1 ya tano ya ardhi ya Ukraine imeenda. Call it 300k, 350k, 200k sqkm or 100+k sqkm!!! Ruka utavyoruka lkn ni 1/5.
Nalazimisha Urusi ivamiwe kwa sababu imevamia! My opinion matters only if they do make sense. Urusi imevunja sheria za umoja wa mataifa za kuheshimu mipaka ya nchi nyingine, kuua raia, kuharibu mali. Inapaswa ivamiwe ili ifunzwe adabu. Kama ambavyo ujerumani ilivamiwa baada ya yenyewe kuivamia poland, kama ambavyo iraq ilivamiwa baada ya kuivamia kuwait, kama ambavyo china inaonywa isijeikaivamia taiwan, kama ambavyo North korea ilivamiwa kwa kuivamia south korea.
Marekani iliivamia iraq si kwa sababu pamoja na nyingine ni iraq iliivamia kuwait au!? Au unataka kusema uvamizi wa haki wa marekani kwa iraq ni sawa na uvamizi huu haramu wa Urusi!?
Kinyume chake wewe unataka UK ivamiwe kwa sababu 'inasadikika' imelipua bomba la Urusi. Your opinion matters, only they don't make sense im afraid! [emoji16] Nani kichaa kati yangu mimi na wewe!? Unajua hata kama UK inabainika ndio waliolipua bomba hiyo sababu haitoshi kuhalalisha hiyo nchi ivamiwe na nchi nyingine!?
Kwa nini Urusi haivamiwi? Hakuna anayeweza kuivamia urusi!?