NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,003
Mwanaume hawezi kutoroka,wameambiwa wachukue silaha kama,toroka ufumwe.Naam tukiacha propaganda na maigizo kutoka ukraine. Raia wa ukraine hasa wanaume wameanza kutoroka inchi kwa kutumia mbinu ya kujificha kwe mabuti ya magari wanaume wengi wa ukraine wamelistukia jeshi la ukraine linataka kuwageuza wao kama ngao kusema ukweli ukraine imekuwa ikitengeza fake video nyingi ili kuwapa moyo wanajesh wake lakin raia wameshajua ukweli View attachment 2143059 alafu anakuja mtu anakwambi tumeteka wanajeshi wa urusi ha ha ha ha ha ha huruma sana aki
Hizi ndio propanda zenyewe,kama kwenye red kote huko Russia imeteka inakuaje bado hawajakamata serikali?Ukreina inakwambia tuneharibu silaha za urusi na kuwateka wanajeshi. Mwamba putin yeye anaendelea kunyakulia majimbo
#mtu mkimya muogopo
kwasasa silaha ya ukraine ni progaganda tu ha ha ha ha
View attachment 2143065
Mbona kama ni kilio cha mtu mzima hiki? Watu hawatoki sababu wengi wao wanataka kuilinda Nchi yao simple.Yesterday we kept about 400 large buses completely empty in order to take people out of the surrounded cities and take them wherever they asked. But all these 400 huge buses stood empty all day.”
Humanitarian corridors in Ukraine do not work, people cannot go out. The only explanation for this is that Ukraine cannot control its armed forces, Medinsky expressed his opinion in an exclusive interview for RT.
Despite this, Russia will continue to keep the corridors open for several hours a day and observe the ceasefire, which Ukraine does not hold:
“No one left the cities. That is, they do not allow people to leave [the cities] and keep them there as human shields. This is where the problem is. They do not follow the orders of the government in Kyiv. This is a real tragedy."
View attachment 2143172
Western ,propaganda waaminisha russia ni masikini,apo apo unasema russia ipo top 20 kwa utajir,sasa kuwa top 20 ya utajir umeipata wap kama sio record za hao hao westernRussia kwa nchi tajir ipo top20 kama sikosei shida western propaganda. Kuna article nilisoma kwamba nuclear missile ina cost approximately $75m sasa anazo ngapi? Ukiachana na zile tsar, satan ambzo cost zake ni ghali.
Western wanatuaminisha kuwa Russia ni maskini[emoji28]
Hizi ndio propanda zenyewe,kama kwenye red kote huko Russia imeteka inakuaje bado hawajakamata serikali?
Hali halisi iko hivi huko kwenye ground
View attachment 2143192
View attachment 2143193
View attachment 2143194