Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hii ni kawaida vitani.inaitwa propaganda uwanja wa vita.Houth awana uwezo uwo wa kurusha balistic 100.wanazitoa wapi[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Ni ya zamani maana sijaona hata kwenye sources za Warusi kama kuna kundi kubwa la waUkraine wamejisalimisha Bakhmut. Kama Una source leta!
Source gani unataka zaidi ya picha na video.kwa iyo hao waliokamatwa sio watu au[emoji23][emoji23][emoji23][emoji12][emoji12].

Kazi mnayo mwaka huu.Urusi sio kila anachokifanya uwanja wa vita basi lazima atangaze kila sehemu.ndo maana unawekewa ivyo upate ushahidi kamili
 
Hii ni kawaida vitani.inaitwa propaganda uwanja wa vita.Houth awana uwezo uwo wa kurusha balistic 100.wanazitoa wapi[emoji23][emoji23][emoji23].
Wanazitoa wapi,hujui km Iran inawapa Houthi Makombora. Wanasafirisha viparts vinakuja kuungwa hapo Yemen.
Pia Houthi walikamata stock ya silaha za serikali ya Yemen iliyoondoshwa.

Na mpk Leo wanarusha Ballistic missiles,juzi Saudia katoa order tena ya kununua Makombora ya Patriot 300.


Halafu soma vizuri hiyo ilikua ni Kati ya 2015-2017.
 
Leta source ulikotoa hiyo picha,hata Mimi naweza kuleta picha ya August ya walevi wa kirusi walivyokamatwa kama kuku kule Kupiansk na Lyman nikasema ni Bakhmut.
 
Patriot inatumwa Ukraine kwa kuwa kweli inahitajika technically au kwa kuwa tu Zelensky kaiomba so inabidi apewe. Wataalam mtanisaidia. Patriot naiona sana kwenye kupambana na ballistic missiles sio cruise missiles ambazo ni subsonic na zinatembea kimo cha miti.. Kama Russia anatumia Kh-101 sana ni Patriot au Nasams ilipaswa kupewa kipaumbele?
 
Mkuu ukiona taifa linamiliki balistic missile 300 basi ilo taifa sio la mchezo.kurusha balistic 100 bro acha utani
 
Leta source ulikotoa hiyo picha,hata Mimi naweza kuleta picha ya August ya walevi wa kirusi walivyokamatwa kama kuku kule Kupiansk na Lyman nikasema ni Bakhmut.
Utaleta ila sipo wala hakuna picha ya zamani utaleta kwenye hii group alafu isijulikane.Vunjo mwenyewe aliumbuka na video zake za zamani.watu wakamletea ushahidi[emoji23][emoji23][emoji23].
 
Mkuu ukiona taifa linamiliki balistic missile 300 basi ilo taifa sio la mchezo.kurusha balistic 100 bro acha utani
Sasa Mkuu data ndo zinanyesha hivyo halafu ww unabisha,hao Houthi mpaka Leo wanarusha Makombora ya Ballistic na msaidizi wao Mkuu ni Iran

Hizi ni baadhi ya interception ambazo Saudi imefanya dhidi ya Ballistic missiles

Saudi forces intercept ballistic missiles and drones fired from Yemen
The attack comes days after a drone strike on an airport in Saudi Arabia’s south left eight people wounded
Saudi forces intercept ballistic missiles and drones fired from Yemen

Saudi Arabia intercepts ballistic missile over Riyadh
Saudi Arabia intercepts ballistic missile over Riyadh

Saudi defenses intercept ballistic missile launched by Yemen’s Houthi militia toward Jazan
Saudi defenses intercept ballistic missile launched by Yemen’s Houthi militia toward Jazan

Saudi Arabia: 7 missiles fired from Yemen, 1 killed from falling debris.
Saudi armed forces said they intercepted seven ballistic missiles on Sunday night
Saudi Arabia: 7 missiles fired from Yemen, 1 killed from falling debris | CNN

Saudi forces intercept two missiles over curfew-locked Riyadh
Saudi forces intercept two missiles over curfew-locked Riyadh

Saudi intercepts ballistic missile from Yemen: Coalition
Saudi intercepts ballistic missile from Yemen: Coalition

Hizo interceptions zote zimefanywa na Patriot
 
 
Kuna watu watapita kama vile hawajaiona hii article
 
Mkuu Balistic sio mchezo.sikatai houthi kurusha ila hazizidi 30. Maana ni makombora ya gharama na pia yanachukua muda kutengeneza
 
Mariupol inaendelea kutokea huko Bakhmut.[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]


Wanajeshi wa Ukraine wakiwa wamekubali kujisalimisha kwenye mji wa BakhmutView attachment 2446190View attachment 2446191
SI NILIKWAMBIA KWAMBA HII PICHA NI YA ZAMANI, USHAHIDI HAPO CHINI. PICHA YA MIEZI 8 ILIYOPITA.Mwanzo sikutaka tu kuifatilia.

Fungua link hapo chini uone,kuna mpk video sio picha tu.

Военнослужащие ВСУ сдаются в плен российским военным
 
Ukiangalia kwenye link zako hakuna hata Balistic 15.na hata kwenye tovuti ya Patriot hakuna hata balistic 20 wanazosema zimetungulia na patriot nchini Saudia.Balistic sio makombora ya mchezo mchezo.hata iran mwenyewe usikute makombola 300 ya balistic afikishi
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ebu kuwa serious basi muda mwingine.izo picha na video unaona zipo sawa kweli.kuwa serious basi
KAMATA MWIZIIIIIII

Ya Kwanza ni picha yako ya magumashi uliyotuwekea JF

Ya pili ni picha (screenshot) toka kwenye video ambayo ni ya miezi 8 iliyopita.

Link nakuwekea hapo chini.
Военнослужащие ВСУ сдаются в плен российским военным

Nimekukamata White handed sio Red handed[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]

Bwana Utam
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]



 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…