Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mbona Pakistan ina nyuklia ila Ttp (Pakistani Taliban) wameivuruga hiyo nchi kisawasawa mpaka haikaliki huko Swat na hata miji mikubwa kama Lahore, Punjab, Islamabad, Kashmir ni roho mkononi tu ?
Nianze kwa kukumbusha Kwamba ugaidi katika Pakistan sio kutoka kundi la Taliban la Afghanistan bali ni kutoka kundi la Balochistan fighters.
Rafiki namba moja wa Taliban leo na miaka yote ameendelea kuwa serikali ya Pakistan ambao ni wafadhili wa silaha na vyakula.
Niingie katika hoja ya uwepo wa nyuklia katika Pakistan lakini ikikumbwa na matukio ya kigaidi Mara kwa Mara ikiwemo la hivi karibuni Januari 2022.
Ufahari wa Ulinzi wa taifa kupitia nyuklia Ni kitisho dhidi ya maadui wa taifa flani na sio vikundi vidodovidogo Kama Balochistan Peoples . Hapa namaanisha taifa na taifa na sio taifa dhidi ya kikundi kinachomiliki RPG na SMG. Na kuthibitisha Hili ni namna ambavyo India ilijikuta haiko salama dhidi ya nuclear power ya Pakistan ambao Ni mahasimu wao namba moja na hivyo India ikaamua ijiunge kwenye swala la kujihakikishia usalama wake kwa kutengeneza nuclear na kufikia December 1999 India ilijitangaza rasmi kuwa nyuklia power.
Kupitia nuclear Ni taifa la kihuni litaivamia kijeshi nchi pinzani yenye nuclear.
Leo Iran inahangaikia kuwa na nyuklia kujihakikishia usalama,
Israel baada ya kugundua maadui zake Wana nguvu Sana isiyokoma wakaamua kuwa na nyuklia. Nani anaweza kuivamia Israel leo miongoni mwa uarabu yote?
North Korea Nani wa kumgusa?
Na je Iraq, Libya, Syria, Yemen Nani angezigusa endapo wangekua na nuclear?
Nb.
Kusema Pakistan haikaliki ni uwongo ulio dhahiri. Hakuna Vita sehem yoyote katika Pakistan Bali Kuna matukio ya kigaidi Kama ilivyo Keny ya Leo na alshabab
 
The U.S. has pledged to deploy so much firepower to the Indo-Pacific in 2023 that China won’t even consider invading Taiwan. Lawmakers and allies say it’s already too late.

Matatizo ya logistics muhimu kama chakula, mafuta, huduma za dharura na hali ya hewa kwenye ule msafara yalionyesha upande wa pili wa Urusi.......nadhani rushwa na ufisadi vinachangia hayo.

Halafu msafara mkubwa kama ule bila airpower dominance ya kueleweka ilikuwa kamari tu.

Ila inashangaza zaidi jinsi wameshindwa kudhibiti eastern Ukraine kikamilifu na kwa haraka japo tangu mwaka 2014 wana vibaraka wao wanapigana huko (hata warusi weusi hawaamini hili).

Axel Lloyd HIMARS Jackal Frank Wanjiru
Warusi wa Makongorosi chunya
 
Safi sana kwa darasa maana kuna watu japo hawatakuelewa kama ni ugaidi hata hapo Amerika upo si kila siku watu wanapigwa risasi
 
Hapo unajiona wewe ni mtaalamu wa mambo ya kijeshi lakini hata ukiulizwa kuhusu jeshi lako hujui kitu.umeandika pumba Sana.
Yeye akiandika pumba mpinge kwa mchele wa basmati.

Kinyume chake wewe ndiye unaandika pumba, kwanini kila kinachoandikwa na huyu kinakuuma??

Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
 
Matatizo ya logistics muhimu kama chakula, mafuta, huduma za dharura na hali ya hewa kwenye ule msafara yalionyesha upande wa pili wa Urusi.......nadhani rushwa na ufisadi vinachangia hayo.

