Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Yani ufananishe hasara ya nchi nzima na kitongoji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].aliyekuroga atakuwa kafa
Una ujinga mwingi ndio maana Kila coment unajichekesha kama Malaya au kahaba,Malaya na makahaba ndo Huwa na Tabia ya kujichekesha Ili waweze kuwavutia wateja.., tofauti na Malaya au kahaba,mtu mwingine anayechekacheka kila mara ni mwehu au tahaila..,
Sijawahi kuona coment yako yoyote bila imoji za kujichekesha ( kuchekacheka)

Nafikiri utakuwa kwenye kundi mojawapo ya makundi niliyoyataja hapo juu

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mossad washafanya Yao

Qasim Fathullahi, a member of the #IRGC, was shot and killed in front of his home in #Tehran on Tuesday evening, according to #Iranian reports.
Mossad huenda popote imradi waue watu
 
Hivi Tanzania kwanini tusijifunze kwa hawa jamaa?
Wamefanikiwa adapt kwenye systems nyingi kwa wakati mmoja.
 
Urusi yasema vifo vimeongezeka kufikia 89

#BREAKING Russia says death toll from Ukrainian strike in Makiivka rises to 89

#BREAKING Russian defence ministry says use of cellphones by its troops 'main reason' for losses
Aiseee mbona Ukraine nao hutumia cellphones ila hayajatokea maangamizi kama haya?
Au ndo tuhitimishe kuwa Western tech is way far compared to Eastern?
 
Si wangewatoa hizo simu?
 
Ukina na urafiki na huyu mtu basi lazima na wewe uwe unaliwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Kwa iyo nina asilimia 100 kabisa za kuwa wewe ni chakulaaaaa
 
Hawa itakuwa ni Vijana wadogo wasiokuwa na uzoefu wa mambo ya kijeshi, ukute walikuwa waki-chat.
 
Mkuu chanzo cha vita vya Ukraine sio URUSI, urusi walivyovamia mwisho mwa mwezi wa 2 Ukraine, mwezi wa tatu walikutana na Ukraine nchini uturuki ili kumaliza vita
Walikuwa WANATAKA kuongea ili kumaliza mgogoro angalia video za juu hapo.
Ila kilichotokea nchi za magharibi na USA na canada wakakutana ili kuzuia makubaliano , wakaanza kujadiri namna ya kupeleka siraha nchini Ukraine WAMEONGEA na zele ili kupeleka siraha , Nia yao ni kuharibu mkutano. Na walifanikiwa
.
Na MARA nyingi putin anamwambia Zeke kuwa wayamalize kwa mazungumzo. Ile zele watu wa magharibi wanamdanganya, na kumpa siraha
Mkuu kumbuka vita vinapiganiwa Ukraine na sio URUSI. Kumbuka hilo kwanza.
Nikukumbushe kidogo.
USSR ilivykuwa inavyunjika walikubaliana kuwa NATO isijitanue ibaki hivyo hivyo isijitanue kwa kuyaingiza mataifa mengine kwenye jumuia ya NATO. Sasa USA na EU wanaitanua NATO kwenda mpaka mwa Urusi.
Swali: KWA NINI WANAJITANUA NA NI NANI WANAMLENGA?
URUSI wameenda Ukraine ili kuzuia Ukraine isijiunge nato , kumbuka Ukraine na URUSI wamepakana border kubwa , USA na EU wana secret agenda juu ya URUSI.
URUSI wanapigana Ukraine ili kuzuia Ukraine isijiunge NATO. Kwa hio wanapigana kutetea USALAMA wa nchi YAO juu ya RU na USA, na hawataona hasara kupoteza wanjeshi Kule Ukraine.
 
