Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ukiitazama Ukraine ilivyo, maeneo muhimu Russia ishafeli hiyo Bahkmut haina umuhimu mkubwa kama kupitia Kaskazini Mashariki kuitafuta Kharkiv, au kutoka Melitopol kuitafuta Zaphorizhzhia or kuitafuta Kherson au kupitia Belarus kuitafuta Kiev. Hapo Bahkmut ukishatoka Donetsk unaupata mji gani wa muhimu na ulio karibu kuizidi, utoke Bahkmut uitafute Dnipro ni leo?View attachment 2460276

Kutumia miezi mitano kuitafuta Bahkmut unayosema ni ya muhimu sana kwa Russia unamaanisha Russia ni poor, poor, poor kabisa. Kwamba unamaanisha superpower hawezi teka eneo lisilo hata 100km kutoka DPR ambayo iko under waasi wa Urusi tangu vita hii haijaanza mwaka huu.

Ukraine priority yake ni kuiondoa Russia maeneo iliyoteka mwaka huu, kisha ndio iangalie hao waasi wa Donetsk na Luhansk kisha hatma ya Crimea. Bado kuna maeneo ya muhimu zaidi kuliko Bahkmut, ila tu wamefanya attrition warfare iwe kama Battle of Verdun ya WW1 ambapo France na Germany walipigana wakapoteza wanajeshi 700,000 kwenye trench lines zile ila ukiwauliza sababu ya kuingia gharama kubwa vile ni nini hakukuwa na mashiko.

Maoni yangu sio sheria na wala sibishi ila sijaelewa tofauti na hivi
Hebu ww niambie Urusi atatumia njia gani kufanya shambulizi la ardhini kwenye miji ya solvyansk na krimatosk zaidi ya bhakhmut ?

Urusi sio rahisi kuuteka mji huo maana na Ukraine imewekeza nguvu kubwa na karibia kila siku Ukraine inapeleka maelfu ya wanajeshi kuhakikisha huo mji hautekwi.
 
Wagner Group wanazidi kusonga mbele kijiji cha Opytne.sasa wanamiliki asilimia 50 ya kijiji chote




[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]







"wanamiliki asilimia 50 ya Kijiji chote"[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
1)Hahahaha naona umeshikilia km laki mbili, kilometres ambazo zimeshikiliwa na Urusi zinajumuisha Crimea pamoja na maeneo ambayo alikua akiyashikilia Urusi (kwa mgongo WA waasi) huko Donbass tangu 2014. Maeneo ambayo Urusi iliyakamata tangu wavamie February 24, zaidi ya 50% yamerudi chini ya Ukraine na bado Ukraine inachanja mbuga soon Kreminna itarudi ambapo itakata Supply route ya warusi kwenda Bakhmut.

2)EU walitoa ufafanuzi wa taarifa ya Ursula na kusema kwamba 100k ilijumuisa majeruhi pamoja na waliokufa kama taarifa ya Pentagon ilivyoeleza awali.

3)Halafu unauliza km za Urusi zimeenda ngapi,kwani kuna aliyeivamia Urusi?!

4)Tumia akili
Wanachanya mbuga sehemu gani au hakuna jina[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Walifanya counter attack huko Svatove ila kilichowakuta imebaki story yao tu.[emoji23][emoji23][emoji23]


Kremina ni ngumu kwa vikosi vya Ukraine kusogeza pua maana awana supply ya haraka kwa vikosi vyao.Warusi wana vikosi vingi sana kwenye mji huo
 
Hebu ww niambie Urusi atatumia njia gani kufanya shambulizi la ardhini kwenye miji ya solvyansk na krimatosk zaidi ya bhakhmut ?

Urusi sio rahisi kuuteka mji huo maana na Ukraine imewekeza nguvu kubwa na karibia kila siku Ukraine inapeleka maelfu ya wanajeshi kuhakikisha huo mji hautekwi.
Bakhmut aina miezi hata 2 itakuwa tumesahau habari yake.muda utaongea[emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635][emoji635]
 
Nyie watu mnachekesha sana. Last week tu hapa Zelensky alilalama Hali ya bakhmut ni mbaya leo hii mnakuja na porojo tena!?

"The front-line situation remains very difficult in the key areas of Donbas — Bakhmut, Soledar, Maryinka, Kreminna" _ Zelensky
Nafikiri humu kuna watu wanalipwa na pengine inawezekana JF yenyewe ili kurefusha mjadala si unajua na faida ndipo imo humo?!

Nimejaribu tu kuwaza kwa sauti.
Kwa sababu kama kiwango cha ujinga cha hawa kimezidi na ID mpya zinazuka mmoja akizimwa.

Ukiunganisha dot na waliochaguliwa kwenye kinyang'anyiro cha mwana JF bora wa jukwaa la kimataifa ni walewale. Nahisi tunazungukwa hapa!?

Nimejaribu kuwaza tu! Ila si mbaya elimu inapatikana. Wao wanapata faida yao (kama ni kweli) na sisi tunapata faida ya elimu.
 
Ukraine propaganda went wrong

Ukrainian People's Deputy of Ukraine (MP) Lesia Vasilenko shared a photo of a "boy who survived an artillery attack by Russia"... in 2013

The photo was taken in 2013 (or maybe earlier) for the cover of a Spanish book.
1672174700978.png


1672174725015.png
 
Pentagon walisema mpk sasa Urusi imepoteza wanajeshi laki moja.
"Kikawaida vitani wanasema kwa kila mwanajeshi mmoja anayeuawa basi watatu wanakuwa wameumia. Total casualty inakuwa ni 4. Kama rate itakuwa ni zaidi ya hapo basi hali ni mbaya sana na ni ngumu kuwa chini ya hapo. Kwa mujibu wa wataalam"

"Kwa mujibu Pentagon kama waliokufa ni laki basi walioumia ni laki tatu".

HAMKOMI?!!!!!
Duh!...basi ni haki yao kabisa kuita 'mobilisation'....wote hao kwa miezi 10 tu ya Vita ?.....hali mbaya mno
 
Wanachanya mbuga sehemu gani au hakuna jina[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].Walifanya counter attack huko Svatove ila kilichowakuta imebaki story yao tu.[emoji23][emoji23][emoji23]


Kremina ni ngumu kwa vikosi vya Ukraine kusogeza pua maana awana supply ya haraka kwa vikosi vyao.Warusi wana vikosi vingi sana kwenye mji huo
Endelea kuota,majeshi ya Ukraine yanakaribia Kreminna Kwasasa yapo Zhytlivka, Dibrova na msitu wa Serebryanka. Kreminna ikifall Ukraine itakua imekata supply route ya Urusi kwenda Bakhmut
 
Russia has failed to take Bakhmut, say UK defence spies
Dec 27, 2022 9:36 PM

Russia's all out assault on the town of Bakhmut has largely failed despite resorting to costly World War One-style tactics, British military intelligence has said.


The city, and the central Donbas region where it lies, have been the focus of a Russian onslaught since August, leading to some of the bloodiest attritional warfare of the Ukraine conflict.

But British military intelligence on Tuesday said Russia had continued to launch “frequent small-scale assaults” but “little territory has changed hands”. Any gains are thought to have come at a very high cost in manpower.

Defence analysts assess that Bakhmut, which confers little strategic advantage, has become a symbolic target for Vladimir Putin, the Russian president, who is desperate to end the year with a victory.


The area has been the scene of ferocious fighting in recent weeks, with the Wagner paramilitary group thought to be leading Russia’s attack.

The group is led by former businessman Yevgeny Prigozhin, 61, known as “Putin’s chef” for his lucrative Kremlin catering contracts, and has been accused of trying to convert battlefield success in Ukraine and across Africa into political power.

The failure to take Bakhmut is seen as a blow for Mr Prigozhin’s political ambitions and an embarrassment for Russia’s leader.

Tensions between the Russian military and the mercenary group appear to be rising over the lack of progress.


In an unprecedented public criticism, two Wagner artillery gunners took aim at the Russian army’s top brass for failing to supply gun crews with enough ammunition.

One of the soldiers accused Gen Valery Gerasimov, 67, the Russian army’s chief of staff, of deliberately obstructing the delivery of more shells “to let our guys die”.


On Monday two Wagner artillery gunners, in an unprecedented public video, said Russian attacks against Bakhmut were getting nowhere and assault groups were being cut to pieces. They blamed the army’s top brass for failing to supply Wagner’s gun crews sufficient shells to shoot at the Ukrainians.


One Wagner soldier accused Gen Gerasimov of willfully preventing the delivery of artillery ammunition to Wagner formations "to let our guys die", while the other claimed it was the mercenary group that was “doing all the fighting” in Bakhmut.

Ukraine meanwhile claimed to have halted Russia’s attacks.

Anna Malyar, Ukraine’s deputy defence minister, told a televised briefing that Russia had massed “its greatest concentration of force” to support the assault on Bakhmut.

“Our fighters are inflicting heavy casualties on the enemy and he cannot advance further,” she said.

The British defence intelligence update also said elements of Russia’s 1st Guards Tank Army were probably among forces Moscow recently deployed to Belarus.

However, it cautioned: “This formation was likely conducting training before its deployment and is unlikely to have the support units needed to make it combat ready.”


Footage also emerged of a Russian T-90M tank, one of Moscow’s most modern vehicles, being destroyed by an improvised grenade dropped from a Ukrainian drone.

The clip on social media shows an RKG-3 high-explosive grenade being dropped through the open turret of a stationary tank which then erupts, blowing the turret off.


Russian tanks have automatic loaders meaning the explosive charges used to propel the munitions are not held in protective armoured containers, as is the case in most western tanks.

Any fire or blast in the turret is highly likely to set off all the charges held in the tank, resulting in a catastrophic explosion.

Despite continued battlefield setbacks, Russia's foreign minister on Tuesday warned Ukraine that it must demilitarise, saying "the Russian army will solve the issue" if it does not.

In an apparent response, Mykhailo Podolyak, Ukrainian presidential adviser, tweeted that "Russia needs to face the reality"

"Neither total mobilisation, nor panicky search for ammo, nor secret contracts with Iran, nor Lavrov's threats will help," he said. "Ukraine will demilitarise the RF [Russian Federation] to the end, oust the invaders from all occupied territories. Wait for the finale silently."
 
Jamani hizi story za kujifurahisha tu!! ukweli ni kwamba Ukraine imechakaa sio nchi ya kukaliwa tena na watu kwa amani.... sasahivi mwamba the Putin katoa amri kuwe na. mazungumzo ya amani akimaanisha Ukraine wakubaliane na kilichotokea (kumegwa kwa ardhi ya Ukraine) akikaidi Ukraine itakabiliwa na hatua za kijeshi kutoka Urusi.....
The sad truth is mahali watu wanakaa upatikanaji wa Maji na umeme ni mkubwa kuliko Tanzania
 
Back
Top Bottom