Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mkuu hebu nitajie gari hata moja la urusi ambalo ww kwa macho yako umewahi kuliona hapa Tanzania, tusiende mbali saaaaana
Mkuu namsaidia
Tunayo hapa
MDUDU HUYU
KAMAZ
11-1.jpg
hqdefault-2.jpg

Sela Son
 
TOY FROM USA IMEVUNJIKA HUKO JAPAN F-35B

View attachment 2432527

[emoji631][emoji929][emoji627]Front landing gear collapsed on an US F-35B in Japan

On December 1, while moving on the way at Kadena Air Base (Japan), an F-35B fighter from the 121st fighter-assault Squadron of the US Marine Corps the front landing gear collapsed
@T14 Armata hizi ndege zenu zinashida gani MKUU au ndio kisa na sababu zilitengenezwa kwa wingi ndio maana zinaanguka

Hizi 35f nimradi wahovyo kabisa huko usaf

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani razima uzijue ww au uzitumie ndo ujue kuwa zipo?

Ww hauzitumii lakini kuna mabilion ya watu duniani wanazitumia na nimesha kutajia nchi ambazo zina tumika sana.

Hata hizo FB, Instagram,sijui Tweet kuna mabilion ya watu duniani hawazitumii na wengine hawazijui kabisa lakini haimaanishi kuwa hazipo.

Mfano fb, Instagram,na tweet, inatumiwa na watu billion 2tu wakati duniani kuna watu zaidi ya bilion 8 ina maana kuwa billion 6 hawatumii wengine wenda wanaijua lakini hawataki kuitumia ila wengine hawaijui kabisa.

Kwa hiyo ww suala la kutojua au kutotumia bidhaa kutoka nchi fulani haimaanishi kuwa nchi hiyo haitengenezi hiyo bidhaa.

Mfano ww nikikuambia unitajie brand yeyote ya kutengeneza magari kutoka Iran sidhani kama unaijua na unaweza kunishangaa, ukajiuliza Iran na magari wapi na wapi.
Lakini unacho takiwa kukijua ni kuwa Iran ni mtengenezaji mkubwa wa magari ambayo soko lake kubwa ni Mashariki ya kati na Asia magharibi.

Kwa hiyo ww kutojua ni kampuni gani kutoka Urusi inayo tengeneza magari , Sahani ,Brander,simu,sijui mambo gani haku maanishi kuwa hawa vitengenezi.

Yaani Urusi inayo tengeneza mameli makubwa ,mandege ya kivita, mastalaiti, mavifaru ije ishindwe kutengeza IST,brender,sijui sahani ,sijui uchafu gani? Hivi mbona watz tunaendekeza ujuaji wa kipumbavu?
URUSI WANATENGENZA KILA KITU KWENYE USO HUU WA DUNIA ,ILA ISHU NI MAPENZI YA WATU.
MKUU HATA HAPA TZ SIDHANA KAMA YAPO AU KAMA YAPO MABASI YA KIMAREKANI NI MACHACHE SANA.
NYIE WENYEWE MME WAHIBKUYAONA.
 
🙃🙃🙃🙃 HIVI KWELI JAMANI WARUSI WASHIDWE KWENYE BARIDI WAKATI NCHI YAO NI BARIDI TUPU , HIVI VICHEKESHO HIVI.😄😄😁😁

Ustadhi barafu haina cha uzoefu wala nini, Warusi kwa sasa wameishiwa hata vitendea kazi na mavazi hadi wanapora, barafu inawatafuna freshi.
 
Ninamashaka na uwezo wako wa kufikiria hujui urusi ndo bingwa wa kushinda wakati wa vita?angalia sasa hivi Russia wanavyoadvance Kwa mafanikio.

Mzee wa "nonesense" kumbe unajua kuandika....hehehe
Hata mimi nilikua naogopa Urusi namna unavyowaogopa, ila wamefumuliwa hadi raha.
 
Mzee wa "nonesense" kumbe unajua kuandika....hehehe
Hata mimi nilikua naogopa Urusi namna unavyowaogopa, ila wamefumuliwa hadi raha.
Wakati wanaendelea kuchukua maeneo soon donesky yote itakuwa Chini ya warusi.nchi Gani nyingine inayoweza kuvamia nchi nyingine na kuchukua asilimia 20 ya eneo?wewe huwaogopi lakini wenye akili NATO wanawaogopa ndo maana Kila siku wanasema wanaogopa kwenda moja Kwa moja vitani na warusi.
 
Wewe nakumbuka humu ulisema utahama JF pale Ukraine wakikomboa hata ekari 50, kipindi hicho Urusi walikua wanashikilia 20%, Ukraine wamekomboa maelfu ya ekari bado unatupigishia makelele humu, na sasa hivi Urusi wameishiwa wanajeshi hadi wanaokoteza kitaani.
 
Hapo Kenya mmefanikiwa kukomboa ekari ngapi kutoka kwa Uhuru Elites!?
 
Back
Top Bottom