Himmar kwa mfano unahitaji watu 10 au zaidi ku opperateUnaaamini asikari waliokuwa mobilized wiki 2 tu na kuletwa front line sio?.., Russia anaamini katika quantity sio quality.., wakati uingereza na bahadhi ya mataifa mengine ya NATO yanatumia zaidi ya miezi 4 kuwapa mafunzo na kuwaandaa wanajeshi wa Ukraine Tena kwa mbinu za kisasa kabisa, Russia anatumia wiki mbili tu kisha anawatuma vijana front line, Tena bila kuwa na zana muhimu, unategemea nini,
Ndio maana Huwa nawaunga mkono wale wasemao kwamba urusi siku zote Huwa hawajari uhai wa watu wake.., kuleta askari wengi kiasi hicho,Tena hambao hawana uzoefu na kuwaweka front line,hapo ni Kama kuwatoa kafara vijana
Marekani na washirika wake walifanya mobilization ya kijeshi 1990 kabla ya gulf war iliyoanza January 1991.., tatizo urusi anapenda kufanya mambo kwa kuungaunga tu,jambo hambalo litakuja kumgharimu sana
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mobilization ina clusters. Wapo waliokuwa ASKARI ama waliokuwa na mafunzo ya kijeshi tayari. Mfano KWA hapa tanzania wastaafu wa umri fulani wanaweza kurudishwa pia JKT .Sio kwamba ni wapya kwenye fani.Unaaamini asikari waliokuwa mobilized wiki 2 tu na kuletwa front line sio?.., Russia anaamini katika quantity sio quality.., wakati uingereza na bahadhi ya mataifa mengine ya NATO yanatumia zaidi ya miezi 4 kuwapa mafunzo na kuwaandaa wanajeshi wa Ukraine Tena kwa mbinu za kisasa kabisa, Russia anatumia wiki mbili tu kisha anawatuma vijana front line, Tena bila kuwa na zana muhimu, unategemea nini,
Ndio maana Huwa nawaunga mkono wale wasemao kwamba urusi siku zote Huwa hawajari uhai wa watu wake.., kuleta askari wengi kiasi hicho,Tena hambao hawana uzoefu na kuwaweka front line,hapo ni Kama kuwatoa kafara vijana
Marekani na washirika wake walifanya mobilization ya kijeshi 1990 kabla ya gulf war iliyoanza January 1991.., tatizo urusi anapenda kufanya mambo kwa kuungaunga tu,jambo hambalo litakuja kumgharimu sana
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hodi humu wanabodi,nilipigwa ban ya mwezi mzima,Leo ndio nimefunguliwa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2431450
Ukweli kabisa huu, kwa Sasa Urusi imekuwa dhaifu mno na hii Vita vimedhihirisha hilo.Yeye Putin anajua hatma yake imeshafungwa na vita hii. Ukitaka ashinde basi mshauri ateremshe nuclear tu kuanzisha armageddon. Hawezi kupigana na US/NATO kwa silaha za kawaida kama kwa Ukraine tu kashindwa vibaya kwenye battle front. Akijidai kurusha makombora ya kawaida London, Kremlin inageuzwa chapati within hours.
Urusi maskini kweli kweliView attachment 2403108
Urusi imetumia Tsh trion 1 mpaka 1.4 kwa mashambulizi ya Leo asubuhi huko Ukraine.
Makombora 50 ya Kh-101 yaliyorushwa kwenye miundombinu ya umeme, ukreine imedai kudungua 44.
Pesa hizo ni zaidi ya nusu ya bajeti ya kila mwaka ya Novosibirsk - miji wa tatu Kwa ukubwa huko Urusi
Sasa kosa ni lipi hapoHodi humu wanabodi,nilipigwa ban ya mwezi mzima,Leo ndio nimefunguliwa[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
View attachment 2431450