Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

[emoji1255][emoji298][emoji635][emoji779][emoji779]Ukraine will be able to get "hidden" Russian aircraft in the Far East - Danilov

"The enemy began to hide them. They understand that Ukraine can get them deep into the territory of the Russian Federation, and there are not so many bombers left. We are talking about the Tu-95MS and Tu-22MZ. Now the Russians have overtaken them to Primorsky Krai, but if necessary, we will get there and to the Far East," Danilov said on the air of the telethon.

FB_IMG_1672220773278.jpg
 
Sio X-mas yetu,ni Othordox X-mas January 6th.Na hata kama hawatakuwa wameiteka by 6th January,kwa maandalizi yanayoendelea,Kyiv to fall is imminent.

Naomba pia ikumbukwe kwamba ile ilikuwa an estimate,tukizingatia the situation on the ground.
😂 😂 😂 January 6th ya mwaka gani?
 
Huo mnaotaka kuusambaza kila sehemu. Nitakukemea mpaka uache uchoko
Hakika uchafu huu lazima ukemewe.

Mtu yeyote anayeuchukia uchoko hakika kiakili na Kiroho ni mtu aliyekamilika. Lakini anayeutetea na kuutangaza kwa njia yoyote ile au kujiunga na mrengo unaoshabikia uchafu wa aina hiyo huyo ni mchafu sana na kiroho ni wakazi wa Sodoma na Gomora ile iliyoangamizwa sababu ya kuupenda uchafu. Kumbe kuna waliosalia.

Nashindwa kuwaelewa hawa Proved na wenzake.
 
@Proved tutakukemea mpaka muache kusambaza hii tabis
 
1. Aiseee nimeamini hesabu ni janga la Taifa,kumbe ⅕ ya 600,000 km² ni 200k. Urusi hana ubavu wa kukamata 200k km² alijaribu Feb 24 kaangukia pua. Eneo analoshikilia Urusi halizidi 130k km² ambazo bado kuna maeneo yanaendelea kukombolewa,miezi 6 ijayo nina hakika atabakia na Nusu ya eneo hilo.

2. Putin juzi alitamka kwamba kinachoendelea huko Ukraine ni vita wala si SMO kama wapambe wake mnavyotuongopea hapa Jf. Kwahiyo tunakubaliana kinachoendelea huko ni vita si SMO?! Au Babu yenu alikosea?!

3.Kwanini Urusi hawaivamii UK iliyopasua mabomba yake ya Gas?! Wakamkamate Rish sunak pale London wamle kichwa.
You are screwed eitherway

Point ni kwamba 1 ya 5 ya ardhi ya Ukraine iko mikononi mwa urusi. Iwe 200k au 130k.
Na misaada yote na nguvu zote, propaganda zote unapotezaje 1 ya tano ya eneo lako!?

In the early hours of Thursday, February 24, 2022, Russian President Vladimir Putin addressed his nation, announcing a “special military operation” against Ukraine.
Hayo hapo maneno ya putin akitangaza kuanza kwa operation.

Unataka Urusi waivamie uk kwa sababu Bwana mmoja jf anasema uk wanahusika na nini!?

[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Kuliko SU-27 ?.....kazi ya mwanadamu haikosi kasoro
Su 27? Katika ndege za kirusi zenye weakness ndogondogo kabisa kivita katika class yake ya fourth generation air superiority fighter jet Ni hiyo su 27.
Hapo nadhani unaifananisha su 27 udhaifu wake na kuporomoka Mara kwa Mara kwa f35 stealth air superiority fighter jet kitu kisicho sahihi.
F 35 imeendelea kuwa joke Mara TU baada ya miaka michache katika huduma za kijeshi.
 
[emoji1255][emoji298][emoji635][emoji779][emoji779]Ukraine will be able to get "hidden" Russian aircraft in the Far East - Danilov

"The enemy began to hide them. They understand that Ukraine can get them deep into the territory of the Russian Federation, and there are not so many bombers left. We are talking about the Tu-95MS and Tu-22MZ. Now the Russians have overtaken them to Primorsky Krai, but if necessary, we will get there and to the Far East," Danilov said on the air of the telethon.

View attachment 2460909
Kuna siku Russia wanaweza kuchukua maamuzi ya kuondoka na kichwa Cha Zeleboy.
Natabiri. Bila shaka siku si nyingi.
 
Nianze kwa kukumbusha Kwamba ugaidi katika Pakistan sio kutoka kundi la Taliban la Afghanistan bali ni kutoka kundi la Balochistan fighters.
Rafiki namba moja wa Taliban leo na miaka yote ameendelea kuwa serikali ya Pakistan ambao ni wafadhili wa silaha na vyakula.
Niingie katika hoja ya uwepo wa nyuklia katika Pakistan lakini ikikumbwa na matukio ya kigaidi Mara kwa Mara ikiwemo la hivi karibuni Januari 2022.
Ufahari wa Ulinzi wa taifa kupitia nyuklia Ni kitisho dhidi ya maadui wa taifa flani na sio vikundi vidodovidogo Kama Balochistan Peoples . Hapa namaanisha taifa na taifa na sio taifa dhidi ya kikundi kinachomiliki RPG na SMG. Na kuthibitisha Hili ni namna ambavyo India ilijikuta haiko salama dhidi ya nuclear power ya Pakistan ambao Ni mahasimu wao namba moja na hivyo India ikaamua ijiunge kwenye swala la kujihakikishia usalama wake kwa kutengeneza nuclear na kufikia December 1999 India ilijitangaza rasmi kuwa nyuklia power.
Kupitia nuclear Ni taifa la kihuni litaivamia kijeshi nchi pinzani yenye nuclear.
Leo Iran inahangaikia kuwa na nyuklia kujihakikishia usalama,
Israel baada ya kugundua maadui zake Wana nguvu Sana isiyokoma wakaamua kuwa na nyuklia. Nani anaweza kuivamia Israel leo miongoni mwa uarabu yote?
North Korea Nani wa kumgusa?
Na je Iraq, Libya, Syria, Yemen Nani angezigusa endapo wangekua na nuclear?
Nb.
Kusema Pakistan haikaliki ni uwongo ulio dhahiri. Hakuna Vita sehem yoyote katika Pakistan Bali Kuna matukio ya kigaidi Ka.ma ilivyo Keny ya Leo na alshabab
Huyo unaemwelewesha utachoka TU nakuambia.
Yeye anamuamini T14ARMATA peke yake hapa duniani.
Mtu pekee anaejiamini kua anajua silaha nyingi hapa jf na kuamini kua anajua Kila kitu.
 
Ukraine To Hike Transit Fees For Russian Oil To EU — Transneft

Ukraine will raise transit fees for Russian oil running via the Druzhba pipeline through its territory to the EU on January 1, Russian oil exporter Transneft announced on its website on Monday.

It is expected that Kiev will increase tariffs for transporting crude to Hungary and Slovakia by €2.10 per ton to €13.60 ($13.90), bringing the total hike to 18.3%.

Subscribe to RT
 
You are screwed eitherway

Point ni kwamba 1 ya 5 ya ardhi ya Ukraine iko mikononi mwa urusi. Iwe 200k au 130k.
Na misaada yote na nguvu zote, propaganda zote unapotezaje 1 ya tano ya eneo lako!?

In the early hours of Thursday, February 24, 2022, Russian President Vladimir Putin addressed his nation, announcing a “special military operation” against Ukraine.
Hayo hapo maneno ya putin akitangaza kuanza kwa operation.

Unataka Urusi waivamie uk kwa sababu Bwana mmoja jf anasema uk wanahusika na nini!?

[emoji16][emoji16][emoji16]

Tumekubali kwamba ⅕ ya 600k ni 200k au vipi?! [emoji23][emoji23][emoji23]

Our goal is not to spin the flywheel of military conflict, but, on the contrary, to end this war," Putin told reporters in Moscow, after attending a State Council meeting on youth policy. "We have been and will continue to strive for this."

Unataka Urusi ivamiwe kwa sababu Bwana mmoja wa Jf anataka kuridhishwa?!

Ni huzuni Kwa kweli [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
South Korea Apologizes For Response To Drone Incident

South Korea has issued an apology to its citizens after failing to shoot down several North Korean drones that crossed over the border earlier this week, acknowledging that the incident stoked fears among the public while vowing a more aggressive response in the future.

Lieutenant General Kang Shin-chul, the chief director of operations for the South Korean military’s Joint Chiefs of Staff (JCS), commented on the drone breach in a statement on Tuesday, noting flaws in Seoul’s military preparedness.

“We feel sorry that although our military detected and tracked the drones, we failed to shoot them down,” he said, adding, “in the end, we have caused much public concern due to insufficiency in the military readiness posture.”

Halafu Kuna vijiwatu hapa JF havitakubaliana na apologize hii
 
Back
Top Bottom