Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Una ushahidi kwamba warusi walikuwa hawajui ziara ya zelensky bakhmut!? Warusi hawana shida na zelensky. Waliizingira kiev km 9 kutoka ikulu ya zelensky kwa wiki kadhaa hawakuwa na shida naye tu lkn wangemtaka wangempata
Umeshasahau walimtaka aondoke kwa hiari Ukraine baadae wakawataka askari wake wampindue ?...

Wana shida naye sana tu ila hawawezi kumpata.
 
1. Maelezo mengi hayasaidii. Ni km 200k za mraba zimeenda mpk ss hv. Kuanzia Crimea mpk zaporozhie. Maelezo hayakusaidieni kurudisha walau km 1 [emoji16]. Ni 1/5 ya nchi ya ukreini. Nchi ya pili kwa ukubwa barani ulaya.

2. EU walitoa ufafanuzi wa nini!? Kwamba mwenzao aliropoka ukweli wakati ilitakiwa aseme uongo!? Head wa EU hawezi kukosea tena mbele ya kamera kuhusu suala nyeti km la casualties wa vita wanavyovisapoti. [emoji16][emoji16][emoji16] Yaani leo Putin aseme kwenye press conference wanajeshi wa urusi waliokufa ni elf 80 alaf baadae waje watuambie walikosea unafikiri tutamuelewa sisi!? Inakuwa imeisha hiyo. Na kwa hilo Urusi ni lazima walipie. Kuua wanajeshi wawatu zaidi ya laki ni unyama. Putin should hang

3. Kwa nini hawaivamii Urusi!? Wanatakiwa waende hadi Moscow wamkamate putin wamle kichwa.

1. Aiseee nimeamini hesabu ni janga la Taifa,kumbe ⅕ ya 600,000 km² ni 200k. Urusi hana ubavu wa kukamata 200k km² alijaribu Feb 24 kaangukia pua. Eneo analoshikilia Urusi halizidi 130k km² ambazo bado kuna maeneo yanaendelea kukombolewa,miezi 6 ijayo nina hakika atabakia na Nusu ya eneo hilo.

2. Putin juzi alitamka kwamba kinachoendelea huko Ukraine ni vita wala si SMO kama wapambe wake mnavyotuongopea hapa Jf. Kwahiyo tunakubaliana kinachoendelea huko ni vita si SMO?! Au Babu yenu alikosea?!

3.Kwanini Urusi hawaivamii UK iliyopasua mabomba yake ya Gas?! Wakamkamate Rish sunak pale London wamle kichwa.
 

Lavrov Gives Ultimatum to Ukraine​

27 DECEMBER 2022
***** BULLETIN ***** Lavrov Gives Ultimatum to Ukraine

Russian Foreign Minister Sergei Lavrov today gave an ULTIMATUM to Ukraine. A very blunt one, at that.
Lavrov said " Our proposals [. . . ] are well known to the enemy. Our point is simple:
Fulfill them for your own good. Otherwise the issue will be decided by the Russian Army."

As of today, December 27, 2022, at least six-hundred-thousand (600,000) Russian troops, with huge amounts of armor, are concentrated around Ukraine.
With today's statement by Foreign Minister Lavrov, a HUGE offensive is now expected.
Mkuu nakukumbusha January bado siku tatu.
IMG_20221228_105204.jpg
 
Wao wanadai kuwa ile base haijapigwa

Swali kwao

Je kwanini wahamishe midege na kupeleka mbali kutoka mipaka ya Ukraine

Kwanini waseme wameitungua wakati kuna sehemu wanadai zimelipuliwa

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
Yanajirudia yaleyale ya Moskva,walisema haijapigwa na Neptune ant ship missiles lakini baada ya kuzama walikimbiza Meli zao mbali kabisa na Pwani ya Ukraine [emoji23][emoji23]
 
Last December, Russia presented a list of security proposals to the US and NATO, among other things urging the West to impose a ban on Ukraine entering the military bloc, while insisting that NATO should retreat to its borders of 1997, before it began to expand.
Too late..
 
