HIMARS
JF-Expert Member
- Jan 23, 2012
- 73,321
- 103,590
Walijiandaa kwa hii vita muda mrefu ila hawakuwaheshimu wapinzani wao.Ila jamaa (Urusi) wana artillery nyingi Sana nadhani waliwekeza Sana hapo.
Russia angewaheshimu Ukraine hii vita ingeisha mapema sana
Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app