mkuu kumbuka USA na RU wana mgogoro tangu zama hizo. Ukraine ikijiunga nato. In maana NATo watakuwa na kambi ya jeshi pale USA na hivyo na siraha wataweza kibao pale Ukraine, hata za Nuclear wataweka pale, na ITAKUWA hatari kwa URUSI,
Na nia ya USA na EU wanataka kuiharibu URUSI na mwezee china. Ni uroho wa USA na EU kutaka kuwa na ushawishi DUNIA mzima. Wewe unaona sawa.
Juzi kwenye hapa tuu USA na EU wameiweka china kama nchi yenye tishio DUNIA sasa china kafanya nini wewe unavyoona mpaka wanafanya hivyo.
USA wakitaka kuvamia nchi flani hasa hasa kama HAWANA ushawishi ndani ya nchi wanamtumia jirani yako.
MFANO hapo ni Congo na vita vya congo war vya 1 na 2, walikufa watu 5 million. Ni USA na British ndio waliomtumia kagame na museveni kufanya yote hayo kule congo na wanaendelea mpaka sasa.
Wewe unavyoona ni sawa.
Kwa hio URUSI anapigana Ukraine kujitetea kwa ajiri ya taifa Lao na hata RAIA WAKE kule URUSI wanalitanbua hilo.
 
Russian alimdanganya Ukraine ahamishie mabomu ya nuclear kwake atamlinda sasa hivi anampiga
 
Warusi zaidi ya 700 wamelambishwa mchanga ndani ya siku Moja iliyopita,Kuna watu watapinga lakini hili linadhihirishwa na ukweli kwamba warusi wameegemea zaidi katika wingi kuliko ubora..,tukio la juzi la kulambishwa mchanga askari zaidi ya mia nne kwa wakati mmoja linaweza kusapot hizi evidence 🥱🥱

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Russian alimdanganya Ukraine ahamishie mabomu ya nuclear kwake atamlinda sasa hivi anampiga
Hakumdanganya mkuu,fuatilia vizuri, Makubaliano ya Ukraine na Urusi ni kwamba isijiunge NATO,pia iache kuuwa jamii ya warusi kule DONBAS. Sasa Ukraine imekiuka hayo Makubaliano yote kwa kushinikizwa na Marekani,unategemea Urusi 🇷🇺 ingefanya nini? Ukraine ni nchi inayokaliwa na kundi la NAZI ambao waliivamia USSR ya Zama hizo wakianzia Ukraine kutokea Ujerumani,kwa hiyo, Putin hataki kurudia kosa la Stalin ambae alisubiri mpaka wakavamia, kwa hiyo hata Putin asingeivamia Ukraine,bado Ukraine ilikuwa inajiandaa toka 2014 kuivamia Urusi 🇷🇺,hii vita ilikuwa inevitable!
 
Eti Ukraine alikuwa anajiandaa kuivamia urusi..,hii inaingia akilini kweli? Ata darasa la Saba hawezi kuafiki hili



Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Aiseee mbona Ukraine nao hutumia cellphones ila hayajatokea maangamizi kama haya?
Au ndo tuhitimishe kuwa Western tech is way far compared to Eastern?
Halafu sasa hii sio mara ya kwanza tukio kama hili kutokea

October: Ukraine ilipiga Makombora ya HIMARS hotel waliyokua wamefikia wanajeshi wa Chenchen,walifanikiwa kuilocate baada ya mwanajeshi mmoja kupiga picha na kupost kwenye mitandao ya kijamii. Usiku wake hotel ikapigwa Makombora karibu ya Chenchen 30 wakafa na wengine kujeruhiwa vibaya Sana

November: Ukraine ilipiga Makombora kambi waliyokua wamefikia wanajeshi wa Wagner,kosa ni hilohilo SIMU.

December: Aliyekua Boss wa Roscosmos hotel yake ilipigwa Makombora baada ya kupost picha na video Tiktok akiwa anasheherekea birthday, Ukraine wakalocate mahali alipo wakapiga Makombora akajeruhiwa vibaya na mlinzi wake kufariki. Na huyu ashukuru hakupigwa na HIMARS alipigwa na Excalibur shell.
 
Dah!..hata kujifunza wanapokosea wanashindwa kabisa...uzembe wa kujirudiarudia unaonyesha udhaifu mkubwa kwenye chain of command.

ITR T14 Armata Hammaz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…