Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wiki zijazo tutarajie habari njema kutoka Bahkmut ambapo Russia ndio imeweka concentration ya wanajeshi na ndio inapata casualties nyingi zaidi. Leo imeripotiwa Russia imeondoa headquarters zake kutoka Kreminna, ukisogeza nyuma HQ za forces maana yake inashambuliwa na unaona huwezi hold hiyo position. Artillery zikiwa within range inabidi usogee nyuma, isijetokea kama yaliyomkuta Dmitry Rogozin.

Situation ilikuwa hivi siku sita zilizopita na ile intensity ya Zelensky alipotembelea eneo hiloView attachment 2459852

Kuna kama brigedi 11 za Urusi na 12 za Ukraine zinatafutana. Bahkmut ni meat grinder na haina umuhimu sana kwa Ukraine ikirudisha hili kabla, ina umuhimu wa kipropaganda zaidi na umuhimu mdogo kijeshi kwa Urusi ikilichukua lote. Ilivyoripotiwa 5 days ago ambavyo inatarajiwa haijabadilika sanaView attachment 2459855
Ila ww jamaa ni mjuaji sana yaani Bahkmut isiwe na faida kijeshi?

Bahkmut ni muhimu kwa pande zote mbili maana ndio njia kuu ya usambazaji kwa wanajeshi wa Ukraine yaliyoko kwenye mkoa wa Dombas ,na ndio njia pekee itakayo ipa Urusi uwezo wa kuanzisha shambulizi dhidi ya majiji mawili ambayo ni Slavyansik na karamatosk ambayo ndo miji pekee mikubwa iliyo baki mikononi mwa Ukraine kwenye eneo la Dombas, tofauti na hapo Urusi hana njia nyingine ya kuanzisha shambulizi dhidi ya hiyo miji.

Na ni muhimu kwa Ukraine kwa sababu kuanguka kwa mji huo ni hatari sana kwa msitakabari wake kwenye vita ya kuiwania Dombas.
 
Unadhani hayo yanayoendelea RUSSIA hajaya note MKUU

Narejelea marakadhaa shida nikwamba tunataka RUSSIA apigane ama apige tunavyopenda sisi

Ila mambo hayaendi hivyo sijakataa kwamba RUSSIA wanashambuliwa ndani ya mipaka yao ila naomba statement ya UKRAINE kukiri kushambulia ndani ya RUSSIA

Sent using Jamii Forums mobile app
Sijafuatilia boss,Hivi Ukraine hawajatoa official statement yoyote kumbe.
 
Jifunze ili usionekane unaonewa mambo makubwa yakitajwa. Kwa mfano ni wapi frontline ambapo Russia ina wanajeshi na Ukraine haina? Ukraine ina options tatu za kuendeleza offensive na Bahkmut ni mojawapo. Ukraine inataka iifanye Russia ikose kusogea mbele sehemu yoyote hivyo inaweka nguvu sawa sawa na nguvu zilizopo. Ikishahakikisha hakuna advancement ndio inatafuta how to break their lines of defense.

Kwenye attrition warfare, anayekuwa nyumbani ndio ana advantage. Attrition inapoteza resources nyingi na kuleta vifo ila wakati huo inaondoa concentration ya wanajeshi na silaha sehemu nyingine. Russia haiwezi occupy frontlines zote na Ukraine inawatafuta walipo wengi iwaingize kwenye artillery range yake ishambulie supply lines zao wabaki toothless kisha zile retreat zijirudie.

Na mwenye uwezekano wa kushinda attrition ni mwenye supply ya haraka. Ukraine haina tatizo la supply wala reinforcement labda tatizo la kuishiwa shells za 122mm na 155mm so wanaona we gonna bleed you to death tukulazimishe upigane muda mwingi, wanajeshi wako wachoke, tuzuie usifanye rotation maana huna troops wa kutosha, reinforcement zije kwa kusuasua. Ukiyaweza hayo yote uwe umetumia gharama kubwa mno. Hiyo hasara tunayopata hapa by the way tungeipata kwingine ila kwa mizani iliyopo sisi tuna advanced dhidi yako na vilevile hasara unayopata kutoka kwetu ni kubwa kuzidi hasara yetu.

