Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dah!...kwani zipi ndio zipo kwa wingi ?
F35 zipo nyingi sana nandio maana MKUU T14 Armata anajificha kwenye hicho kichaka kwamba zipo nyingi

Ila anasahau kua wingi ama laa hakuondoi ukweli kwamba madege yao yanaanguka hovyo hovyo

Hauwez kupita mwezi kama 35f hazijala mweleka mbili ama tatu

Na huko kuzuiwa kwa ndege kuruka nje ya halu ya hewa nidhahiri kwamba kuna tatizo kubwa mpaka ukiona ndege inazuiwa kuruka nje ya hali ya hewa jiulize maranne nne

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom