Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Leo katumia mbinu gani mkuu anga au ardhi na amewezaje?
 
Dege la kutisha Sana katika makaratasi na mitandaoni but not combat proven.
Hiyo ndege haijawahi kutoka nje ya taifa la US. Wanaamini hiyo Ni surprise kwa maadui wa Russia popote itapokua assigned kufanya operation
Ina maana F-22 haijawahi fanya mishe yeyote ?...hata kama supporting role ?....

Ila unaweza kuta haipishani Sana na F-15 au hata Rafale ya Ufaransa...sema inakuzwa tu sababu ya gharama kubwa ya uzalishaji
T14 Armata
 
Mkuu majeshi ya NATO yapo-frontline usibishe,there is ample evidence.
Kuna video moja hivi niliiona, ilikuwa channel ya Wachambuzi wa USA walionyesha shahid kuwa USA government walipeleka wanajeshi wengi sana ukraine , walionyesha mpaka wanajeshi wa malekani walivyokufa Kule.
Niliiona walionyesha amabaki ya vitanbulisho vya wanajeshi wa USA waliokufa kule ukraine.
USA government walipeleka wanajeshi wengi sana kule ukraine.
 
Ni 500,000 kijana,kwa sasa wapo mpakani mwa Belarus na Ukraine.Wanasubiri Jeshi la Anga liharibu miundo mbinu yote inayoweza kuiwezesha Ukraine kupigana Vita waingie kufagia.Believe me by Christmas Kyiv itakuwa imesha anguka.
Mkuu una akili za kitoto sana😂😂 yani kabisa unaamini mtaweza kuiangusha kyiv? Kwa sasa msahau kuhusu kyiv kuanguka. Krissmas tupo hapa nitakutafuta
 
Kilichobaki kwa fashisti Putin ni kuendelea kupigana kiume Ili kuficha aibu ya kichapo anachotembezewa

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Uko sahihi nadhani labda hukunielewa vyema comparison aliyotoa ni kwa ndege ambazo zipo katika generation 1 na ndiyo maana tulizungumzia Eurofighter Typhoon na hiyo Dassault Refale.

Ukiachana na dunia ya sasa kiteknolojia kufikia katika BVR combat na hizo Active Electronically Scanned Array radar ila alinigusia pia bado haiondoi uhalisia wa rubani kuwa na uwezo wa kujua traditional combat vitu kama dogfights, maneuver n.k japo kama ulivyosema kwa sasa hayo mambo siyo hutumika kihivyo.

Vile vile huwezi linganisha Fighter 6 mfano na kitu kama Saab JAS 39 Griphen hapo lazima utaona utofauti hata wa marubani tu. Kwasababu hiyo Fighter 6 tu hata uwezo wa BVR combat mtihani.
 
Habari za Jumapili warusi wa Tozonia [emoji23]

Hivi mna habari Ukraine imetupa Makombora kwenye Base ambayo walifikia wale walevi wa mobilization [emoji23] wameungua kama nyama Choma, hospital zimejaa mpk wengine wanapelekwa Crimea [emoji23][emoji23][emoji23]


Hahahaha Slava Ukraine [emoji1255][emoji1255][emoji1255][emoji1255]
 
Picha zipo ukurasa upi[emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23]
 
Unajielewa vizuri wewe.walikamatwa na Warusi kwenye mji wa Mariupol(Ukraine) kwani wewe umekuja Dar lini maana habari nyingi huna[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 2442437
Mbona una beat around the bushes mkuu?😂😂 Swali rahisi unashindwa kujibu.? Hizi habari sio lazima uwe dar ndio uzipate nashangaa hata kwanin umeitaja dar labda ueleze kwanin umeitaja.

Kwa taarifa tu mjini nipo kitambo tangu bakhresqqa anauza maji kwenye vipakti kwa sh. 50.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…