Halafu msafara mkubwa kama ule bila airpower dominance ya kueleweka ilikuwa kamari tu.

Ila inashangaza zaidi jinsi wameshindwa kudhibiti eastern Ukraine kikamilifu na kwa haraka japo tangu mwaka 2014 wana vibaraka wao wanapigana huko (hata warusi weusi hawaamini hili).

Axel Lloyd HIMARS Jackal Frank Wanjiru
Wale waasi wa Donetsk na Luhansk walifanya vizuri kuliko jeshi la Urusi sasa hivi. Kipindi kile Ukraine ina jeshi dhaifu wahuni kama Azov battalion wanapigana vizuri kuliko jeshi la serikali. UK na USA walipoanza kufundisha jeshi lao wakalazimisha changes walizoona zinafaa. Uniforms zilibadilishwa, training doctrine, military top brass ikabadilika, accountability ikawepo. Zelensky alivyoingia alibadili vitu vingi, majenerali wa Zelensky ukiwatazama wengi ni 40s na 50s kiumri.

Mabadiliko yalianzia kwa Petro Poloshenko ila yalienda taratibu kwa vile ni mojawapo ya mabilionea waliozoea utaratibu fulani na wenye watu nyuma yao. Zelensky hana kundi, hana mtu wa kumfurahisha wala kulipa fadhila. Kawekwa pale na raia baada ya kuona wanasiasa na watu wanaojifanya wana uzoefu na elimu, uchumi, ulinzi hawasaidii sana. Ilikuwa ni desperation ya kutafuta alternative ya kundi tulilozoea ndio ilimtoa muigizaji uchochoroni uko aje kuwa Rais.
 
Nianze kwa kukumbusha Kwamba ugaidi katika Pakistan sio kutoka kundi la Taliban la Afghanistan bali ni kutoka kundi la Balochistan fighters.
Rafiki namba moja wa Taliban leo na miaka yote ameendelea kuwa serikali ya Pakistan ambao ni wafadhili wa silaha na vyakula.
Niingie katika hoja ya uwepo wa nyuklia katika Pakistan lakini ikikumbwa na matukio ya kigaidi Mara kwa Mara ikiwemo la hivi karibuni Januari 2022.
Ufahari wa Ulinzi wa taifa kupitia nyuklia Ni kitisho dhidi ya maadui wa taifa flani na sio vikundi vidodovidogo Kama Balochistan Peoples . Hapa namaanisha taifa na taifa na sio taifa dhidi ya kikundi kinachomiliki RPG na SMG. Na kuthibitisha Hili ni namna ambavyo India ilijikuta haiko salama dhidi ya nuclear power ya Pakistan ambao Ni mahasimu wao namba moja na hivyo India ikaamua ijiunge kwenye swala la kujihakikishia usalama wake kwa kutengeneza nuclear na kufikia December 1999 India ilijitangaza rasmi kuwa nyuklia power.
Kupitia nuclear Ni taifa la kihuni litaivamia kijeshi nchi pinzani yenye nuclear.
Leo Iran inahangaikia kuwa na nyuklia kujihakikishia usalama,
Israel baada ya kugundua maadui zake Wana nguvu Sana isiyokoma wakaamua kuwa na nyuklia. Nani anaweza kuivamia Israel leo miongoni mwa uarabu yote?
North Korea Nani wa kumgusa?
Na je Iraq, Libya, Syria, Yemen Nani angezigusa endapo wangekua na nuclear?
Nb.
Kusema Pakistan haikaliki ni uwongo ulio dhahiri. Hakuna Vita sehem yoyote katika Pakistan Bali Kuna matukio ya kigaidi Kama ilivyo Keny ya Leo na alshabab
This is very correct. Kuongeza hapo, Pakistan ina magaidi wengine ambao yenyewe haiwaiti magaidi na kwanza inawapa mwanya wafanye shughuli zao. Magaidi dhidi ya India huwa wanapendwa na Pakistan. Pakistan iliwapa msaada Taliban wa Afghanistan na magaidi wengine, kuna sababu kwanini Osama bin Laden alikimbilia uko na kuna sababu kwanini Marekani ilivyoenda kumuua haikutoa taarifa rasmi.

Mwaka 2019 kama sio 2020 kuna kundi lilishambulia wanajeshi wa India na ikailazimu India ifanye air attack ndani ya ardhi ya Pakistan. It was a daring mission ila ilifanikiwa kwa mbinde
 
Hapo unajiona wewe ni mtaalamu wa mambo ya kijeshi lakini hata ukiulizwa kuhusu jeshi lako hujui kitu.umeandika pumba Sana.
20220926_091803.jpg
 
Ila Pro Russia ni watu vichwa maji, huku Bakhmut Russia ameanza kupigana karibu miezi 5 hajasogea zaidi ya kurudishwa nyuma, ila unakuta mtu kabisa anaamini Russia anaweza kuanzisha convetional war na NATO, yaani ndio alitaka azivamie na Sweden na Finland, leo Russia angekuwa amesharusha Bomu la Nyuklia
The attack on Kyiv failed
They lost Charkiw
They lost Kherson
They are trying for months in Bahkmut
They cannot stop drones hitting them 600km away from the border

So yeah, I kinda believe it.
 
Umuhimu wa kipropaganda tu ndio resources na nguvu kubwa zitupiwe huko ?...🙄🙄...au linaweza kutumika kimkakati kushambulia maeneo mengine ya adui ?

Umemuuliza swali la msingi sana huyo jamaa,kuna watu wanameza propaganda za media za magharibi kama zilivyo bila kutumia common sense hata kidogo

Ikiwa hiyo sehemu haina umuhimu wowote wa kimkakati kama inavyosemwa na media za west..,je kwa nini Ukraine wanapeleka vikosi na vikosi huko ili kuzuia hiyo sehemu isiangukie mikononi mwa Russia?

Maana kwa siku za karibuni,inasemekana hiyo ndio sehemu yenye mapambano makali zaidi

Idadi kubwa ya wanajeshi inapotea huko kwa sasa,je huyo jamaa anajua madhara ya kupoteza wanajeshi wengi katika sehemu moja ?....alafu mtu anakwambia eti haina umuhimu wowote!!
 
Zingatia nimesema faida kubwa kipropaganda, ndogo kijeshi. Bahkmut ni kama attrition warfare inafanyika pale. Strategically haina umuhimu sana ukilinganisha na resources zinazopelekwa uko na Russia na vifo vinavyotokea uko. Naona ni propaganda kwa vile hilo eneo liko Donetsk oblast kwenye Donbass. Ujue tukisema Russia wana poor performance tunamaanisha haswa, hiyo Donbass vita ilianza 2014 hao waasi wakapigana na serikali. Leo hii miezi 10 imepita ya operation eti jeshi la Russia haliwezi kutumia advantage iliyokuwepo hapo Donetsk kuchukua maeneo yote na ya karibu.

Kwa lugha rahisi tuseme, Russia ilianza vita ikakuta Donetsk inamilikiwa na waasi, imepigana miezi kadhaaa ikaamua iunde Donetsk People's Republic kwa uchaguzi wa kughushi ila wakati huohuo pamoja na miezi 10 kupita the so called superpower hawezi kuchukua maeneo ndani ya hiyo hiyo Donetsk oblast ili oblast nzima iwe chini yake. Bahkmut inasemekana ikichukuliwa itakuwa advantage kwao kwenye negotiations, na waasi wa DPR wanaitaja Bahkmut kama eneo lao. Na siku 6 zilizopita Zelensky alifanya ziara mji huo, hii dharau haikubaliki.
 
Umemuuliza swali la msingi sana huyo jamaa,kuna watu wanameza propaganda za media za magharibi kama zilivyo bila kutumia common sense hata kidogo

Ikiwa hiyo sehemu haina umuhimu wowote wa kimkakati kama inavyosemwa na media za west..,je kwa nini Ukraine wanapeleka vikosi na vikosi huko ili kuzuia hiyo sehemu isiangukie mikononi mwa Russia?

Maana kwa siku za karibuni,inasemekana hiyo ndio sehemu yenye mapambano makali zaidi

Idadi kubwa ya wanajeshi inapotea huko kwa sasa,je huyo jamaa anajua madhara ya kupoteza wanajeshi wengi katika sehemu moja ?....alafu mtu anakwambia eti haina umuhimu wowote!!
Jifunze ili usionekane unaonewa mambo makubwa yakitajwa. Kwa mfano ni wapi frontline ambapo Russia ina wanajeshi na Ukraine haina? Ukraine ina options tatu za kuendeleza offensive na Bahkmut ni mojawapo. Ukraine inataka iifanye Russia ikose kusogea mbele sehemu yoyote hivyo inaweka nguvu sawa sawa na nguvu zilizopo. Ikishahakikisha hakuna advancement ndio inatafuta how to break their lines of defense.

Kwenye attrition warfare, anayekuwa nyumbani ndio ana advantage. Attrition inapoteza resources nyingi na kuleta vifo ila wakati huo inaondoa concentration ya wanajeshi na silaha sehemu nyingine. Russia haiwezi occupy frontlines zote na Ukraine inawatafuta walipo wengi iwaingize kwenye artillery range yake ishambulie supply lines zao wabaki toothless kisha zile retreat zijirudie.

Na mwenye uwezekano wa kushinda attrition ni mwenye supply ya haraka. Ukraine haina tatizo la supply wala reinforcement labda tatizo la kuishiwa shells za 122mm na 155mm so wanaona we gonna bleed you to death tukulazimishe upigane muda mwingi, wanajeshi wako wachoke, tuzuie usifanye rotation maana huna troops wa kutosha, reinforcement zije kwa kusuasua. Ukiyaweza hayo yote uwe umetumia gharama kubwa mno. Hiyo hasara tunayopata hapa by the way tungeipata kwingine ila kwa mizani iliyopo sisi tuna advantage dhidi yako na vilevile hasara unayopata kutoka kwetu ni kubwa kuzidi hasara yetu.

Na kingine, Bahkmut ni muhimu kwa Ukraine kuliko ilivyo muhimu kwa Russia. Swali lako la kwanini Ukraine ahangaike nayo, nishakwambia ni muhimu zaidi kwake kijeshi.
 
Ukiacha logistics kuna issue ya Airforce ya Russia,kushindwa kumiliki anga la Ukraine pale mwanzo ilifanya vikozi vya ardhini kukosa Ulinzi hivyo kupigwa mapigo ya kushtukiza kulikowafanya kurudi nyuma. Russia angekamata anga la Ukraine pale mwanzoni pengine Leo tungekua tunazungumza mengine (Labda Putin angekua kashaikamata Kiev) maana hata hizo silaha zisingeweza kuingia kirahisi Ukraine zingekua zinashambuliwa hukohuko mpakani.
Nimewahi uliza humu, iweje Ukraine awe na constant supply ambayo hatusikii imeharibiwa, ila Urusi supply routes zake zinapigwa kila siku na uthibitisho kuweka hewani.

Hadi leo sijaelewa inakuwaje Urusi anashindwa shambulia misafara ya hizo himars etc

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
The U.S. has pledged to deploy so much firepower to the Indo-Pacific in 2023 that China won’t even consider invading Taiwan. Lawmakers and allies say it’s already too late.

Binafsi naona hii vita inamfaidisha US na wananchi wake maana viwanda vya silaha vimefunguka, silaha zinatengenezwa kila siku.
Himars production zimeongezwa hadi 96 kwa mwaka
Artillery ndo usiseme

Lazima wata produce nyingi zaidi na nyingine zinaenda Phillipines, Taiwan

Back
Top Bottom