Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji298]️ The price of the main grade of Russian oil "Urals", which accounts for 60% of exports, fell to $43.72 per barrel, - Bloomberg.
 
Dasaault Rafale ya Ufaransa ni 4th generation sio stealth, sio kubwa sana na ina performance nzuri hata anga la kwenye maji na low flying. Inauzwa bei zaidi kama kawaida ya silaha za Ufaransa kwa vile production quantity inakuwa ndogo hivyo cost inakuwa distributed kwa hizo units chache. Ufaransa waliiunda Rafale baada ya kutoafikiana na specifications za Eurofighter Typhoon ya consortium ya Ulaya, wakajitoa kwenye mradi. Waliobaki kwenye mradi kina UK, Spain, Italy na Germany hawana 4th gen fighters za Marekani kama hizi F-16 maana ni category moja na Typhoon na Rafale.

F-22 Raptor ya Marekani ulikuwa mradi wa siri, ndege za siri kama U-22 Dragonlady na SR-71 Blackbird haziuzwi. Kipindi Raptor inatoka ilikuwa very advanced, DoD ilisitisha kutengeneza mpya kwa sababu ya gharama kubwa ila zipo zaidi ya 150. F-22 haikuundwa kuuzwa na kisheria iko hivyo.

F-35 ni joint strike fighter, walichangia nchi nyingi kuitengeneza ili kugawana gharama. Main contractor ni Lockheed Martin ila wachangiaji ni makampuni kutoka kila nchi inayohusika. Kuna components nyingine zimetoka China. Critical technology kama stealth, radar, missiles na sensor fusion ndio Mmarekani anatoa. Mengine kama landing gear, fuel tank, wings, cockpit waligawana majukumu. Ndio maana Turkey ilivyoondolewa walisimama kidogo kusubiri kuhamisha majukumu yake kwa kampuni za washirika wengine

uwanja wako wa kujidai. nakukubali kamanda
roger out.
 
Mara kadhaa tunawaambia timu upinde huyu mzee hana masiharaa..matimi upinde yanabaki kuchekacheka na kujichekesha....
Screenshot_20221209-185113_1.jpg
 
F-22 Raptor ya Marekani ulikuwa mradi wa siri, ndege za siri kama U-22 Dragonlady na SR-71 Blackbird haziuzwi. Kipindi Raptor inatoka ilikuwa very advanced, DoD ilisitisha kutengeneza mpya kwa sababu ya gharama kubwa ila zipo zaidi ya 150. F-22 haikuundwa kuuzwa na kisheria iko hivyo.
Lakini hii F-22 kimajukumu na muundo tunaweza kufananisha na F-15 ?...yaani kwenye 'dogfight' na hata ku-attack 'targets' za ardhini na majini ?
 
Dasaault Rafale ya Ufaransa ni 4th generation sio stealth, sio kubwa sana na ina performance nzuri hata anga la kwenye maji na low flying. Inauzwa bei zaidi kama kawaida ya silaha za Ufaransa kwa vile production quantity inakuwa ndogo hivyo cost inakuwa distributed kwa hizo units chache. Ufaransa waliiunda Rafale baada ya kutoafikiana na specifications za Eurofighter Typhoon ya consortium ya Ulaya, wakajitoa kwenye mradi. Waliobaki kwenye mradi kina UK, Spain, Italy na Germany hawana 4th gen fighters za Marekani kama hizi F-16 maana ni category moja na Typhoon na Rafale.

F-22 Raptor ya Marekani ulikuwa mradi wa siri, ndege za siri kama U-22 Dragonlady na SR-71 Blackbird haziuzwi. Kipindi Raptor inatoka ilikuwa very advanced, DoD ilisitisha kutengeneza mpya kwa sababu ya gharama kubwa ila zipo zaidi ya 150. F-22 haikuundwa kuuzwa na kisheria iko hivyo.

F-35 ni joint strike fighter, walichangia nchi nyingi kuitengeneza ili kugawana gharama. Main contractor ni Lockheed Martin ila wachangiaji ni makampuni kutoka kila nchi inayohusika. Kuna components nyingine zimetoka China. Critical technology kama stealth, radar, missiles na sensor fusion ndio Mmarekani anatoa. Mengine kama landing gear, fuel tank, wings, cockpit waligawana majukumu. Ndio maana Turkey ilivyoondolewa walisimama kidogo kusubiri kuhamisha majukumu yake kwa kampuni za washirika wengine
Sawa baba nimekubali, ila nakumbuka siku moja tulikuwa na Cpt. Mmoja mstaafu wa tpdf kitaaluma ni Mhandisi wa Fighter jets alibobea sana katika fighter 6 za kichina na alikaa sana china enzi za teacher, kuna analysis alinipa kuhusu Eurofighter Typhoon na Dassault Refale aliniambia ukiachana na issue za armaments katika performance hizi jets hazina utofauti sanaa kihivyo na aliongezea kuwa yeye huwa anaamini katika performance ya rubani ndiyo anaweza amua matokeo vipi unazungumzia vipi hapo?
 
Back
Top Bottom