mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Ww jamaa hiyo sio simba na Yanga. Hiyo ni vita na inagharimu maisha ya watu. Unafurahia nn sasa?!Ukraine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
Ukraine imedaka mangapi? Maana mara ya mwisho walitupatia idadi ya yaliyodakwa.Air defence Leo hazionekani Kama Korea kusini juzi walikuwa wanaziona Kama sinema ya chausiku.View attachment 2461972View attachment 2461973
Wewe si uposi unachotaka Acha wenzako waposti wanachokitaka.Uzi mtu mmoja ana comment page mbili peke yake kisa makombora yamepigwa Ukraine. Kiherehere cha nini msisubiri mpate habari muilete? Sasa unapitia comments unaona ni pointless za mtu yule yule.
Kulipuliwa besi Ya Warusi imewasaidia nini Ukraine?Kwahiyo warusi ndio utaratibu wao mpya wanarusha Makombora baada ya muda wanatulia,then wanarusha tena wanatulia mpk nahisi hao Ukraine wamezoea sasa...au ndio kisasi baada ya base Yao kupigwa juzi[emoji23][emoji23]
Malengo ya Ukraine ni nini Kwa kushambulia bases za urusi?Manpad ikitungua Cruise missiles
#Ukraine: Another Russian cruise missile (Kh-101/Kh-55) was shot down by Ukrainian 9K38 Igla MANPADS operators today. Two 9M39 missiles are fired, with one striking the target.
Morogoro kaskazini Yuko wapi aliyekua ananibishia kwamba Manpads haziwezi kutungua Cruise missiles!!!!!![emoji38][emoji38]