2. Putin juzi alitamka kwamba kinachoendelea huko Ukraine ni vita wala si SMO kama wapambe wake mnavyotuongopea hapa Jf. Kwahiyo tunakubaliana kinachoendelea huko ni vita si SMO?! Au Babu yenu alikosea?!
lee van cliff

3.Kwanini Urusi hawaivamii UK iliyopasua mabomba yake ya Gas?! Wakamkamate Rish sunak pale London wamle kichwa.
Wale wote wanaoisaidia Ukraine hasa Poland waliambiwa watakiona cha moto ila bado hawajaguswa mpaka Sasa....
 
Ila jamaa (Urusi) wana artillery nyingi Sana nadhani waliwekeza Sana hapo.
Kwasasa wameanza kupata uhaba wa hizo artilleries ndio maana wameenda kununua NK. Mwanzoni mwa Vita Russia alikua anatumia artilleries Kwa fujo anarusha mpk 60,000 Kwa siku ndio maana alikua akiteka miji kwa Kasi.

Ukraine baada ya kupata precision weapons (HIMARS) akaanza kutarget ammunition depots ambapo maelfu ya artillery ziliunguzwa pia nyingi zilibebwa na Ukraine walipoichukua Kharkiv.

Still Russia ana advantage kwenye artillery sababu bado anazalisha ukilinganisha na Ukraine mpk asubiri apewe na washirika.
 
Yanajirudia yaleyale ya Moskva,walisema haijapigwa na Neptune ant ship missiles lakini baada ya kuzama walikimbiza Meli zao mbali kabisa na Pwani ya Ukraine [emoji23][emoji23]
Shida ya Urusi ni viongozi wa juu.

Akitoka Putin, atakuja mtu mwenye mambo yale yale.
Hata miaka 100 ipite bado Russia itataka irudishe USSR.
1991 inawauma sana

Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Hata Supa-pawa anapokea silaha kutoka Iran na North Korea.


Kama ingekuwa kweli angeishaiteka Kyiv kitambo.....hao mamluki wapo wengi kiasi gani mpaka waunde % kubwa ya jeshi la Ukraine ?...vipi na hao wafungwa na raia wa kigeni wanaopigana upande wa Supa-pawa ?
Si unaona unaandika uchoko. Uwe unatumia akili sio hisia za kichoko.
 
Yaani wewe kwa kutafsiri habari kutoka kwenye vyanzo cya magharibi basi unajiona unajua mambo makubwa?

Sasa angalia unavyoandika andika bila hata kujua unaandika nini

"Bahkmut ni muhimu kwa ukraine kuliko ilivyo kwa Russia" hivi hata wewe mwenyewe ukisoma hii ina make sense hata kidogo?.....ni vyema ukajifunza kutafakari kwa kina kwanza kabla ya kupost post ili uonekane unajua


Unaandika vitu viiingi ili kuonyesha unajua mwishowe unajichanganya na kujikana,sasa nakuweke hii kutoka kwako mwenyewe,angalia ulichopost awali na sasa hivi uone kama unajielewa kweli wewe?View attachment 2460033
Duh kwahiyo amepost Mara 2 kuhusu Jambo moja linalofanana lakini kila moja na maudhui yake ya tofauti. Kiufupi anajikataa.
Umemnasa Safi
 
Kwasasa wameanza kupata uhaba wa hizo artilleries ndio maana wameenda kununua NK. Mwanzoni mwa Vita Russia alikua anatumia artilleries Kwa fujo anarusha mpk 60,000 Kwa siku ndio maana alikua akiteka miji kwa Kasi.

Ukraine baada ya kupata precision weapons (HIMARS) akaanza kutarget ammunition depots ambapo maelfu ya artillery ziliunguzwa pia nyingi zilibebwa na Ukraine walipoichukua Kharkiv.

Still Russia ana advantage kwenye artillery sababu bado anazalisha ukilinganisha na Ukraine mpk asubiri apewe na washirika.
Ukraine amefufua uzalishaji wa artillery.

Na walisema wamegawanya viwanda sehemu tofauti tofauti ili hata ikitokea attack basi viwanda vingine viendelee na kazi.


Sent from my M2006C3LG using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom