kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,184
- 9,407
nilicheka niliposikia hawa nao ni wajeda wa urusi ha ha ha ha wameva jeje
Bei ikifika huko sijui tutaishijeRussia baada ya kusikia EU/US wanaenda kupiga ban mafuta kaanza kuweweseka na kutishia nyau kama kawaida yake [emoji1][emoji1]
View attachment 2143010
View attachment 2143014
Tutaishi hivyo hivyo maana wazalishaji si wako wengi wataongeza uzalishaji.Bei ikifika huko sijui tutaishije
Tutaishi kwa kudra za mwenyezi Mungu. A small price to pay for world freedom.Bei ikifika huko sijui tutaishije
Nilitegemea ukanushe kwa kuweka "ukweli" wako lakini ukiishia tu kusema huu ni uwongo na hauweki huo ukweli wako binafsi nitaendelea kumwamini T14 Armata walau yeye katufafanulia.Huu ni uongo wa mchana kweupe.
Putin Hana kabisa asili ya huko unapsema.
Sio mtuva, mburyat yaani Hana kabisa mongoloid race
sio kwamba kikosi cha urusi kipo weak kivile,sema wanapigana na taifa ambalo linapewa support na mataifa mengine kama silaha na mbinu ndio maana unaona ukrein anaonekana kujitutumua ingekuwa sio hivyo siku mbili tu vita ingeishaYap!....bila Uchumi imara huwezi kuwa na nguvu kubwa za kijeshi.
Nilijua askari wa Urusi wamepata uzoefu sana huko Syria hivyo Ukraine ingetekwa kirahisi lakini mambo ya kijeshi hayapo hivyo.
Vita vya Georgia mwaka 2008 vilionyesha udhaifu mkubwa wa Urusi na wizara yao ya ulinzi iliahidi maboresho makubwa....
Namna walivyoitwaa Crimea mwaka 2014 walionekana bora Sana na hata walivyo 'perform' Syria walikuwa bora zaidi nadhani hawakukutana na upinzani imara ndio maana walionekana bora ila si kwamba wapo imara.
Hakika umejitolea sana katika hili. Vipi lakini kuhusu taarifa za upande wa pili nazo zikoje. Au wao mambo yanakwenda intact kabisa. Au huzipati
Nadhani umenielewa tofautiSasa uliwahi kuona wapi RAIA wa kawaida anapenda vita??
cc Morogoro kaskazini tunaweza linganisha Map yako na hii hapa tupate balance
Huyu anabalance kile NYUNDO YA MOTO anachotuletea hapa kila siku chenye mlengo wa upande mmoja .Hakika umejitolea sana katika hili. Vipi lakini kuhusu taarifa za upande wa pili nazo zikoje. Au wao mambo yanakwenda intact kabisa. Au huzipati
Kulikuwa na speculations mbili.....Wengine wengi ni kutoka nyanda za milima ya Urals. Nimeshagusia kuwa wamekuwa drafted kwenda jeshini vijana wadogo na experience hawana alafu wanakutana na jeshi la Ukraine linalopigana since 2014. Ni vijana maskini kutoka jamii minorities za Russian Federation, at least Chechens wana uzoefu na kupigana na huwa wanapenda vita na actually kupigana wanaweza sana wale hata ile Chechen war kwenye ile uprising majeshi ya Russia yalipigwa hovyo na vifaru vikaharibiwa hivihivi.
Hao troops walioenda hutowaona Caucasians wengi wale wa Western na miji kama St. Petersburg, utakuta mostly ni from Siberia uko. Labda maofisa na wataalamu. Binafsi Putin huwa naona ana dalili za kuwa na asili ya Eastern part kule kwa kina Mongols
Unaongea kwa chuki tu ila Urusi ni taifa kubwa sana wala njaa hakuna hata waweke vikwazo miaka 100.
Urusi ndo nchi ya kwanza Duniani kuwa na asilimia 85 ya madini yote duniani.ni madin machache tu ndo ayapo Urusi, ila madin yote unayoyajua wew yanapatikan Urusi.
Taka taka yoyote ile unayoijua wew inatengenezwa Urusi
*magari
*ndege
*treni
*mashine za kweny madini, mashine za miundombinu, mashine za hospital, mashine za viwandani, mashine za kilimo
*wanatengeneza simu, tv, computer, cctv camera na takatak zingine.
Urusi sio taifa dogo kabisa.dawa asilimia 100 wanatengeneza kwao.