Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Fikiria Baba mwenye Watoto na mke nyumbani anaenda anaamka asubuhi na mapema na kibalata mkononi kumpigia Kura mtu kama Huyu awe Rais wa nchi yake😆😆


20221201_084128.jpg
 
[emoji298]️Pentagon awards Raytheon $1.2 billion contract for NASAMS for Ukraine.

The U.S. Army on Nov. 30 awarded a $1.2 billion contract to Raytheon Technologies for six National Advanced Surface-to-Air Missile Systems (NASAMS) for Ukraine, the Pentagon said in a statement.
 
[emoji298]️CNN: US considers significantly expanding training of Ukrainian forces.

The expansion in training would include instructing 2,500 Ukrainian soldiers monthly in more sophisticated tactics at a U.S. base in Germany, CNN reports, citing multiple U.S. officials.
 
Ukuaji wa uchumi ni pamoja na kujitanua, huwezi niambia nitengeneze magari afu kwa matumizi ya nyumbani tu.


Nimekuambia nitajie kampuni moja tu ambayo ww unaijua ambayo inafanya vizuri kutoka urusi nje ya Gazprom naona mpaka sasa unanipa ngonjera hapa.

Yes telegram ina asili ya urusi bt sio made in Rusia. So kwa kifupi sio bidhaa ya urusi ila ina vinasaba vya urusi

Kwani razima uzijue ww au uzitumie ndo ujue kuwa zipo?

Ww hauzitumii lakini kuna mabilion ya watu duniani wanazitumia na nimesha kutajia nchi ambazo zina tumika sana.

Hata hizo FB, Instagram,sijui Tweet kuna mabilion ya watu duniani hawazitumii na wengine hawazijui kabisa lakini haimaanishi kuwa hazipo.

Mfano fb, Instagram,na tweet, inatumiwa na watu billion 2tu wakati duniani kuna watu zaidi ya bilion 8 ina maana kuwa billion 6 hawatumii wengine wenda wanaijua lakini hawataki kuitumia ila wengine hawaijui kabisa.

Kwa hiyo ww suala la kutojua au kutotumia bidhaa kutoka nchi fulani haimaanishi kuwa nchi hiyo haitengenezi hiyo bidhaa.

Mfano ww nikikuambia unitajie brand yeyote ya kutengeneza magari kutoka Iran sidhani kama unaijua na unaweza kunishangaa, ukajiuliza Iran na magari wapi na wapi.
Lakini unacho takiwa kukijua ni kuwa Iran ni mtengenezaji mkubwa wa magari ambayo soko lake kubwa ni Mashariki ya kati na Asia magharibi.

Kwa hiyo ww kutojua ni kampuni gani kutoka Urusi inayo tengeneza magari , Sahani ,Brander,simu,sijui mambo gani haku maanishi kuwa hawa vitengenezi.


Yaani Urusi inayo tengeneza mameli makubwa ,mandege ya kivita, mastalaiti, mavifaru ije ishindwe kutengeza IST,brender,sijui sahani ,sijui uchafu gani? Hivi mbona watz tunaendekeza ujuaji wa kipumbavu?
 
Urusi maskini kweli kweli
Urusi shikilia hapohapo Hadi waseme yoote. Watahangaika Sana .. watu wanapigwa lyviv , kvy nk we unaanza kupigia hesabu ya thamani ya makombora.
Medvedev anasema Kwamba NATO wasitegemee kuisha kwa silaha maghalani Russia.

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Malipo ni hapa duniani, walianza kulipua umeme ili wananchi wa Ukraine wateseke kwa barafu, ila sasa hiyo barafu inawatafuna wao kwenye nchi ya watu.

Nilishangaa sana kuona maustadh humu JF wanashabikia wananchi kuteseka kwa barafu, haya ndio malipo sasa....

2022-03-08T104350Z_902853989_RC2TXS97PB1V_RTRMADP_3_UKRAINE-CRISIS-EVACUATION-CORRIDORS.JPG


0x0.jpg


Russian soldiers freeze to death in Ukrainian trenches
From the trench all you can see are broken trees and mud as far as the eye can see. Inside the fortifications dirty soldiers wait for the next artillery barrage by wading through slicks of freezing mud. The horrors of Passchendaele and other First World War battles can be seen in the pictures shared by Ukrainian forces. But instead, they show how things are in the battle for the Ukrainian town of Bakhmut in the year 2022 which has become a major battleground in the nine-month-old war.

Imeandikwa kwenye kitabu cha Zaburi,"

"Wamechimba shimo mbele yangu; Wametumbukia ndani yake!"
Zaburi 57:6b
 
Kwani razima uzijue ww au uzitumie ndo ujue kuwa zipo?

Ww hauzitumii lakini kuna mabilion ya watu duniani wanazitumia na nimesha kutajia nchi ambazo zina tumika sana.

Hata hizo FB, Instagram,sijui Tweet kuna mabilion ya watu duniani hawazitumii na wengine hawazijui kabisa lakini haimaanishi kuwa hazipo.

Mfano fb, Instagram,na tweet, inatumiwa na watu billion 2tu wakati duniani kuna watu zaidi ya bilion 8 ina maana kuwa billion 6 hawatumii wengine wenda wanaijua lakini hawataki kuitumia ila wengine hawaijui kabisa.

Kwa hiyo ww suala la kutojua au kutotumia bidhaa kutoka nchi fulani haimaanishi kuwa nchi hiyo haitengenezi hiyo bidhaa.

Mfano ww nikikuambia unitajie brand yeyote ya kutengeneza magari kutoka Iran sidhani kama unaijua na unaweza kunishangaa, ukajiuliza Iran na magari wapi na wapi.
Lakini unacho takiwa kukijua ni kuwa Iran ni mtengenezaji mkubwa wa magari ambayo soko lake kubwa ni Mashariki ya kati na Asia magharibi.

Kwa hiyo ww kutojua ni kampuni gani kutoka Urusi inayo tengeneza magari , Sahani ,Brander,simu,sijui mambo gani haku maanishi kuwa hawa vitengenezi.


Yaani Urusi inayo tengeneza mameli makubwa ,mandege ya kivita, mastalaiti, mavifaru ije ishindwe kutengeza IST,brender,sijui sahani ,sijui uchafu gani? Hivi mbona watz tunaendekeza ujuaji wa kipumbavu?
Yaani watengeneze 5th gen stealth, multirole fighter jet washindwe ist [emoji1787]
 
Haya ndio maisha halisi ya wanajeshi was Ukraine.

Kwa wale mliokimbia umande ni kwamba raia was Ukraine wanalazimishwa kupigana vita Hulu wakitishiwa kuwa atakae kataa wazazi wake watauliwa.

Kwa kifupi wanajeshi was Ukraine Wana Hali mbaya,
Screenshot_20221201-113453.png

AUkrainian serviceman who went from working in a museum to fighting on the front line, has described the conditions he and his comrades are enduring and made an impassioned plea for further Western support for Kyiv against Russia.AUkrainian serviceman who went from working in a museum to fighting on the front line, has described the conditions he and his comrades are enduring and made an impassioned plea for further Western support for Kyiv against Russia.

"I am not a military man. I never aspired to be in the military," started the letter signed by Nazar Razlutsky and published on the independent outlet Ukraine Frontlines.

He said that with a Ph.D. in history, he used to spend his time researching history and writing about science, even turning his hand to fiction. "But lately I've been in the military because there's a war in my country."

He then details the frontline conditions now faced by his fellow Ukrainians who used to work as historians, accountants, bankers, IT workers and those from "other peaceful professions.
"We sleep on crates in unbelievable cramped conditions in the backs of trucks, and wash in warm water once a month," wrote Razlutsky, who is serving as a junior sergeant. "When it rains—we're wet, when it swamps—we're dirty as hell," he said.

He described how his compatriots fighting are being killed by missiles, bullets, cluster and phosphorus munitions. "Some of them are already dead. And some will never go back to their specialty, because they are burned out.

"But all of them continue to fight. Because Ukraine is behind them. For if they lay down their arms, their parents will be killed, their wives and daughters raped, and their homes destroyed or confiscated."

"When politicians from France, Italy, Germany and other countries suggest that we lay down arms, agree to the loss of territories, give Russia some security guarantees...I feel rage and deep disgust."

"We don't need offers to surrender," he wrote, taking aim at suggestions to negotiate for peace before Russian troops are fully driven out of Ukraine. "If you are not ready to fight with us against an enraged enemy, then help us with weapons, money, sanctions."
 

Attachments

  • 1669883933183.png
    1669883933183.png
    68 bytes · Views: 22
Super pawer bado anapigana na Ukraine 🥱
Hili neno super pawer itabidi nitafte maana yake halis, huenda Kuna tafsiri nyingine [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom