Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hiyo ya UK imezinduliwa December mwaka 2019 na trials zilikuwa bado kukamilika. Tufanye basi ni mbovu, tangu December 2019 izinduliwe ilishatembea baharini siku 267 (kulingana na source yako).
Wakati huo, hii Admiral Kuznetsov ya Russia tangu iwe kwenye dry dock mwaka 2017 halijawahi tembea baharini hata siku mojaView attachment 2459053
Na hapo kwenye dry dock ilishapata ajari tatu nyingine ni wiki jana, na ilishaua watu wawili, ilishazamisha floating dock pekee ya Russia yenye uwezo kuibeba. Meli kupata ajari kwenye dry dock inafanyiwa repair ni sawa na gari kupata ajari likiwa gereji

Bado UK ina HMS Queen Elizabeth aircraft carrier iliyozinduliwa 2014View attachment 2459051
Ukiongeza na hiyo HMS Prince of Wales ya 2019 unawakuta Waingereza wana uwezo kutunisha misuli hata maeneo ya South America kwa Navy yao. Russia kutoka kwao kwenda Syria na hiyo Kuznetsov ilibidi warudi na tugboat na tangu warudi dude limekaa matengenezo hadi leo. Hawa ndio mnaita superpower!

Na ndio hao hao walikuwa na flagship ya Black Sea fleet isiyo na radar za uhakika inapigwa kama boti ya uvuvi. Meli kubwa ya tani zaidi ya 10,000 na futi 600 ina radar za kijinga, hela za refit sijui wahuni walikula au teknolojia mbovu ya hizo radar. Anti missile systems hazihusiki maana hakuna feedback ya radar ilionyesha targetView attachment 2459052
Kwamba na UK pesa hua wanakula ama halaf hio source sio yangu MKUU



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani kuna sehemu nimeitaja marekani?
Kuhusu Urusi jibu lipo February 2022.

"Whoever tries to interfere with us, and even more so, to create threats for our country, for our people, should know that Russia's response will be immediate and will lead you to such consequences that you have never experienced in your history."

Drones kushambulia ndani ya Urusi ni tishio kwa Urusi, Urusi kutokujibu kwa kiwango cha uzito wa hayo maneno hapo juu ni kuweka nafasi yake kwenye walakini.
Unaona sasa

Leo hii unajua kitisho dhidi ya RUSSIA kuliko RUSSIA wenyewe

Nakuhakikishia kuna mistari haijavukwa na haitavukwa na UKRAINE atasalimu amri

Shida tunataka SMO iende tunavyotaka sisi MKUU

Nafasi ya RUSSIA inatiliwa walakin na nyie humu na huko MSM ila wengi hawanashida na wala walakin na RUSSIA maana wanajua RUSSIA anajua anachokifanya

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wiki zijazo tutarajie habari njema kutoka Bahkmut ambapo Russia ndio imeweka concentration ya wanajeshi na ndio inapata casualties nyingi zaidi. Leo imeripotiwa Russia imeondoa headquarters zake kutoka Kreminna, ukisogeza nyuma HQ za forces maana yake inashambuliwa na unaona huwezi hold hiyo position. Artillery zikiwa within range inabidi usogee nyuma, isijetokea kama yaliyomkuta Dmitry Rogozin.

Situation ilikuwa hivi siku sita zilizopita na ile intensity ya Zelensky alipotembelea eneo hiloView attachment 2459852

Kuna kama brigedi 11 za Urusi na 12 za Ukraine zinatafutana. Bahkmut ni meat grinder na haina umuhimu sana kwa Ukraine ikirudisha hili kabla, ina umuhimu wa kipropaganda zaidi na umuhimu mdogo kijeshi kwa Urusi ikilichukua lote. Ilivyoripotiwa 5 days ago ambavyo inatarajiwa haijabadilika sanaView attachment 2459855
Samahani MKUU ila hili la bakhmut kutokua na umuhimu utusamehe kidogo

Hapo pakufa na kupona nandio maana miezi nenda miezi rudi si UKRAINE wala RUSSIA anaekubali kupaacha hvyo hvyo

Atakaeruhusu kutoka hapo atakua kazidiwa nguvu iwe RUSSIA ama UKRAINE

Eti haina umuhimu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Urusi hakuanza vizuri. Siku ya kwanza ya uvamizi nilivyoona performance yao na response ya Ukraine ilivyokuwa nikajua hawa Warusi ni wa kawaida.

Serikali yenyewe ya Urusi ilijua ina jeshi lenye akili, si reports zao za MoD huwa zinaonyesha mazuri tu. Propagandists wanapewa umuhimu kuliko wakosoaji na wasemakweli. Bado Foreign Intelligence ikadhani Ukraine ni wahuni kama wale wa Crimea ya 2014 waliokimbia bila kupigana. Ikaonekana Ukraine itaanguka within 3 days na ule msafara wa 64km ulikuwa wa kutishia nyau wala sio kupigana miezi. Ndio maana ulipopigwa hakwenda mwanajeshi mwingine kule kuitafuta Kiev.

Ukraine ilijiandaa kimyakimya, ujasiri wao na determination uliwasaidia. NATO ilikuwa imekata tamaa ikikariri Russia wana jeshi la maana. Ndani ya siku tatu baada ya kuona performance ilivyo, Ukraine wakapata morali kumbe hawa watu tukikazana hata mji mkuu hawapati. NATO ikaombwa silaha na nchi za mwanzo kutoa response ni Poland (hawa watatu Poland, Ukraine na Russia wana historia ndefu kabla na baada ya Soviet Union, Poland ilishawahi pigana na Ukraine ikashinda, haikumaliza hata miaka Ukraine ikaiomba msaada wapigane na Urusi miaka hiyo nadhani 1920s).

NATO ilitoa silaha zaidi baada ya kuona Ukraine wanazitumia na Russia ni kama hawana nia
Niwewe na pro NATO pekee waliodhania kama UKRAINE itaanguka ndani ya siku tatu

LIBYA licha yakwamba ilikua haipewi msaada wowote toka.nje na bado ikawa na internal conflict na vikwazo juu hawakupigwa kwasiku tatu na FRANCE na NATO yao

Yaani nyie watu bana [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Matatizo ya logistics muhimu kama chakula, mafuta, huduma za dharura na hali ya hewa kwenye ule msafara yalionyesha upande wa pili wa Urusi.......nadhani rushwa na ufisadi vinachangia hayo.

Halafu msafara mkubwa kama ule bila airpower dominance ya kueleweka ilikuwa kamari tu.

Ila inashangaza zaidi jinsi wameshindwa kudhibiti eastern Ukraine kikamilifu na kwa haraka japo tangu mwaka 2014 wana vibaraka wao wanapigana huko (hata warusi weusi hawaamini hili).

Axel Lloyd HIMARS Jackal Frank Wanjiru
Ukiacha logistics kuna issue ya Airforce ya Russia,kushindwa kumiliki anga la Ukraine pale mwanzo ilifanya vikozi vya ardhini kukosa Ulinzi hivyo kupigwa mapigo ya kushtukiza kulikowafanya kurudi nyuma. Russia angekamata anga la Ukraine pale mwanzoni pengine Leo tungekua tunazungumza mengine (Labda Putin angekua kashaikamata Kiev) maana hata hizo silaha zisingeweza kuingia kirahisi Ukraine zingekua zinashambuliwa hukohuko mpakani.
 
Kwani RUSSIA iliweka time line kwenye hili MKUU kinachotakiwa UKRAINE asalimu amri nakukubaliana na matakwa ya RUSSIA haijalishi itachukua muda gani

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ndio hivyo basi urusi aache kulialia na kutoa kauli za kumlaumu Ukraine kwamba anakataa kuja kwenye meza ya mazungumzo.., lengo si Ukraine ajisalimishe?? Basi urusi apige kazi Mpaka tuone Ukraine ajisalimishe .. ,hizi kauli ni za nini??[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
JamiiForums1292799085.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Niwewe na pro NATO pekee waliodhania kama UKRAINE itaanguka ndani ya siku tatu

LIBYA licha yakwamba ilikua haipewi msaada wowote toka.nje na bado ikawa na internal conflict na vikwazo juu hawakupigwa kwasiku tatu na FRANCE na NATO yao

Yaani nyie watu bana [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent using Jamii Forums mobile app
Kinyonge saaaaana [emoji28]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji298]️In the suburbs of Moscow, a woman who criticized the Russian government and the army was pulled from a bus

"Everything was stolen, they went to fight in rubber boots."

 
Ukraine Calls For UN-Brokered ‘Peace Summit’

Kiev has proposed holding a so-called "peace summit" by the end of February to mark the anniversary of Russia's military operation against Ukraine. The initiative was announced by Foreign Minister Dmitry Kuleba, who also set out Ukraine's conditions for inviting Moscow to the event.

In an interview with AP published on Monday, Kuleba admitted that while Ukraine will do whatever it can to win its ongoing military conflict with Russia in 2023, diplomacy will play an important role. "Every war ends in a diplomatic way," Kuleba said, adding that "every war ends as a result of the actions taken on the battlefield and at the negotiating table."

The minister added that the UN was "the best venue for holding this summit, because it is not about making a favor to a certain country" and suggested UN Secretary General Antonio Guterres as mediator for the event.

Subscribe to RT
 
Hahahahahahahahaha kuna vituko humu na wanaaminishana kabisaa kwamba ni wataalam wa kijeshi na wanayachambua majeshi ya nchi mbalimbali huku wakiyadharau kabisaa
Hali ya kuwa hayo mataifa makubwa yanayahofia hayo majeshi
Yaani England aiogope Uganda. Haya masikhara haya
 
[emoji298]️ Russia redeployed part of its aviation from the Engels airfield after the explosions on December 26, the spokesman of the Air Force Command of the Armed Forces of Ukraine Yuriy Ihnat said.

"Of course, there are still a certain number of planes, but many of them have already been relocated to various airfields that can receive, maintain, and service them," he said.

Yuriy Ihnat added that the threat of massive rocket fire has not passed. Perhaps the Russians just made some adjustments to their plans.
 
Elon Musk Trashes Ex-Russian President

Elon Musk reacted to a thread by former Russian President Dmitry Medvedev, in which he predicted that the US will split up after a civil war and the Twitter CEO will become president of one of the remnants, calling it “epic.” He later clarified that he found the predictions “absurd.”

Medvedev now serves as deputy chair of the Security Council of the Russian Federation, and was given a new senior position in military procurement this week. On Monday, he posted ten things that he believes could happen in 2023, with a disclaimer that they were meant to be “wild” or even “absurd.”

The predictions ranged from oil being traded at $150 a barrel to the UK reversing Brexit and losing Northern Ireland, to an armed conflict between France and a ‘Fourth Reich.’

Subscribe to RT
 
Back
Top Bottom