Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Russia Warns U.S. Against Launching 'Decapitation Strike' on Putin
themoscowtimes.comDec 27, 2022 4:05 PM

Russia's Foreign Minister Sergei Lavrov.
Russian Foreign Minister Sergei Lavrov warned the United States on Tuesday against ordering a “decapitation strike” on President Vladimir Putin.


Lavrov’s comments refer to an anonymous U.S. military official telling Newsweek back in September that a special operation “to kill Putin in the heart of the Kremlin” had been “front and center” among the options being considered by the U.S. in response to Putin’s escalating nuclear rhetoric.

“Some 'unnamed officials' from the Pentagon actually threatened to deliver a 'decapitation strike' against the Kremlin,” Lavrov told Russia’s TASS news agency in an interview.

Describing the plans as “essentially a threat to physically remove the Russian head of state,” Lavrov warned of “consequences” should any such attack ever be carried out.


The Russian embassy in Washington slammed the so-called decapitation option as “reckless” and “delusional” at the time.

Lavrov on Tuesday also accused the United States and its NATO allies of seeking to defeat Russia on the battlefield in order to weaken or destroy the country. He also blamed the Biden administration for preventing the normalization of relations between the U.S. and Russia.
Putin Kwa Sasa hata mjusi akidodoka chini kwenye colidor za cremlin anadhani ni marekani wanataka kumla kichwa[emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Binafsi naona hii vita inamfaidisha US na wananchi wake maana viwanda vya silaha vimefunguka, silaha zinatengenezwa kila siku.
Himars production zimeongezwa hadi 96 kwa mwaka
Artillery ndo usiseme

Lazima wata produce nyingi zaidi na nyingine zinaenda Phillipines, Taiwan

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Hizo himars zimejitangazia soko zenyewe kwa performance ilizoonyesha na hapo bado Ukraine imenyimwa missile za masafa marefu...
 
Mbona Pakistan ina nyuklia ila Ttp (Pakistani Taliban) wameivuruga hiyo nchi kisawasawa mpaka haikaliki huko Swat na hata miji mikubwa kama Lahore, Punjab, Islamabad, Kashmir ni roho mkononi tu ?
Kua na bomu la nyuklia ni suala moja na kuwa na njia bora za kulifikisha hilo bomu unapotaka ni suala jingine. Hapo ndio Ubora na ubabe wa Urusi ulipo. Sio tu anamabomu ya nyuklia bali ana njia bora kbs duniani za kuyafikisha popote anapotaka. Hicho ndio kinawapa uoga na kiwewe nyie wamagharibi.

Hajapata yote hayo kwa ngekewa. Ni bidii na juhudi zikiambatana na ubora wa akili za warusi. Na aliyafanya hayo ili aogopwe, awe mbabe. Na leo hii anaogopwa na ni mbabe kwelikweli. Kama kuna nchi inaweza kufanya anavyofanya ifanye tu ili nayenyewe iogopwe.

Kutaka kuitenganisha urusi na nyuklia zake kwa kusema "urusi bila nyuklia ni..." ni ujuha. Hakuna kitu hicho. Ukiitaka urusi jua unaipata Urusi yote. Yaani na nyuklia included. Accept the full package or do not accept the package at all.

FYI Mpaka sasa urusi hajatumia sio tu nyuklia bali katika silaha zake hatari wala jeshi lake halisi, Red army! Ila ameshachukua kilomita laki mbili za Ukraine. Yaani majimbo manne. Bila kusahau uharibifu wa miundombinu ya kijeshi na kiraia ya ukreni. Na hayo ameyafanya wakati Ukraine inapokea msaada wa hali na mali kutoka kila pembe ya dunia. Kama kwako hii ni dalili ya udhaifu basi hewala [emoji16]

NB; Unataka pakistani atumie nyuklia zake dhidi ya pakistani taliban!? Bro/Sis, is you ok!? [emoji16]
 
FYI Mpaka sasa urusi hajatumia sio tu nyuklia bali katika silaha zake hatari wala jeshi lake halisi, Red army! Ila ameshachukua kilomita laki mbili za Ukraine
Jeshi lake halisi lipo wapi Sasa ?....hilo linalopigana na Ukraine limetoka nchi gani ?...

Unataka pakistani atumie nyuklia zake dhidi ya pakistani taliban!?
Ungesoma kwa makini swali nililomuuliza ungeelewa nilicholenga.
 
Na alisema ndani ya siku 2 au 3 urusi itakuwa imeshamaliza kazi huu ni mwezi wa 11 lakn mambo bado.

Akishinda au akishindwa Ukraine nataka amtie hasara urusi hadi wafuasi waache kumkuza huku kwenye keyboard.

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Kiongozi gani wa Russia alitamka kwawa ndani ya siku 3 atakuwa kashamaliza kazi ya hii SMO? Kauli za hivi nimezoea kuziona hapa jukwaani. Putin hajatamka hayo maneno. Wala Shoigu hajasema. Medviedev hajatamka kitu kama hicho. Hizo kauli zilikuwa zikitilowa na baadhi ya ma pro russia hapa jukwaani.

SMO imekuwa ngumu sababu ni misaada ya silaha na pesa toka western. Week 2 au tatu za mwanzo za SMO Ukraine ilikuwa tayari uwezo wake wa kijeshi ulikuwa umeharibiwa kwa zaidi ya 90%. Misaada tu ndio inalifanya jeshi la ukraine ambalo kwa sasa % kubwa mamluki toka nchi mbalimbali.
 
Ila ww jamaa ni mjuaji sana yaani Bahkmut isiwe na faida kijeshi?

