Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hauna tofauti na Vunjo kwa sasa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Hii ndo fidia mliyoona inafaa kuwalipa View attachment 2457358
Yani ww mnywa mataputapu siku hizi huna hoja ya maana zaidi ya kutuletea mapicha ya mchongo ndo maana hata wenzako hawakusapoti. Hilo lipicha Lenu lilishajulikana ni la kuedit Ila mla unga toka kwa Alimboa bado unalo
IMG_20221222_205658.jpg
 
[emoji298]️The "Wagner" PMC suffered heavy losses, the pace of the offensive near Bakhmut decreased, — Institute for the Study of War (ISW).

 
Ukiwa na urafiki na shoga basi nawewe una asilimia 70 za kuwa na wewe ni shoga

(1) T 14- armata
(2) Vunjo
(3) Kipanya 44
(4)Proved
(5)Axel
(6)MK 254

Nimewasilisha haya majina kwa kamati ya group.naomba kamati ya group iwachunguze awa watu.nina mashaka nao sio wenzetu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


Nasubiri mrejesho kutoka kwenye kamatiView attachment 2456547
Hivi hii ni Photoshop ? Kama ni fake haipendezi kuzusha udhalilishaji huu, na kama ni original haipendezi pia kwa kiwango hicho hicho cha udhalilishaji na utovu wa maadili.
 
[emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630][emoji630]
Marekani asipobadilika atapokea kipigo Cha paka mwizi na Dunia haitaminiView attachment 2457404
Washington intentionally hypes up the “China threat” as an exuse to boost its military spending in an effort to maintain its global dominance, the Chinese Defense Ministry said in a statement on Saturday, after President Joe Biden signed the 2023 US National Defense Authorization Act into law.

“Facts have proved more than once that the US is the direct threat to the international order and the culprit of the regional turbulence,” said the ministry’s spokesman, Colonel Tan Kefei.

The statement went on to claim that in pursuit of its selfish interests, the US on multiple occasions…

Continue Reading


News Source: China calls US a ‘direct threat’ to the world


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app

[emoji23][emoji23] huwa nacheka sana kwa hizi tambo, actualy hakuna kitakachofanyika. Hawa wana interest zao za muda mrefu. Wamekuwa wakichimbana biti for while now
 
Hivi hii ni Photoshop ? Kama ni fake haipendezi kuzusha udhalilishaji huu, na kama ni original haipendezi pia kwa kiwango hicho hicho cha udhalilishaji na utovu wa maadili.
Ni Photoshop Mkuu kuna Uzi wake ulishaletwa humu.

Picha halisi ni hiyo ya Mwisho kabisa
1-2.jpg
changes.jpg
IMG_20221222_205658.jpg
 
Warusi weusi mkasaidie kuzima Moto

[emoji298]️In Russia, a shopping center in fire in the Kuban.

The area of the fire was 1000 square meters, — reported the Ministry of Emergency Situations.

 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Magaidi wa Ukraine wanapukutika kama nzige Bakhnut ona hawa hata hawajafanikiwa kula Pilau la Xmas Bora waliobaki wasalimu amri Putin atawatoboa firigisi
Screenshot_20221225-123157~2.jpg
IMG_20221225_123207.jpg
IMG_20221225_123205.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]Kijana mdogo aliyejiunga na kundi la kigaidi la Ukraine na kumwacha mpnz wake mbichi hatimaye amerudi kwenye kiroba baada ya kukutana na vijana wa Putin
Screenshot_20221225-131455~2.jpg
IMG_20221225_131424.jpg


Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom