LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums

Propaganda za Zelensky zinakupeleka kubaya wewe, hebu punguza mahaba urejee kwny uhalisia Basi[emoji4]
 
Huyo ni Fala na hawez lolote , jinga kabisa na watalishikisha adabu....
 
Propaganda za Zelensky zinakupeleka kubaya wewe, hebu punguza mahaba urejee kwny uhalisia Basi[emoji4]
Hata Mogadishu mwaka 1993 Raia wa Somalia Mogadishu yote walikuwa na Bunduki, Lakini Marekani alipoona ili ashinde Vita itabidi aue Kila mtu pale Mogadishu akaona isiwe taabu akaamua kuondoka kwa Aibu.

Sasa sijui Urusi anashindwa Nini Kurudisha Wanajeshi Nyumbani make Vita vya Ardhini vilishamshinda,kilichobaki ni yeye kuangusha mabomu yanayoua watu wasio na hatia na kuharibu miundo mbinu TU.

Wakati wa Vita baridi,Uraine ambayo ilikuwa ndani ya USSR kulikuwa na NUCLEAR BUNKERS zenye Uwezo wa kuhifadhi watu Milioni 7 nchini Ukraine TU. Kwahiyo,hata Kama Russia atashusha mabomu bado Wanajeshi wa Ukraine watakuwa ndani ya BUNKERS,Baada ya ndege kushambulia,Urusi ataingiza Jeshi la Ardhini kwa Vifaru na Amoured Vehicles,hapo ndipo Jeshi la Ukraine linatoka kwenye BUNKERS na kufanya AMBUSH. Kwahiyo zaidi ya kuharibu Majengo na kuua Raia ambao hawajui BUNKERS zilipo sioni Kingine kinachofanikishwa na mashambulizi ya Anga ya Urusi kwenye miji ya Ukraine.
 
Warusi wabishe kama ni propaganda ya Ukraine.CNBC ni chombo kikubwa Cha habari duniani, nafikiri Hata wao hii habari wameshaipata.Mpaka general kuuwawa kutakuwa na mauaji ya askari wa chini yake wengi sana🤔
 
Wasomali wana umoja sana likija suala la uadui ndio maana USA alipoweka dau kwa ajili Aidid wao wakaweka dau la juu zaidi kwa US president nafikiri alikuwa Clinton

Ila Wasomali kiboko yaani kilichomfanya Mmarekani akimbie ni pale walipouwawa Makomando wao wa Delta-Force na viungo kufungwa kamba na kupewa watoto wakimbie navyo barabarani kama yale magari ya kitoto [emoji23][emoji23]

Waandishi wa Habari walirekodi na kutuma
Wamarekani iliwauma sana ndio wakaishinikiza serikali yao iwaondoe haraka

General Mohammed Aidid mjeda niliemkubali na Shujaa wetu wa Africa
 
Hizo zote zingine porojo. Mimi si wa kuamua nani mwenye dhambi na nani hana dhambi.

Haiwezi kuwa dhambi kwa mmoja basi kwa mwengine ikawa si dhambi.
Jibu la jepesi na ovyo kwenye maswali ya msingi
 
Ukivamia nchi yenye mshikamano Basi jiandae kushindwa hata Kama utashida kwa wakati huo. Hiyo ni historia ilivyo. Ukishindwa Theory ya DIVIDE and RULE Basi umekwisha.

Urusi imeshindwa kuwashawishi Raia wa UKRAINE kwanini inavamia ndio maana hata Raia wa kawaida wako kwenye foreni ya kuchukua Siraha kupigana dhidi ya Urusi.
 
Ww kweli mpuuzi Israel kuivamia Palestine Wa Ukraine wanahusika vipi? Wanaouliwa Ukraine Na wanaouliwa Palestine wote Ni binadamu ukiwa Na utashi Wa kibinadamu huwez kushangilia mauaji hayo otherwise utakuwa Na utashi Wa kishetani.
 
Toka niaze kufuatilia hivi vita vya Urusi v/s Ukraine naona Kuna baadhi ya watu wa Imani flani wanaishabikia Urusi ili kupata amani ya mioyo Yao kwa kulipa kisasi Kwa mashambulizi yaliyokwishafanya kwenye nchi za kiarabu, huu Ni ujinga Wa kiwango cha juu sana.
 
Either hujui au umeamua tu kuwa Muongo....
Hao kina Denis Pushilin ni wa Russia?
Unavyokutana na habari LNDR na DNR unaelewa nn?
Asilimia kubwa ya forces ni WaUkraine wenyewe, yaani wanapigana na wa Ukraine wenzao kwa msaada wa Russia.
Usiwe muongo mkuu, humu unasomwa na maelfu ya watu.
 
Mbona unazungumza Kitu ambacho hata sijakizungumza? Nenda Straight,Quote uongo wangu uonekane ili na Mimi niutetee. Sasa unanilaumu kwa ambacho hata sijakiongea? Labda utakuwa umekosea mtu wa kumquote.
 
Uongo wako ni kutuambia Ukraine kuna mshikamano, huu tu ni uongo mkubwa.
 
sio kwamba kikosi cha urusi kipo weak kivile,sema wanapigana na taifa ambalo linapewa support na mataifa mengine kama silaha na mbinu ndio maana unaona ukrein anaonekana kujitutumua ingekuwa sio hivyo siku mbili tu vita ingeisha
Hapa duniani bwana,mbinu ni Bora kuliko miguvu... mwenzie anatumia mbinu mubashara Putin anakuja Kama kifaru mwenzie ana taarifa zake zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…