Bahkmut ni muhimu kwa pande zote mbili maana ndio njia kuu ya usambazaji kwa wanajeshi wa Ukraine yaliyoko kwenye mkoa wa Dombas ,na ndio njia pekee itakayo ipa Urusi uwezo wa kuanzisha shambulizi dhidi ya majiji mawili ambayo ni Slavyansik na karamatosk ambayo ndo miji pekee mikubwa iliyo baki mikononi mwa Ukraine kwenye eneo la Dombas, tofauti na hapo Urusi hana njia nyingine ya kuanzisha shambulizi dhidi ya hiyo miji.

Na ni muhimu kwa Ukraine kwa sababu kuanguka kwa mji huo ni hatari sana kwa msitakabari wake kwenye vita ya kuiwania Dombas.
Huyo jamaa ni kama sauti iliyorekodiwa hivyo inajirudiarudia kitu kilekile kilichorekodiwa.
Yani umarekani umeondoka na akili zake... Debe tu hilo
 
Yaani wewe kwa kutafsiri habari kutoka kwenye vyanzo cya magharibi basi unajiona unajua mambo makubwa?

Sasa angalia unavyoandika andika bila hata kujua unaandika nini

"Bahkmut ni muhimu kwa ukraine kuliko ilivyo kwa Russia" hivi hata wewe mwenyewe ukisoma hii ina make sense hata kidogo?.....ni vyema ukajifunza kutafakari kwa kina kwanza kabla ya kupost post ili uonekane unajua


Unaandika vitu viiingi ili kuonyesha unajua mwishowe unajichanganya na kujikana,sasa nakuweke hii kutoka kwako mwenyewe,angalia ulichopost awali na sasa hivi uone kama unajielewa kweli wewe?View attachment 2460033
Nimesema "Bahkmut haina umuhimu sana kwa Ukraine ikirudisha hili kabla" namaanisha sio muhimu sana kwa Ukraine KUIRUDISHA Bahkmut KABLA ya maeneo mengine.

Nikaendelea "ina umuhimu wa kipropaganda zaidi na umuhimu mdogo kijeshi kwa Urusi ikichukuliwa lote". Compared to Ukraine, umuhimu wa Bahkmut kutekwa mapema na Russia ni kipropaganda zaidi ila kijeshi sio gain kubwa ya kumwaga damu na resources zote hizi kwa muda wa miezi mitano sasa.

Then nikaja in general ukiondoa time constraints, Bahkmut ni muhimu kwa Ukraine kuliko kwa Russia. So kuna vitu viwili hapa, hakuna umuhimu mkubwa wa Ukraine kuwa na Bahkmut mapema ila eventually kuna umuhimu mkubwa wa Ukraine kuwa nayo. Ila ukiachana na faida nyingi za kipropaganda na faida ndogo kijeshi hakuna umuhimu mkubwa wa Russia kuipambania Bahkmut kwa nguvu nyingi kwa vile in the long run faida yake kijeshi ni ndogo kulinganisha na gharama iliyotumika.

Usipoelewa tulia usome tena. Usilazimishe kuelewa mambo yasiyo mepesi the way unaelewa michezo
 
Wiki zijazo tutarajie habari njema kutoka Bahkmut ambapo Russia ndio imeweka concentration ya wanajeshi na ndio inapata casualties nyingi zaidi. Leo imeripotiwa Russia imeondoa headquarters zake kutoka Kreminna, ukisogeza nyuma HQ za forces maana yake inashambuliwa na unaona huwezi hold hiyo position. Artillery zikiwa within range inabidi usogee nyuma, isijetokea kama yaliyomkuta Dmitry Rogozin.

Situation ilikuwa hivi siku sita zilizopita na ile intensity ya Zelensky alipotembelea eneo hiloView attachment 2459852

Kuna kama brigedi 11 za Urusi na 12 za Ukraine zinatafutana. Bahkmut ni meat grinder na haina umuhimu sana kwa Ukraine ikirudisha hili kabla, ina umuhimu wa kipropaganda zaidi na umuhimu mdogo kijeshi kwa Urusi ikilichukua lote. Ilivyoripotiwa 5 days ago ambavyo inatarajiwa haijabadilika sanaView attachment 2459855
Nyie watu mnachekesha sana. Last week tu hapa Zelensky alilalama Hali ya bakhmut ni mbaya leo hii mnakuja na porojo tena!?

"The front-line situation remains very difficult in the key areas of Donbas — Bakhmut, Soledar, Maryinka, Kreminna" _ Zelensky
 
Ila Pro Russia ni watu vichwa maji, huku Bakhmut Russia ameanza kupigana karibu miezi 5 hajasogea zaidi ya kurudishwa nyuma, ila unakuta mtu kabisa anaamini Russia anaweza kuanzisha convetional war na NATO, yaani ndio alitaka azivamie na Sweden na Finland, leo Russia angekuwa amesharusha Bomu la Nyuklia
Aliyesema kwamba russia anaweza vita na Nato sio sisi warusi wa Buzebazeba ni huyu hapa

"Direct confrontation btn NATO and Russia is World War III something that WE MUST STRIVE TO PREVENT" Joe Biden

(soma hayo maandishi makubwa ewe MNATO usiye kichwa maji.)

Na kuna huyu mmarekani first class alikuwa na haya ya kusema

"Russia has the ability to destroy USA & Europe utterly with nuclear missiles in less than 30 minutes & vice versa." _ Elon Musk

Kama unawabishia hao sawa. Sisi tunayaleta tu hapa kama yalivyo
 
Back
Top Bottom