Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]

Wizara ya Urusi imekabidhi gari vita mpya 500 aina ya AMN-590951 kwa ajili ya kisaidia wanajeshi wa Urusi wanaopigana vita Ukraine.





Urusi sio Zimbambwe[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Patriot ni zile zile tu.... sema kwa Sasa wameziboresha tu.

Ila kuziweka Ukraine sio rahisi, labda wapeleke Poland.
T14 Armata Sela Son
Patriot ni very complex zinahitaji training ya miezi mingi. Labda Marekani ilishachukua Ukrainians kuwafundisha. Zitafungwa hapo hapo Ukraine kuzuia long range cruise missiles (kama zikitolewa).
Suicide drones, short range missiles na jets zina defense systems nyingine kama SPAAG na NASAMS.

Soma hata systems za Iran au Israel kuelewa concept ya multilayered & integrated air defense.
 
Featured-Image-Patriot-air-defence-system.jpg

Marekani imekubali kupeleka hii kitu Kwenye uwanja wa vita huko Ukraine.
 
Featured-Image-Patriot-air-defence-system.jpg

Marekani imekubali kupeleka hii kitu Kwenye uwanja wa vita huko Ukraine.
Mimi watu wanaoshabikia Western Governments nawashangaa sana.Hivi ni kwamba hamjui serikali hizo zinamtumikia Shetani straight,au na ninyi ni agents wa Shetani?Maana sielewi,au ni mere ignorance.Inashangaza sana,yaani unamsifia mchawi anayekuroga,how stupid.
 
Mmesahau kilitokea nini juzi tu nchini Saudia[emoji23][emoji23][emoji23].hii mifumo sio ya kuamini kabisa kuwa una mlinzi nnje huku wewe unapiga usingizi ndani, unaweza ukajikuta umechomwa kama nyama.
Kwani nini kilitokea last week kwa Russia mpk base zake zilizo km chache kutokea Moscow kubutuliwa. Zile S-500 na S-400 sijui zilikua wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwani nini kilitokea last week kwa Russia mpk base zake zilizo km chache kutokea Moscow kubutuliwa. Zile S-500 na S-400 sijui zilikua wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mifumo katengeneza binadamu ndo maana nimekwambia sio ya kuamini kabisa hii mifumo wewe umelala unajua nnje ulinzi upo.utachomwa kama nyama[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kwa siku moja Ukraine wamekula vichwa 740 vya wanajeshi wa Urusi🤔
.....
Highly productive day for Ukraine's Armed Forces. Dec.14 update on Russian losses in the war.
FB_IMG_1671004861511.jpg
 
Mimi watu wanaoshabikia Western Governments nawashangaa sana.Hivi ni kwamba hamjui serikali hizo zinamtumikia Shetani straight au,au na ninyi ni agents wa Shetani?Maana sielewi,au ni mere ignorance.Inashangaza sana,yaani unamsifia mchawi anayekuroga,how stupid.
Serikali za wapi ambazo hazitumikii shetani. Hivi Urusi si ndiyo kiti chenyewe cha shetani kilipo!!??
 
Mmesahau kilitokea nini juzi tu nchini Saudia[emoji23][emoji23][emoji23].hii mifumo sio ya kuamini kabisa kuwa una mlinzi nnje huku wewe unapiga usingizi ndani, unaweza ukajikuta umechomwa kama nyama.
Kuwa na mtambo na kuutumia kwa usahihi ni mambo mawili tofauti. Ndiyo maana wanajeshi wa Ukraine wanapelekwa Ujerumani kujifunza jinsi ya kuutumia kwa usahihi.

Hujawahi ona nyumba ina mlinzi nje lakini bado wanaibiwa!!??
 
Serikali za wapi ambazo hazitumikii shetani. Hivi Urusi si ndiyo kiti chenyewe cha shetani kilipo!!??
You are so ignorant.Shetani makao makuu ya agents wake ni "City of London." Mind you kuna "city of London," lower case "c," na The "City of London," upper case "C." The City of London is sovereign,na haipo chini ya serikali ya Uingereza.Hata Mfalme wa Uingereza Charles akienda hapo lazima atoe taarifa.Ukubwa wa The City of London ni One Square Mile only,lakini ndiyo inayoitawala Dunia.

 
You are so ignorant.Shetani makao makuu ya agents wake ni "City of London." Mind you kuna "city of London," lower case "c," na The "City of London," upper case "C." The City of London is sovereign,na haipo chini ya serikali ya Uingereza.Hata Mfalme wa Uingereza Charles alienda hapo lazima atoe taarifa.Ukubwa wa The City of London ni One Square Mile only,lakini ndiyo inayoitawala Dunia.

Hivi kuna watu bado mna haya mawazo. Kazi ipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].

Huyo shetani mlimuona wapi?![emoji23]
 
Back
Top Bottom