Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Nilichokuwa naamini mimi warusi wako vizuri nyanja nyingi tu, niliamini kaspersky ndio most famous and secured antivirus word wide.
Lakini pia smartphone like Yotaphone (first dual screen smart phone) ipo masoko ya west angalia spain na nchi nyengine kibao, kiufupi products ni nyingi sana ila kwa vile Africa hatutumii kuna mtu anabeza maendeleo ya nchi nyengine bila hata kufanya research. Hakuna nchi inajitegemea kwa kila bidhaa na hata kama utakuwa mzalishaji bado kutakuwa na ya ubora hivyo ni lazima kuimport kuendana na mahitaji ya ndani
Ushabiki tukiuendekeza tunajishusha thamani, tuwaachie wajuvi waendelee kutuongezea maarifa ujuaji mwingi ni kutufanya tudharaulike
Bado mnatumia Antivirus 😂😂😂😂😂

Hiyo yantaphone umewahi iona? au Rubble ya Russia.

Weston Europe imeendelea sana kuliko Russia
 
Ngoja aje ndugu T14 Armata aje abishane na huyu waziri

Kumbe NATO wanaiogopa super power ya mchongo [emoji16][emoji23][emoji16]
IMG_20221130_225103_305.JPG


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Malipo ni hapa duniani, walianza kulipua umeme ili wananchi wa Ukraine wateseke kwa barafu, ila sasa hiyo barafu inawatafuna wao kwenye nchi ya watu.

Nilishangaa sana kuona maustadh humu JF wanashabikia wananchi kuteseka kwa barafu, haya ndio malipo sasa....

2022-03-08T104350Z_902853989_RC2TXS97PB1V_RTRMADP_3_UKRAINE-CRISIS-EVACUATION-CORRIDORS.JPG


0x0.jpg


Russian soldiers freeze to death in Ukrainian trenches
From the trench all you can see are broken trees and mud as far as the eye can see. Inside the fortifications dirty soldiers wait for the next artillery barrage by wading through slicks of freezing mud. The horrors of Passchendaele and other First World War battles can be seen in the pictures shared by Ukrainian forces. But instead, they show how things are in the battle for the Ukrainian town of Bakhmut in the year 2022 which has become a major battleground in the nine-month-old war.

 
Back
Top Bottom