Na kingine, Bahkmut ni muhimu kwa Ukraine kuliko ilivyo muhimu kwa Russia. Swali lako la kwanini Ukraine ahangaike nayo, nishakwambia ni muhimu zaidi

Jifunze ili usionekane unaonewa mambo makubwa yakitajwa. Kwa mfano ni wapi frontline ambapo Russia ina wanajeshi na Ukraine haina? Ukraine ina options tatu za kuendeleza offensive na Bahkmut ni mojawapo. Ukraine inataka iifanye Russia ikose kusogea mbele sehemu yoyote hivyo inaweka nguvu sawa sawa na nguvu zilizopo. Ikishahakikisha hakuna advancement ndio inatafuta how to break their lines of defense.

Kwenye attrition warfare, anayekuwa nyumbani ndio ana advantage. Attrition inapoteza resources nyingi na kuleta vifo ila wakati huo inaondoa concentration ya wanajeshi na silaha sehemu nyingine. Russia haiwezi occupy frontlines zote na Ukraine inawatafuta walipo wengi iwaingize kwenye artillery range yake ishambulie supply lines zao wabaki toothless kisha zile retreat zijirudie.

Na mwenye uwezekano wa kushinda attrition ni mwenye supply ya haraka. Ukraine haina tatizo la supply wala reinforcement labda tatizo la kuishiwa shells za 122mm na 155mm so wanaona we gonna bleed you to death tukulazimishe upigane muda mwingi, wanajeshi wako wachoke, tuzuie usifanye rotation maana huna troops wa kutosha, reinforcement zije kwa kusuasua. Ukiyaweza hayo yote uwe umetumia gharama kubwa mno. Hiyo hasara tunayopata hapa by the way tungeipata kwingine ila kwa mizani iliyopo sisi tuna advanced dhidi yako na vilevile hasara unayopata kutoka kwetu ni kubwa kuzidi hasara yetu.

Na kingine, Bahkmut ni muhimu kwa Ukraine kuliko ilivyo muhimu kwa Russia. Swali lako la kwanini Ukraine ahangaike nayo, nishakwambia ni muhimu zaidi kwake kijeshi.



Yaani wewe kwa kutafsiri habari kutoka kwenye vyanzo cya magharibi basi unajiona unajua mambo makubwa?

Sasa angalia unavyoandika andika bila hata kujua unaandika nini

"Bahkmut ni muhimu kwa ukraine kuliko ilivyo kwa Russia" hivi hata wewe mwenyewe ukisoma hii ina make sense hata kidogo?.....ni vyema ukajifunza kutafakari kwa kina kwanza kabla ya kupost post ili uonekane unajua


Unaandika vitu viiingi ili kuonyesha unajua mwishowe unajichanganya na kujikana,sasa nakuweke hii kutoka kwako mwenyewe,angalia ulichopost awali na sasa hivi uone kama unajielewa kweli wewe?
Screenshot_20221227-174943.png
 
Nianze kwa kukumbusha Kwamba ugaidi katika Pakistan sio kutoka kundi la Taliban la Afghanistan bali ni kutoka kundi la Balochistan fighters.
Rafiki namba moja wa Taliban leo na miaka yote ameendelea kuwa serikali ya Pakistan ambao ni wafadhili wa silaha na vyakula.
Niingie katika hoja ya uwepo wa nyuklia katika Pakistan lakini ikikumbwa na matukio ya kigaidi Mara kwa Mara ikiwemo la hivi karibuni Januari 2022.
Ufahari wa Ulinzi wa taifa kupitia nyuklia Ni kitisho dhidi ya maadui wa taifa flani na sio vikundi vidodovidogo Kama Balochistan Peoples . Hapa namaanisha taifa na taifa na sio taifa dhidi ya kikundi kinachomiliki RPG na SMG. Na kuthibitisha Hili ni namna ambavyo India ilijikuta haiko salama dhidi ya nuclear power ya Pakistan ambao Ni mahasimu wao namba moja na hivyo India ikaamua ijiunge kwenye swala la kujihakikishia usalama wake kwa kutengeneza nuclear na kufikia December 1999 India ilijitangaza rasmi kuwa nyuklia power.
Kupitia nuclear Ni taifa la kihuni litaivamia kijeshi nchi pinzani yenye nuclear.
Leo Iran inahangaikia kuwa na nyuklia kujihakikishia usalama,
Israel baada ya kugundua maadui zake Wana nguvu Sana isiyokoma wakaamua kuwa na nyuklia. Nani anaweza kuivamia Israel leo miongoni mwa uarabu yote?
North Korea Nani wa kumgusa?
Na je Iraq, Libya, Syria, Yemen Nani angezigusa endapo wangekua na nuclear?
Nb.
Kusema Pakistan haikaliki ni uwongo ulio dhahiri. Hakuna Vita sehem yoyote katika Pakistan Bali Kuna matukio ya kigaidi Kama ilivyo Keny ya Leo na alshabab
Nimezungumzia ugaidi unaofanywa na Ttp ( Pakistan Taliban) na sio Afghanistan Taliban wala hao Balochists, hayo ni makundi tofauti kabisa usijichanganye.
 
The U.S. has pledged to deploy so much firepower to the Indo-Pacific in 2023 that China won’t even consider invading Taiwan. Lawmakers and allies say it’s already too late.


Taiwan inajiandaa kweli kweli....
 
Ehee kumbe sasa hivi Afghanistan ndo taifa lenye nguvu za kijeshi kuliko yote ulimwengu baada ya kuwapa kipigo Marekani na mashoga wenzie [emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] dah hili nilikuwa sijui kabisa.
Kwa hii kauli umekubali mwenyewe kwamba urusi anapokea kipigo haswa kutoka Ukraine [emoji106]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
hiyo Donbass vita ilianza 2014 hao waasi wakapigana na serikali. Leo hii miezi 10 imepita ya operation eti jeshi la Russia haliwezi kutumia advantage iliyokuwepo hapo Donetsk kuchukua maeneo yote na ya karibu.
Inawezekana hao waasi walikuwa wanashikilia maeneo madogo tu japo Vita vilianza toka 2014...........ila nachojiuliza kulikuwa na ulazima gani wa kuvamia Kyiv na baadae kugeukia mashariki baada ya kushindwa kwanini wasingepeleka vikosi moja kwa moja huko mashariki baada ya Vita kuanza ?....... kumbuka kabla ya Vita kuna mswada ulisainiwa na Putin ili kuruhusu askari wa Urusi kuingia huko Ukraine mashariki kuzuia walichokiita ' genocide ' dhidi ya wanaozungumza Kirusi.
 
Russia Warns U.S. Against Launching 'Decapitation Strike' on Putin
themoscowtimes.comDec 27, 2022 4:05 PM

Russia's Foreign Minister Sergei Lavrov.
Russian Foreign Minister Sergei Lavrov warned the United States on Tuesday against ordering a “decapitation strike” on President Vladimir Putin.


Lavrov’s comments refer to an anonymous U.S. military official telling Newsweek back in September that a special operation “to kill Putin in the heart of the Kremlin” had been “front and center” among the options being considered by the U.S. in response to Putin’s escalating nuclear rhetoric.

“Some 'unnamed officials' from the Pentagon actually threatened to deliver a 'decapitation strike' against the Kremlin,” Lavrov told Russia’s TASS news agency in an interview.

Describing the plans as “essentially a threat to physically remove the Russian head of state,” Lavrov warned of “consequences” should any such attack ever be carried out.


The Russian embassy in Washington slammed the so-called decapitation option as “reckless” and “delusional” at the time.

Lavrov on Tuesday also accused the United States and its NATO allies of seeking to defeat Russia on the battlefield in order to weaken or destroy the country. He also blamed the Biden administration for preventing the normalization of relations between the U.S. and Russia.
 
Back
Top Bottom