Sasa mtu anadafirisha silaha kwa vileThis video, according to social networks, is filmed as the Ukrainian Armed Forces transport weapons, in particular the British NLAW, in civilian vehicles.
The Russian military has previously stated that Ukrainian nationalists are using the civilian population of their cities as human shields. These words are confirmed by the refugees who managed to escape.
View attachment 2143570
Safi Sana kama huna magari ya jeshi ya kusafirisha ulitaka wajitwishe kichwani?This video, according to social networks, is filmed as the Ukrainian Armed Forces transport weapons, in particular the British NLAW, in civilian vehicles.
The Russian military has previously stated that Ukrainian nationalists are using the civilian population of their cities as human shields. These words are confirmed by the refugees who managed to escape.
View attachment 2143570
Wako wapi 😄😄More than 2.5 million Ukrainians have asked to be evacuated to Russia, the Russian Defense Ministry said.View attachment 2143571
Source please
Unatoa mchango huu ukitokea Vijibweni maeneo gani??Hata Mogadishu mwaka 1993 Raia wa Somalia Mogadishu yote walikuwa na Bunduki, Lakini Marekani alipoona ili ashinde Vita itabidi aue Kila mtu pale Mogadishu akaona isiwe taabu akaamua kuondoka kwa Aibu.
Sasa sijui Urusi anashindwa Nini Kurudisha Wanajeshi Nyumbani make Vita vya Ardhini vilishamshinda,kilichobaki ni yeye kuangusha mabomu yanayoua watu wasio na hatia na kuharibu miundo mbinu TU.
Wakati wa Vita baridi,Uraine ambayo ilikuwa ndani ya USSR kulikuwa na NUCLEAR BUNKERS zenye Uwezo wa kuhifadhi watu Milioni 7 nchini Ukraine TU. Kwahiyo,hata Kama Russia atashusha mabomu bado Wanajeshi wa Ukraine watakuwa ndani ya BUNKERS,Baada ya ndege kushambulia,Urusi ataingiza Jeshi la Ardhini kwa Vifaru na Amoured Vehicles,hapo ndipo Jeshi la Ukraine linatoka kwenye BUNKERS na kufanya AMBUSH. Kwahiyo zaidi ya kuharibu Majengo na kuua Raia ambao hawajui BUNKERS zilipo sioni Kingine kinachofanikishwa na mashambulizi ya Anga ya Urusi kwenye miji ya Ukraine.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] mkuu uko kibamba na unayajua haya, ila Putin yeye hajui. Hahahaah bongo michosho kweli.Hapo ndipo wanapomchezea akili Putin,yeye hajiongezi ,,,,yaani hata haiitaji degree kuelewa hilo
Tulia wanaume wapo kazini kulinda maslahi ya taifaPutin ifike mahali aache huu ujinga,
Hee kweli umepanic ina maana hujaona chanzo cha habari kwenye picha?Source please
Wakati ule US wanavamia nchi zingine walikuwa pampja na Mungu kwa sababu hakukuwa na taifa ambalo lingeipiga US kwa wakati ule ?Mungu yupo pamoja na Urusi na ndio maana hakuna taifa la kuipiga Urusi kwa sasa.
Nchi inayoongoza Dunia nzima kuwa na deposit ya Natural resources inakiwaje maskini labda wangekuwa hamna technology kama Kongo.Russia kwa nchi tajir ipo top20 kama sikosei shida western propaganda. Kuna article nilisoma kwamba nuclear missile ina cost approximately $75m sasa anazo ngapi? Ukiachana na zile tsar, satan ambzo cost zake ni ghali.
Western wanatuaminisha kuwa Russia ni maskini[emoji28]
Hili mbona liko wazi. BAADA ya kutengwa Iran kiuchumi kwa mda Mrefu Sasa ni zamu ya Russia kuonja uchungu wa vikwazo kamili. Vikwazo kwa Russia havitakuwa vichungu bila Mafuta ya Iran,Venezuela na Iraq kuingia sokoni.Nchi za magharibi zataka Iran iondolewe vikwazo ili azibe gape la mafuta la russia ,russia yaweka masharti magumu ,mabeberu wamebaki wamekenua tu hawajui cha kufanya
Kwa nyakati hizi Urusi ndio taifa teuleWakati ule US wanavamia nchi zingine walikuwa pampja na Mungu kwa sababu hakukuwa na taifa ambalo lingeipiga US kwa wakati ule ?