Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Endelea kuota,majeshi ya Ukraine yanakaribia Kreminna Kwasasa yapo Zhytlivka, Dibrova na msitu wa Serebryanka. Kreminna ikifall Ukraine itakua imekata supply route ya Urusi kwenda Bakhmut
Kutoka boder ya Luhansk mpaka Dibrova walipo vikosi vya Ukraine ni km hazizidi 3.

Kwa iyo siku zote izo kama Ukraine wangekuwa wanasonga mbele maeneo ya Luhansk basi wangekuwa hata ndani ya Luhans zaidi ya km 20 na sio chini ya km 3.

Wakipokonywa tena kijiji cha Dibrova basi wanakuwa washatolewa nnje ya mji wa Luhansk.
 
Wakati anasema hayo alikuwa Bahkmut hiyohiyo. Na nyinyi ni superpower uchwara adui yenu yuko mlangoni na hamjui. Putin hajawahi leta pua frontline, wakati huo Ukraine ilimshambulia Dmitry Rogozin akiwa kwenye birthday party yake uko Donetsk nyuma zaidi ya Bahkmut na ndani ya eneo lililo chini ya Russia.

Btw Warusi tuambie vipi madaktari wa Moscow wameweza kumfanyia operation Rogozin au imesubiri wajadiliane mara nyingine? Maana mwanzoni alisema ameumia bega, baadae ikasemekana ameumia chini kidogo ya mgongo, baadae yeye akasema kuna chuma kimekwama kwenye mfupa gani sijui eneo la nyonga kama sikosei. Na amesema yuko hatarini kuwa paralysed. Tupeni taarifa tujue, Rogozin huwa napenda blatant bragging anayofanya na ingependeza akiponaView attachment 2460308
Sasa raisi wa ukraine ameenda frontline bakhmut na akasema hali ni mbaya ila wewe uko hapa jf, location yako halisi inaweza kuwa namtumbo unasema tofauti huoni ulivyo mpotoshaji!? Unabishana na raisi wa ukraine aliyekwenda frontline kbs hapo bakhmut.

Una ushahidi kwamba warusi walikuwa hawajui ziara ya zelensky bakhmut!? Warusi hawana shida na zelensky. Waliizingira kiev km 9 kutoka ikulu ya zelensky kwa wiki kadhaa hawakuwa na shida naye tu lkn wangemtaka wangempata.

Kiongozi wa nchi kwenda frontline sio lzm. Obama hakwenda libya, wala hakwenda Syria wala Pakistan kwenye operation neptune spear. Bush hakwenda Afghanistan wala Iraq. Op zote ziliendeshwa kutokea White house. Unataka putin aende frontline kisa zelensky anaenda!? Urusi ni nchi ambayo OP ni swala moja lkn yapo mambo mengine yanayohitaji uendeshwaji. Nchi haijasimama kama Ukraine. Kwanza raisi Putin kutembelea frontline tena ya kioperation ndio dalili za udhaifu. Raisi yupo Ofisini anafanya mambo ya msingi zaidi.

Hadithi yako ya Rogozin ni kichekesho. Haistahili hata majibu
 
C & P
A new wave of mysterious deaths of Russian high-ranking officials:

24/12: Alexander Buzakov, 66- General Director of military shipyard. Huyu aliongoza Admiralty shipyard na alikutwa amefariki ofisini
25/12: Alexey Maslov, 69- former Commander-in-Chief of Ground Forces of Russia
24/12: Pavel Antonov, 65- one of the richest deputies in Russia

The death case of Pavel is the most interesting:
His body was found under the windows of a hotel in India, on December 24th. Before that, on December 22, his friend Vladimir Bidenov, businessman from Yoshkar-Ola, was found dead in the same hotel.

Hawa ni baadhi wa hivi karibuni. Kuna wengine miezi imepita kama yule kigogo mmojawapo wa Gazprom
 
1)Hahahaha naona umeshikilia km laki mbili, kilometres ambazo zimeshikiliwa na Urusi zinajumuisha Crimea pamoja na maeneo ambayo alikua akiyashikilia Urusi (kwa mgongo WA waasi) huko Donbass tangu 2014. Maeneo ambayo Urusi iliyakamata tangu wavamie February 24, zaidi ya 50% yamerudi chini ya Ukraine na bado Ukraine inachanja mbuga soon Kreminna itarudi ambapo itakata Supply route ya warusi kwenda Bakhmut.

2)EU walitoa ufafanuzi wa taarifa ya Ursula na kusema kwamba 100k ilijumuisa majeruhi pamoja na waliokufa kama taarifa ya Pentagon ilivyoeleza awali.

3)Halafu unauliza km za Urusi zimeenda ngapi,kwani kuna aliyeivamia Urusi?!

4)Tumia akili
1. Maelezo mengi hayasaidii. Ni km 200k za mraba zimeenda mpk ss hv. Kuanzia Crimea mpk zaporozhie. Maelezo hayakusaidieni kurudisha walau km 1 [emoji16]. Ni 1/5 ya nchi ya ukreini. Nchi ya pili kwa ukubwa barani ulaya.

2. EU walitoa ufafanuzi wa nini!? Kwamba mwenzao aliropoka ukweli wakati ilitakiwa aseme uongo!? Head wa EU hawezi kukosea tena mbele ya kamera kuhusu suala nyeti km la casualties wa vita wanavyovisapoti. [emoji16][emoji16][emoji16] Yaani leo Putin aseme kwenye press conference wanajeshi wa urusi waliokufa ni elf 80 alaf baadae waje watuambie walikosea unafikiri tutamuelewa sisi!? Inakuwa imeisha hiyo. Na kwa hilo Urusi ni lazima walipie. Kuua wanajeshi wawatu zaidi ya laki ni unyama. Putin should hang

3. Kwa nini hawaivamii Urusi!? Wanatakiwa waende hadi Moscow wamkamate putin wamle kichwa.
 
Nafikiri humu kuna watu wanalipwa na pengine inawezekana JF yenyewe ili kurefusha mjadala si unajua na faida ndipo imo humo?!

Nimejaribu tu kuwaza kwa sauti.
Kwa sababu kama kiwango cha ujinga cha hawa kimezidi na ID mpya zinazuka mmoja akizimwa.

Ukiunganisha dot na waliochaguliwa kwenye kinyang'anyiro cha mwana JF bora wa jukwaa la kimataifa ni walewale. Nahisi tunazungukwa hapa!?

Nimejaribu kuwaza tu! Ila si mbaya elimu inapatikana. Wao wanapata faida yao (kama ni kweli) na sisi tunapata faida ya elimu.
Kuhusu suala la kulipwa inawezekana. Au sio tu kulipwa bali benefits nyinginezo. Watu kadhaa washawahi kugusia hilo humu lisemwalo lipo!

Ila km ulivyosema cha muhimu elimu!
 

Lavrov Gives Ultimatum to Ukraine​

27 DECEMBER 2022
***** BULLETIN ***** Lavrov Gives Ultimatum to Ukraine

Russian Foreign Minister Sergei Lavrov today gave an ULTIMATUM to Ukraine. A very blunt one, at that.
Lavrov said " Our proposals [. . . ] are well known to the enemy. Our point is simple:
Fulfill them for your own good. Otherwise the issue will be decided by the Russian Army."

As of today, December 27, 2022, at least six-hundred-thousand (600,000) Russian troops, with huge amounts of armor, are concentrated around Ukraine.
With today's statement by Foreign Minister Lavrov, a HUGE offensive is now expected.
 

Medvedev: "World teetering on brink of World War III and Nuclear Catastrophe"​

26 DECEMBER 2022

Russia’s former president and current deputy chair of the Security Council Dmitry Medvedev wrote a lengthy article for Rossiyskaya Gazeta newspaper, in which he summarized his thoughts on how the year 2022 has changed the world order forever.
“The only thing that stops our enemies today is the understanding that Russia will be guided by [the doctrine] on nuclear deterrence. And if there is a real threat, we will act,” Medvedev wrote in his article published on Sunday night – noting that in such a grim scenario there will be nobody left to argue about whether that was “a retaliatory strike or a preventive one.”

“Therefore, the Western world is balancing between a burning desire to maximally humiliate, dismember and destroy Russia, on the one hand, and the desire to avoid a nuclear apocalypse, on the other,” he explained.

Until Russia receives the security guarantees it has demanded, the world “will continue to teeter on the brink of World War III and nuclear catastrophe,” Medvedev wrote, noting that Moscow is doing and will continue to do “everything we can to prevent it.”

