mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Patriot ni very complex zinahitaji training ya miezi mingi. Labda Marekani ilishachukua Ukrainians kuwafundisha. Zitafungwa hapo hapo Ukraine kuzuia long range cruise missiles (kama zikitolewa).Patriot ni zile zile tu.... sema kwa Sasa wameziboresha tu.
Ila kuziweka Ukraine sio rahisi, labda wapeleke Poland.
T14 Armata Sela Son
Umekunywa chai kweli?! Maana hata unachouliza hakieleweki!!!!Unataka apewe na nani
Ma-cocaine yanamsumbua Zelensky,atamaliza watu wa Ukraine,very sad.Ni ujinga wa Zelensk kuwalazimisha vijana kuwa hakuna kurudi nyuma.mwisho wa siku wananaswa kama kumbikumbi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi watu wanaoshabikia Western Governments nawashangaa sana.Hivi ni kwamba hamjui serikali hizo zinamtumikia Shetani straight,au na ninyi ni agents wa Shetani?Maana sielewi,au ni mere ignorance.Inashangaza sana,yaani unamsifia mchawi anayekuroga,how stupid.
Marekani imekubali kupeleka hii kitu Kwenye uwanja wa vita huko Ukraine.
Mmesahau kilitokea nini juzi tu nchini Saudia[emoji23][emoji23][emoji23].hii mifumo sio ya kuamini kabisa kuwa una mlinzi nnje huku wewe unapiga usingizi ndani, unaweza ukajikuta umechomwa kama nyama.
Marekani imekubali kupeleka hii kitu Kwenye uwanja wa vita huko Ukraine.
Kwani nini kilitokea last week kwa Russia mpk base zake zilizo km chache kutokea Moscow kubutuliwa. Zile S-500 na S-400 sijui zilikua wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mmesahau kilitokea nini juzi tu nchini Saudia[emoji23][emoji23][emoji23].hii mifumo sio ya kuamini kabisa kuwa una mlinzi nnje huku wewe unapiga usingizi ndani, unaweza ukajikuta umechomwa kama nyama.
Haziwezi wekwa Poland kuilinda Ukraine...Patriot ni zile zile tu.... sema kwa Sasa wameziboresha tu.
Ila kuziweka Ukraine sio rahisi, labda wapeleke Poland.
T14 Armata Sela Son
Mifumo katengeneza binadamu ndo maana nimekwambia sio ya kuamini kabisa hii mifumo wewe umelala unajua nnje ulinzi upo.utachomwa kama nyama[emoji23][emoji23][emoji23]Kwani nini kilitokea last week kwa Russia mpk base zake zilizo km chache kutokea Moscow kubutuliwa. Zile S-500 na S-400 sijui zilikua wapi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani Ukraine yupo NATO mpaka imlinde?Haziwezi wekwa Poland kuilinda Ukraine...
Zitawekwa Ukraine kuilinda Ukraine
Serikali za wapi ambazo hazitumikii shetani. Hivi Urusi si ndiyo kiti chenyewe cha shetani kilipo!!??Mimi watu wanaoshabikia Western Governments nawashangaa sana.Hivi ni kwamba hamjui serikali hizo zinamtumikia Shetani straight au,au na ninyi ni agents wa Shetani?Maana sielewi,au ni mere ignorance.Inashangaza sana,yaani unamsifia mchawi anayekuroga,how stupid.
Aisee![emoji22][emoji22][emoji22][emoji22]Kwa siku moja Ukraine wamekula vichwa 740 vya wanajeshi wa Urusi[emoji848]
.....
Highly productive day for Ukraine's Armed Forces. Dec.14 update on Russian losses in the war.
View attachment 2446268
Kuwa na mtambo na kuutumia kwa usahihi ni mambo mawili tofauti. Ndiyo maana wanajeshi wa Ukraine wanapelekwa Ujerumani kujifunza jinsi ya kuutumia kwa usahihi.Mmesahau kilitokea nini juzi tu nchini Saudia[emoji23][emoji23][emoji23].hii mifumo sio ya kuamini kabisa kuwa una mlinzi nnje huku wewe unapiga usingizi ndani, unaweza ukajikuta umechomwa kama nyama.
You are so ignorant.Shetani makao makuu ya agents wake ni "City of London." Mind you kuna "city of London," lower case "c," na The "City of London," upper case "C." The City of London is sovereign,na haipo chini ya serikali ya Uingereza.Hata Mfalme wa Uingereza Charles akienda hapo lazima atoe taarifa.Ukubwa wa The City of London ni One Square Mile only,lakini ndiyo inayoitawala Dunia.Serikali za wapi ambazo hazitumikii shetani. Hivi Urusi si ndiyo kiti chenyewe cha shetani kilipo!!??
Hadi shetani anakushangaazinamtumikia Shetani straight
Hivi kuna watu bado mna haya mawazo. Kazi ipo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].You are so ignorant.Shetani makao makuu ya agents wake ni "City of London." Mind you kuna "city of London," lower case "c," na The "City of London," upper case "C." The City of London is sovereign,na haipo chini ya serikali ya Uingereza.Hata Mfalme wa Uingereza Charles alienda hapo lazima atoe taarifa.Ukubwa wa The City of London ni One Square Mile only,lakini ndiyo inayoitawala Dunia.