LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Naam tukiacha propaganda na maigizo kutoka ukraine. Raia wa ukraine hasa wanaume wameanza kutoroka inchi kwa kutumia mbinu ya kujificha kwe mabuti ya magari wanaume wengi wa ukraine wamelistukia jeshi la ukraine linataka kuwageuza wao kama ngao kusema ukweli ukraine imekuwa ikitengeza fake video nyingi ili kuwapa moyo wanajesh wake lakin raia wameshajua ukweli
img_2_1646691618355.jpg
alafu anakuja mtu anakwambi tumeteka wanajeshi wa urusi ha ha ha ha ha ha huruma sana aki
 
Yap!....bila Uchumi imara huwezi kuwa na nguvu kubwa za kijeshi.

Nilijua askari wa Urusi wamepata uzoefu sana huko Syria hivyo Ukraine ingetekwa kirahisi lakini mambo ya kijeshi hayapo hivyo.

Vita vya Georgia mwaka 2008 vilionyesha udhaifu mkubwa wa Urusi na wizara yao ya ulinzi iliahidi maboresho makubwa....

Namna walivyoitwaa Crimea mwaka 2014 walionekana bora Sana na hata walivyo 'perform' Syria walikuwa bora zaidi nadhani hawakukutana na upinzani imara ndio maana walionekana bora ila si kwamba wapo imara.
sio kwamba kikosi cha urusi kipo weak kivile,sema wanapigana na taifa ambalo linapewa support na mataifa mengine kama silaha na mbinu ndio maana unaona ukrein anaonekana kujitutumua ingekuwa sio hivyo siku mbili tu vita ingeisha
 
General mwingine wa Urusi aliuwawa huko kharkov, Ukraine
Translation from Russian to English
IMG_20220308_104115_888.jpg
Screenshot_20220308-104722.png
Screenshot_20220308-104732.png
 
Wengine wengi ni kutoka nyanda za milima ya Urals. Nimeshagusia kuwa wamekuwa drafted kwenda jeshini vijana wadogo na experience hawana alafu wanakutana na jeshi la Ukraine linalopigana since 2014. Ni vijana maskini kutoka jamii minorities za Russian Federation, at least Chechens wana uzoefu na kupigana na huwa wanapenda vita na actually kupigana wanaweza sana wale hata ile Chechen war kwenye ile uprising majeshi ya Russia yalipigwa hovyo na vifaru vikaharibiwa hivihivi.

Hao troops walioenda hutowaona Caucasians wengi wale wa Western na miji kama St. Petersburg, utakuta mostly ni from Siberia uko. Labda maofisa na wataalamu. Binafsi Putin huwa naona ana dalili za kuwa na asili ya Eastern part kule kwa kina Mongols
Kulikuwa na speculations mbili.....
1. Western russians wana Ndugu wengi Ukraine ni ngumu kuwaambia wapigane.
2. Kungekuwa na Riots kwenye miji mikubwa as their sons wangekuwa wamepelekwa vitani, lakini saiv hawawezi Goma sababu sio watoto wao waliopo vitani.
 
Zelensky will involve Ukrainian peacekeepers in military operations against Russia.

The signing of the decree is reported in the Telegram channel of the Rada:

"Zelensky has decided to withdraw Ukrainian peacekeepers around the world ... to strengthen the Ukrainian army in repelling Russian aggression."
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Unaongea kwa chuki tu ila Urusi ni taifa kubwa sana wala njaa hakuna hata waweke vikwazo miaka 100.

Urusi ndo nchi ya kwanza Duniani kuwa na asilimia 85 ya madini yote duniani.ni madin machache tu ndo ayapo Urusi, ila madin yote unayoyajua wew yanapatikan Urusi.

Taka taka yoyote ile unayoijua wew inatengenezwa Urusi

*magari
*ndege
*treni
*mashine za kweny madini, mashine za miundombinu, mashine za hospital, mashine za viwandani, mashine za kilimo
*wanatengeneza simu, tv, computer, cctv camera na takatak zingine.

Urusi sio taifa dogo kabisa.dawa asilimia 100 wanatengeneza kwao.

Russia kwa nchi tajir ipo top20 kama sikosei shida western propaganda. Kuna article nilisoma kwamba nuclear missile ina cost approximately $75m sasa anazo ngapi? Ukiachana na zile tsar, satan ambzo cost zake ni ghali.

Western wanatuaminisha kuwa Russia ni maskini[emoji28]
 
Yesterday we kept about 400 large buses completely empty in order to take people out of the surrounded cities and take them wherever they asked. But all these 400 huge buses stood empty all day.”

Humanitarian corridors in Ukraine do not work, people cannot go out. The only explanation for this is that Ukraine cannot control its armed forces, Medinsky expressed his opinion in an exclusive interview for RT.

Despite this, Russia will continue to keep the corridors open for several hours a day and observe the ceasefire, which Ukraine does not hold:

“No one left the cities. That is, they do not allow people to leave [the cities] and keep them there as human shields. This is where the problem is. They do not follow the orders of the government in Kyiv. This is a real tragedy."

SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom