Proved
JF-Expert Member
- Sep 10, 2018
- 37,333
- 50,241
Uongo huu....Syria hii ya kichovu huu uwezo wa kuishinda Uturuki waliupata lini?.....Syria na uturuki zilinyukana 2020 uturuki ilipigwa na syria.
Na kulifanya jesh la syria kuyakamata maeneo meng ya jimbo la idlib
waanze kwanza kuwaondoa askari wa Uturuki waliopo huko Afrin (Syria) na hata hapo Idlib...
T14 Armata