Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Kumbuka Iran ilitoa taarifa kabla ya kurusha Makombora yake, Marekani ikaondoa wanajeshi wake pamoja na vifaa. Iran ikaambulia kulipua vibanda na mahema ya kulala wanajeshi maana hakuna hata mlinzi wa Geti wa Marekani aliyefariki.

Marekani haikutoa taarifa ya kumuondoa Suileman,Trump alikuja tu kutangaza taarifa za kifo.
We jamaaa no muongo was kufungia mwezi Nov,
 
💥💥💥Poland is speeding up preparations for the annexation of Lviv, Ivano-Frankivsk and most of Ternopil regions of Ukraine, head of the Foreign Intelligence Service Naryshkin told RIA Novosti‼️

Polish President Duda has instructed the relevant services to promptly prepare an official justification for Polish claims to western Ukraine, the director of Russia's Foreign Intelligence Service, Naryshkin, has said.

According to him, the starting point in the ongoing archive research is the 1943 Volyn massacre.💥💥💥
 
▪️ Eleven Eurozone countries recorded double-digit inflation in November

🇱🇻21.7% - Latvia
🇪🇪21.4% - Estonia
🇱🇹21.4% - Lithuania
🇸🇰15.1% - Slovakia
🇮🇹12.5% - Italy
🇩🇪11.3% - Germany
🇳🇱11.2% - Netherlands
🇦🇹11.1% - Austria
🇸🇮10.8% - Slovenia
🇧🇪10.5% - Belgium
🇵🇹0.3% - Portugal
 
Malipo ni hapa duniani, walianza kulipua umeme ili wananchi wa Ukraine wateseke kwa barafu, ila sasa hiyo barafu inawatafuna wao kwenye nchi ya watu....
Nilishangaa sana kuona maustadh humu JF wanashabikia wananchi kuteseka kwa barafu, haya ndio malipo sasa....

2022-03-08T104350Z_902853989_RC2TXS97PB1V_RTRMADP_3_UKRAINE-CRISIS-EVACUATION-CORRIDORS.JPG


0x0.jpg


Russian soldiers freeze to death in Ukrainian trenches​


From the trench all you can see are broken trees and mud as far as the eye can see. Inside the fortifications dirty soldiers wait for the next artillery barrage by wading through slicks of freezing mud. The horrors of Passchendaele and other First World War battles can be seen in the pictures shared by Ukrainian forces. But instead, they show how things are in the battle for the Ukrainian town of Bakhmut in the year 2022 which has become a major battleground in the nine-month-old war.

Cheap propaganda
 
[emoji3502] Eleven Eurozone countries recorded double-digit inflation in November

[emoji1145]21.7% - Latvia
[emoji1097]21.4% - Estonia
[emoji1151]21.4% - Lithuania
[emoji1217]15.1% - Slovakia
[emoji634]12.5% - Italy
[emoji629]11.3% - Germany
[emoji1179]11.2% - Netherlands
[emoji1038]11.1% - Austria
[emoji1218]10.8% - Slovenia
[emoji1045]10.5% - Belgium
[emoji1201]0.3% - Portugal
Superpower wa mchongo
 
Hata wewe una nini unachotumia cha USA tutajie hata viwili. Mimi binafsi sina hata kinoma cha USA, voters ni china.
Urusi ni nchi ambayo ina rasilimali nyingi sana na zingine hawajahaza kuzitumia bado , kuna gesi, mafuta , diamond, iron etc.
Kinacho Mtia kiburi USA ni pesa yake inatumika dunia mzima hicho ndicho kinacho Mtia kiburi.
Yaani unatumia afu hujui kuwa unatumia, siku nyingine kabla hujauliza jitahidi kufikirisha ubongo wako kwanza.

Natumia Nokia-Microsoft Product- Marekani

Natumia android os-Marekani

Natumia macntosh-Apple Marekani

Facebook, instagram,whatsapp,snapchat, Google e.t.c ni vingi sana kiukweli.


Nimekuambia nipe kimoja tu unachotumia ww made in rusia au hata jirani yako.


Kumponda marekani huku unatumia bidhaa zake ni sawa wendawazimu tu, Rusia kwa marekani ni sawa na mbingu na ardhi kwa kila sekta. Diamonds, golds, gas na madini mengineyo hata marekani anayo na hata sisi Tanzania tunayo tena kwa wingi tu


Nakusubiria unitajie ambacho unatumia made in Rusia au hata anachotumia jirani yako bwashee
 
View attachment 2431414
Warusi walikuwa ndo wakwanza kwa technology hii wakaachananayo, USA mpaka leo
Sio wakaachana nayo ila gharama walichemsha na hayo machuma ya zamani.

Hivi unadhani tatizo ni kuanza?? nope ndugu yangu, wagiriki ndio mababa wa sayansi na gunduzi nyingi hapa duniani ila mpaka leo hii huwezi ifananisha ugiriki na hata India kwenye sekta mzima ya sayansi, wahindi wako far sana.


So tatizo ni muendelezo wa kile ulichogundua, warusi kwa sasa kwenye usafiri wa anga za juu hawaifikii hata SpaceX na mchina pia anakuja juu, within 2 yrs atachukua nafasi ya mrusi.
 
Punguza ujuaji usio kuwa na kichwa wala miguu.
Ww hapo unaweza kunitajia bidhaa kutoka Israel, Singapore,Taiwan au Finland ambayo unaitumia kwenye maisha yako?

Lakini hayo mataifa niliyo yataja ni moja wapo wa mataifa yenye teknolojia ya hali ya juu sana ulimwenguni lakini mara nyingi huwa ni kwa ajili ya mahitaji yao ya ndani.

Urusi inatengeneza bidhaa za kila aina sema makampuni yake hayajajitanua na kuwa makubwa, na mara nyingi ili uone bidhaa za Urusi inabidi uende kwenye nchi za Ulaya mashariki ,Asia ya kati na baadhi ya mataifa ya magharibi na hata America ya kusini hizo nchi ndio watumiaji wakubwa wa bidhaa za Urusi na sio razima uzitumie ww kutoka bara la giza.

Hata kwa upande wa mitandao ya kijamii warusi siyo watumiaji sana wa mitandao ya kijamii ya kimagharibi bali wana mitandao ya kijamii ya kwao wanayo itumia, hata mtandao wa Telegram una kutokea Urusi bila shaka hili ulikuwa hulijui.

Alafu kingine unacho takiwa kutambua ni kuwa sio razima kila nchi iwekeze kwenye eneo moja ,,yaani kisa tu Ujerumani na Japan wanewekeza kwenye magari basi na Urusi ikimbilie huko huko?

Nyinyi ndo huwa mnafeli kwenye biashara kwa kuiga biashara za watu bila kujua huyo mtu mpaka anaingia kwenye biashara hiyo amepita njia ipi.
Ukuaji wa uchumi ni pamoja na kujitanua, huwezi niambia nitengeneze magari afu kwa matumizi ya nyumbani tu.


Nimekuambia nitajie kampuni moja tu ambayo ww unaijua ambayo inafanya vizuri kutoka urusi nje ya Gazprom naona mpaka sasa unanipa ngonjera hapa.

Yes telegram ina asili ya urusi bt sio made in Rusia. So kwa kifupi sio bidhaa ya urusi ila ina vinasaba vya urusi
 
Mkuu hebu nitajie gari hata moja la urusi ambalo ww kwa macho yako umewahi kuliona hapa Tanzania, tusiende mbali saaaaana

Russia Exports of motor cars and vehicles for transporting persons to Tanzania was US$700 Thousand during 2021, according to the United Nations COMTRADE database on international trade. Russia Exports of motor cars and vehicles for transporting persons to Tanzania - data, historical chart and statistics - was last updated on December of 2022.​


 
N

Russia Exports of motor cars and vehicles for transporting persons to Tanzania was US$700 Thousand during 2021, according to the United Nations COMTRADE database on international trade. Russia Exports of motor cars and vehicles for transporting persons to Tanzania - data, historical chart and statistics - was last updated on December of 2022.​


Nimekuambia nitajie gari la mrusi ambalo w umeliona kwa macho yako naona unaleta link hapa.


Gari gani ya jeshi made in Rusia umewahi iona Tanzania? Manake mimi naziona za wahindi sana tena sana
 
Back
Top Bottom