Last December, Russia presented a list of security proposals to the US and NATO, among other things urging the West to impose a ban on Ukraine entering the military bloc, while insisting that NATO should retreat to its borders of 1997, before it began to expand.

After the US and NATO flatly refused, saying they would only be interested in limited strategic arms control talks, it became obvious that Moscow has “no one to talk to and nothing to negotiate about” with the West, Medvedev argued. And when in February “Ukrainian junkies announced their desire to revive their nuclear arsenal,” Moscow had no other choice but to act, he added.

“Our world has changed, forever. And the main question remains… what kind of future begins today?” Medvedev wrote.

“New disarmament agreements are currently unrealistic and unnecessary,” the Russian official reiterated. “The sooner the guarantees of maximum security that suit our country are received, the sooner the situation will normalize.”

Earlier this month, Russian Deputy Foreign Minister Sergey Ryabkov said that Moscow is willing to discuss the subject of security guarantees again, if the West is serious about it, but until then, Russia will continue to respond appropriately to any further NATO expansion. Since the conflict in Ukraine escalated in February, the bloc has moved to welcome Sweden and Finland into its ranks, though the expansion has yet to be finalized.
 
Russia Warns U.S. Against Launching 'Decapitation Strike' on Putin
themoscowtimes.comDec 27, 2022 4:05 PM

Russia's Foreign Minister Sergei Lavrov.
Russian Foreign Minister Sergei Lavrov warned the United States on Tuesday against ordering a “decapitation strike” on President Vladimir Putin.


Lavrov’s comments refer to an anonymous U.S. military official telling Newsweek back in September that a special operation “to kill Putin in the heart of the Kremlin” had been “front and center” among the options being considered by the U.S. in response to Putin’s escalating nuclear rhetoric.

“Some 'unnamed officials' from the Pentagon actually threatened to deliver a 'decapitation strike' against the Kremlin,” Lavrov told Russia’s TASS news agency in an interview.

Describing the plans as “essentially a threat to physically remove the Russian head of state,” Lavrov warned of “consequences” should any such attack ever be carried out.


The Russian embassy in Washington slammed the so-called decapitation option as “reckless” and “delusional” at the time.

Lavrov on Tuesday also accused the United States and its NATO allies of seeking to defeat Russia on the battlefield in order to weaken or destroy the country. He also blamed the Biden administration for preventing the normalization of relations between the U.S. and Russia.
Yawezekana kabisa Putin akaondolewa na wenzake, lawama akabebeshwa USA...



Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Mpaka Sasa Putin haamini kipigo anachotembezewa.., kabaki kwenye mikwara tu..,Jana Ukraine kachakaza airbase Yao , lakini Leo hatujaona zile mbwembe za kurusha makombora Kyiv [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Wao wanadai kuwa ile base haijapigwa

Swali kwao

Je kwanini wahamishe midege na kupeleka mbali kutoka mipaka ya Ukraine

Kwanini waseme wameitungua wakati kuna sehemu wanadai zimelipuliwa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
SMO imekuwa ngumu sababu ni misaada ya silaha na pesa toka western.
Hata Supa-pawa anapokea silaha kutoka Iran na North Korea.

Week 2 au tatu za mwanzo za SMO Ukraine ilikuwa tayari uwezo wake wa kijeshi ulikuwa umeharibiwa kwa zaidi ya 90%. Misaada tu ndio inalifanya jeshi la ukraine ambalo kwa sasa % kubwa mamluki toka nchi mbalimbali.
Kama ingekuwa kweli angeishaiteka Kyiv kitambo.....hao mamluki wapo wengi kiasi gani mpaka waunde % kubwa ya jeshi la Ukraine ?...vipi na hao wafungwa na raia wa kigeni wanaopigana upande wa Supa-pawa ?
 
Jamani hizi story za kujifurahisha tu!! ukweli ni kwamba Ukraine imechakaa sio nchi ya kukaliwa tena na watu kwa amani.... sasahivi mwamba the Putin katoa amri kuwe na. mazungumzo ya amani akimaanisha Ukraine wakubaliane na kilichotokea (kumegwa kwa ardhi ya Ukraine) akikaidi Ukraine itakabiliwa na hatua za kijeshi kutoka Urusi.....
Amka hapo kwa shemeji

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom