Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Wiki zijazo tutarajie habari njema kutoka Bahkmut ambapo Russia ndio imeweka concentration ya wanajeshi na ndio inapata casualties nyingi zaidi. Leo imeripotiwa Russia imeondoa headquarters zake kutoka Kreminna, ukisogeza nyuma HQ za forces maana yake inashambuliwa na unaona huwezi hold hiyo position. Artillery zikiwa within range inabidi usogee nyuma, isijetokea kama yaliyomkuta Dmitry Rogozin.

Situation ilikuwa hivi siku sita zilizopita na ile intensity ya Zelensky alipotembelea eneo hilo
20221227_130948.jpg

Kuna kama brigedi 11 za Urusi na 12 za Ukraine zinatafutana. Bahkmut ni meat grinder na haina umuhimu sana kwa Ukraine ikirudisha hili kabla, ina umuhimu wa kipropaganda zaidi na umuhimu mdogo kijeshi kwa Urusi ikilichukua lote. Ilivyoripotiwa 5 days ago ambavyo inatarajiwa haijabadilika sana
20221227_131546.jpg
 
Attachments

  • 20221227_131546.jpg
    20221227_131546.jpg
    241.3 KB · Views: 15
Wiki zijazo tutarajie habari njema kutoka Bahkmut ambapo Russia ndio imeweka concentration ya wanajeshi na ndio inapata casualties nyingi zaidi. Leo imeripotiwa Russia imeondoa headquarters zake kutoka Kreminna, ukisogeza nyuma HQ za forces maana yake inashambuliwa na unaona huwezi hold hiyo position. Artillery zikiwa within range inabidi usogee nyuma, isijetokea kama yaliyomkuta Dmitry Rogozin.

Situation ilikuwa hivi siku sita zilizopita na ile intensity ya Zelensky alipotembelea eneo hiloView attachment 2459852

Kuna kama brigedi 11 za Urusi na 12 za Ukraine zinatafutana. Bahkmut ni meat grinder na haina umuhimu sana kwa Ukraine ikirudisha hili kabla, ina umuhimu wa kipropaganda zaidi na umuhimu mdogo kijeshi kwa Urusi ikilichukua lote. Ilivyoripotiwa 5 days ago ambavyo inatarajiwa haijabadilika sanaView attachment 2459855
Ila Pro Russia ni watu vichwa maji, huku Bakhmut Russia ameanza kupigana karibu miezi 5 hajasogea zaidi ya kurudishwa nyuma, ila unakuta mtu kabisa anaamini Russia anaweza kuanzisha convetional war na NATO, yaani ndio alitaka azivamie na Sweden na Finland, leo Russia angekuwa amesharusha Bomu la Nyuklia
 
Bahkmut ni meat grinder na haina umuhimu sana kwa Ukraine ikirudisha hili kabla, ina umuhimu wa kipropaganda zaidi na umuhimu mdogo kijeshi kwa Urusi ikilichukua lote. Ilivyoripotiwa 5 days ago ambavyo inatarajiwa haijabadilika sana
Umuhimu wa kipropaganda tu ndio resources na nguvu kubwa zitupiwe huko ?...🙄🙄...au linaweza kutumika kimkakati kushambulia maeneo mengine ya adui ?
 
Hakuna jibu lenye akili ambalo Pro Russia ndani ya Jamii forums au Kremlin wanaoweza kutoa, Why Russia is fighting in Ukraine na sababu ya msingi kupoteza maisha na mali huko
Ni ubabe tu usiokuwa na maana.., urusi alitaka kuionyesha Dunia kwamba yeye ni super pawer kwa kuiteka Kiev ndani ya saa 72..,hiki ndicho kilichomponza hasa ,, kick za kijinga tu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Ila Pro Russia ni watu vichwa maji, huku Bakhmut Russia ameanza kupigana karibu miezi 5 hajasogea zaidi ya kurudishwa nyuma, ila unakuta mtu kabisa anaamini Russia anaweza kuanzisha convetional war na NATO, yaani ndio alitaka azivamie na Sweden na Finland, leo Russia angekuwa amesharusha Bomu la Nyuklia
Alivyoiteka Crimea bila upinzani mwaka 2014 na aliposhambulia waasi wasio na air defense kule Allepo Syria mwaka uliofuata alijiona hana mpinzani wa kumzuia matokeo yake huko Ukraine amekabwa Koo mpaka anatamani mazungumzo....

Hii Vita ikiendelea hivi mfululizo huenda Urais wa Putin utapitia misukosuko na raia wataanza kuhoji lengo la Vita ni lipi.
 
Ni ubabe tu usiokuwa na maana.., urusi alitaka kuionyesha Dunia kwamba yeye ni super pawer kwa kuiteka Kiev ndani ya saa 72..,hiki ndicho kilichomponza hasa ,, kick za kijinga tu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kama unajifanya huna Akili huwezi elewa kwanini Russia aenda kuvamia Ukraine.
 
Mwaka unaenda kuisha huku warusi wakiendelea kuchinjwa kama kuku kila iitwapo Leo.., hakika kila mmoja kwa nafasi yake Hana budi kusimama na kupinga utawala wa kidikteta popote pale
1672138438793.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hii Vita ina mwaka mwingine mzima mbele mpaka mmoja afilisike au aishiwe kabisa.

Supa-pawa alikwama wapi ?...mbona alianza vizuri mno pale mwanzoni mwa uvamizi, japo alionyesha udhaifu mkubwa kwenye 'logistics' hasa mafuta, chakula, huduma ya kwanza.

T14 Armata lee van cliff dudus Axel Lloyd
Urusi hakuanza vizuri. Siku ya kwanza ya uvamizi nilivyoona performance yao na response ya Ukraine ilivyokuwa nikajua hawa Warusi ni wa kawaida.

Serikali yenyewe ya Urusi ilijua ina jeshi lenye akili, si reports zao za MoD huwa zinaonyesha mazuri tu. Propagandists wanapewa umuhimu kuliko wakosoaji na wasemakweli. Bado Foreign Intelligence ikadhani Ukraine ni wahuni kama wale wa Crimea ya 2014 waliokimbia bila kupigana. Ikaonekana Ukraine itaanguka within 3 days na ule msafara wa 64km ulikuwa wa kutishia nyau wala sio kupigana miezi. Ndio maana ulipopigwa hakwenda mwanajeshi mwingine kule kuitafuta Kiev.

Ukraine ilijiandaa kimyakimya, ujasiri wao na determination uliwasaidia. NATO ilikuwa imekata tamaa ikikariri Russia wana jeshi la maana. Ndani ya siku tatu baada ya kuona performance ilivyo, Ukraine wakapata morali kumbe hawa watu tukikazana hata mji mkuu hawapati. NATO ikaombwa silaha na nchi za mwanzo kutoa response ni Poland (hawa watatu Poland, Ukraine na Russia wana historia ndefu kabla na baada ya Soviet Union, Poland ilishawahi pigana na Ukraine ikashinda, haikumaliza hata miaka Ukraine ikaiomba msaada wapigane na Urusi miaka hiyo nadhani 1920s).

NATO ilitoa silaha zaidi baada ya kuona Ukraine wanazitumia na Russia ni kama hawana nia
 
Hapo unajiona wewe ni mtaalamu wa mambo ya kijeshi lakini hata ukiulizwa kuhusu jeshi lako hujui kitu.umeandika pumba Sana.
 
Ikaonekana Ukraine itaanguka within 3 days na ule msafara wa 64km ulikuwa wa kutishia nyau wala sio kupigana miezi. Ndio maana ulipopigwa hakwenda mwanajeshi mwingine kule kuitafuta Kiev.
Matatizo ya logistics muhimu kama chakula, mafuta, huduma za dharura na hali ya hewa kwenye ule msafara yalionyesha upande wa pili wa Urusi.......nadhani rushwa na ufisadi vinachangia hayo.

Halafu msafara mkubwa kama ule bila airpower dominance ya kueleweka ilikuwa kamari tu.

Ila inashangaza zaidi jinsi wameshindwa kudhibiti eastern Ukraine kikamilifu na kwa haraka japo tangu mwaka 2014 wana vibaraka wao wanapigana huko (hata warusi weusi hawaamini hili).

Axel Lloyd HIMARS Jackal Frank Wanjiru
 
AJabu ni imani iliyopo juu ya uwezo wa Urusi kujilinda, Uwezo wa Nukes na nafasi dunia inayomuweka katika nchi zenye uwezo wa kivita. Tunapoitazama NATO tunakumbuka kwanini ipo.

Akiruhusu kuingiliwa na Akiendelea kuchokonolewa hivi kila siku nafasi yake itakuwa kwenye walakini.
Unadhani hayo yanayoendelea RUSSIA hajaya note MKUU

Narejelea marakadhaa shida nikwamba tunataka RUSSIA apigane ama apige tunavyopenda sisi

Ila mambo hayaendi hivyo sijakataa kwamba RUSSIA wanashambuliwa ndani ya mipaka yao ila naomba statement ya UKRAINE kukiri kushambulia ndani ya RUSSIA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom