T14 Armata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2017
- 13,924
- 47,173
Dmitry Rogozin aliyekuwa chief wa Roscosmos na mwenye mdomo mdomo kupindukia ndio huyu hapa amevaa bidhaa za NATO kama zote
Putin alikuwa anatumia Mercedes Benz S600 kama limousine ya Rais mpaka walipokuja kuunda Aurus Senat wenyewe
Warusi wa Mpwayungu watapinga, watasema Russia ni superpower anaweza tengeneza bidhaa za teknolojia ya kisasa