Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Dasaault Rafale ya Ufaransa ni 4th generation sio stealth, sio kubwa sana na ina performance nzuri hata anga la kwenye maji na low flying. Inauzwa bei zaidi kama kawaida ya silaha za Ufaransa kwa vile production quantity inakuwa ndogo hivyo cost inakuwa distributed kwa hizo units chache. Ufaransa waliiunda Rafale baada ya kutoafikiana na specifications za Eurofighter Typhoon ya consortium ya Ulaya, wakajitoa kwenye mradi. Waliobaki kwenye mradi kina UK, Spain, Italy na Germany hawana 4th gen fighters za Marekani kama hizi F-16 maana ni category moja na Typhoon na Rafale.
F-22 Raptor ya Marekani ulikuwa mradi wa siri, ndege za siri kama U-22 Dragonlady na SR-71 Blackbird haziuzwi. Kipindi Raptor inatoka ilikuwa very advanced, DoD ilisitisha kutengeneza mpya kwa sababu ya gharama kubwa ila zipo zaidi ya 150. F-22 haikuundwa kuuzwa na kisheria iko hivyo.
F-35 ni joint strike fighter, walichangia nchi nyingi kuitengeneza ili kugawana gharama. Main contractor ni Lockheed Martin ila wachangiaji ni makampuni kutoka kila nchi inayohusika. Kuna components nyingine zimetoka China. Critical technology kama stealth, radar, missiles na sensor fusion ndio Mmarekani anatoa. Mengine kama landing gear, fuel tank, wings, cockpit waligawana majukumu. Ndio maana Turkey ilivyoondolewa walisimama kidogo kusubiri kuhamisha majukumu yake kwa kampuni za washirika wengine
Mitandaoni mkuu ndio wameikomboaSi walisema Kherson wameikomboa, vip tena
Pro nato watafanya party kusherekeaWale wa kutolewa Malinda hii habari nadhani itakuwa ya furaha kwenu msishabikie tu Ukraine mshangilie na hyo.View attachment 2440808
Leo umekuja kivingine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo ilibakia kidogo iran iitungue ndege ya f 35.
Bahati ya wamarekan ni kuwah kuitoa ile ndege kwenye visiwa vya iran
Iran ilikuwa ktk hatua za mwisho ku jamming ile ndege
[emoji95][emoji95][emoji95]Russia's response to the introduction of a price ceiling for Russian oil will be formalized by presidential decree, document is under preparation - Russian Energy Minister Nikolai Shulginov[emoji95][emoji95][emoji95]
Umeenda na majiSoledar city hioo
Kwani hicho kitongoji Cha soledar kinapatikana mji gani huko Ukraine [emoji848]Soledar inaenda kuanguka soon
Endeleeni kujifariji wakati zelensiky akiwatembezea mkong'oto,Umeenda na maji
Lakini hii F-22 kimajukumu na muundo tunaweza kufananisha na F-15 ?...yaani kwenye 'dogfight' na hata ku-attack 'targets' za ardhini na majini ?F-22 Raptor ya Marekani ulikuwa mradi wa siri, ndege za siri kama U-22 Dragonlady na SR-71 Blackbird haziuzwi. Kipindi Raptor inatoka ilikuwa very advanced, DoD ilisitisha kutengeneza mpya kwa sababu ya gharama kubwa ila zipo zaidi ya 150. F-22 haikuundwa kuuzwa na kisheria iko hivyo.
Sawa baba nimekubali, ila nakumbuka siku moja tulikuwa na Cpt. Mmoja mstaafu wa tpdf kitaaluma ni Mhandisi wa Fighter jets alibobea sana katika fighter 6 za kichina na alikaa sana china enzi za teacher, kuna analysis alinipa kuhusu Eurofighter Typhoon na Dassault Refale aliniambia ukiachana na issue za armaments katika performance hizi jets hazina utofauti sanaa kihivyo na aliongezea kuwa yeye huwa anaamini katika performance ya rubani ndiyo anaweza amua matokeo vipi unazungumzia vipi hapo?Dasaault Rafale ya Ufaransa ni 4th generation sio stealth, sio kubwa sana na ina performance nzuri hata anga la kwenye maji na low flying. Inauzwa bei zaidi kama kawaida ya silaha za Ufaransa kwa vile production quantity inakuwa ndogo hivyo cost inakuwa distributed kwa hizo units chache. Ufaransa waliiunda Rafale baada ya kutoafikiana na specifications za Eurofighter Typhoon ya consortium ya Ulaya, wakajitoa kwenye mradi. Waliobaki kwenye mradi kina UK, Spain, Italy na Germany hawana 4th gen fighters za Marekani kama hizi F-16 maana ni category moja na Typhoon na Rafale.