jameshyela
JF-Expert Member
- Oct 13, 2022
- 2,043
- 15,861
Angalau sasa maana ili Ukraine ashambulie anahitaji satellites na maelekezo ya USAUS imeipa kibali Ukraine kushambulia ndani ya ardhi ya Russia.... Ingawa imesema haitaisaidia silaha za kushambulia ndani ya Russia. Lkn imesema Ukraine wanayo haki ya kuishambulia ndani ya Russia
God bless Oddessa[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Baada ya kujifanya nunda hatimaye jangili katoa mlio wa uchungu[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]View attachment 2441979
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Mig-21 nadhani ndio most used jet kwenye miaka ya 1970s mpaka leo. Hiyo 250+ to 64 ni ratio mbovu ila inachangiwa pia na operators wazembe kwenye training na maintenanceMig 21 Ina rekodi Kali Sana 250+ dhidi ya be killed 64 hivi .
Ingia Google .
Nato kutoa misaada haimaniishi wapo wanapigana hapo akili yako ndogo unashindwa kung'amua mambo. Urusi pia anapokea misaada toka Iran na N.Korea Je ukraine anapigana nao hao wote?Maelezo yako yanajichanganya...Mara useme Russia inapambana na kanchi kadogo, Ukraine...Mara useme hako kanchi kanapata misaada na NATO..Mara ulete USA....tulia Ndugu...Vita hii bado...hao NATO na USA wanaiogopa Russia na wanaiona ni Superpower .ila wewe wa Kinyerezi unayewakimbia hata panya road unaiona Russia ni super power wa mchongo..
Si kurudisha nyuma vokosi vyake tu,kama angekuwa in his right mind ange surrender.Ukraine by X-mas ya Wa-Orthodox yote itakuwa under Russian control,I prominse you.Za ndaaaaniiii.Zelensk anajiandaa kurudisha nyuma vikosi kwa ajili ya kulinda miji ya Sloviansk na kramators.
Mkuu majeshi ya NATO yapo-frontline usibishe,there is ample evidence,na ushahidi huo umeshatolewa hapa jukwaani.Wewe kuendelea kukataa haibadilishi ukweli huo.Nato kutoa misaada haimaniishi wapo wanapigana hapo akili yako ndogo unashindwa kung'amua mambo. Urusi pia anapokea misaada toka Iran na N.Korea Je ukraine anapigana nao hao wote?
Nato kutoa misaada haimaniishi wapo wanapigana hapo akili yako ndogo unashindwa kung'amua mambo. Urusi pia anapokea misaada toka Iran na N.Korea Je ukraine anapigana nao hao wote?
[/QUOTEWewe mwenye akili kubwa una kitu gani Cha maana umekifanya kwenye jamii ikieemo hii ya JF zaidi ya ushabiki wa kitoto?!
Hao ni wanapigana kwa ridhaa yao tu. Nitajie nchi iliyopeleka wanajeshi wake.Mkuu majeshi ya NATO yapo-frontline usibishe,there is ample evidence.
Unafikiri utatangaziwa? Je unafaham jwtz wanafanya operation kwenye nchi ngap? Operation za kijesh sio maonyesho ya zuchu yafanyiwe promotionHao ni wanapigana kwa ridhaa yao tu. Nitajie nchi iliyopeleka wanajeshi wake.
Kama hawatangazi wewe ngumbaru wa kingolwira unajuaje? Punguza ujuaji Nato hawajaingia hapo mnahangaika na Ukraine na volunteer baadhi tu.Unafikiri utatangaziwa? Je unafaham jwtz wanafanya operation kwenye nchi ngap? Operation za kijesh sio maonyesho ya zuchu yafanyiwe promotion
Acha kutia povu, Ukraine na nduguzo NATO mnapewa somoKama hawatangazi wewe ngumbaru wa kingolwira unajuaje? Punguza ujuaji Nato hawajaingia hapo mnahangaika na Ukraine na volunteer baadhi tu.
Ok sawa ila HIO ishu ya juu ilikuwa ni ya MJI wa kersonNi 500,000 kijana,kwa sasa wapo mpakani mwa Belarus na Ukraine.Wanasubiri Jeshi la Anga liharibu miundo mbinu yote inayoweza kuiwezesha Ukraine kupigana Vita waingie kufagia.Believe me by Christmas Kyiv itakuwa imesha anguka.