Moronight walker
JF-Expert Member
- Aug 3, 2021
- 3,103
- 4,724
Nato vs russia.
😁😁😆😆😅
Ijapokuwa Russia inaelewa nothing is certain and no law is fixed: Kwa sababu huwezi kujiamini kwa ubora wa mafunzo wa jeshi lako tu na ubora wa zana za kivita kwa teknolojia ya kivita uliyonayo!WARUSI wadai kuwa maofisa wao walikuwa wazembe eneo lile.
Walikuwa wanajua kuwa eneo lile ni rahisi kushambuliwa na rocket za Ukraine, na wanajeshi wakakusanyika sehemu siraha zilipo.
Maana WANASEMA pale KULIKUWA na siraha nyingi na baada ya kugongana na himars siraha zililipuka na kusababisha hayo yote.
Ulikuwa ni uzembe wa maofisa
Putin miscalculated...Walimshauri tangu mwezi wa February au March, Putin akakataa. Haya maafa yote yanayotokea chanzo kikuu ni Putin mwenyewe.
Ilikuwa kama utamchallenge basi akikuita majina mabaya.Kuna jamaa fulani' alikuwa analeta update anaitwa Jesus Mlokozi sahizi kajikatia tamaa alikuwa pro Russia.
[emoji23][emoji23][emoji23]
Sa hizi simuoni alikuwa anajaza page humu.
Nilimwambia muda ni daktari mzuri hebu tungoje tuone.
Uhakika wa kushinda kwa Russia upo ila njia waliyochagua itawagharimu sana.Putin miscalculated...
Hivi ni Vita vya kujitakia tu, vilikuwa vinaepukika kabisa.Uhakika wa kushinda kwa Russia upo ila njia waliyochagua itawagharimu sana.
Hakuna mrusi aliyekufa toka vita ianze maana wana miili ya chuma hawapigiki, hapo ndipo ninapowasifia.Kila siku kuongeza masifuri tu ila mkiambiwa mlete ushahidi mnaishia kusema flani yupo twitter, kaongea.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Paragraph ya mwisho nimechekaaa.... Please assist us by clicking..... Ndio source hizo.Naona sasa hivi kila tukileta habari mnadai source Ila upande wenu mkileta habari hamtoi sourceView attachment 2468264
Wewe ndio unaongoza kwa utahaila[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kweli unachekesha sana.shida mnakurupuka mnajua wote humu ni mazuzu kama mlivyo nyie.
Yani ufananishe hasara ya nchi nzima na kitongoji[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].aliyekuroga atakuwa kafa
Kwa kweli unaupiga mwingiKama Una doubts ingiza hizi coordinates kwa Geo lacator
Geolocation of the Vocational Building School #19 in Makiivka
(48.0548519, 37.9144591)
Satellite [emoji341] images[emoji116]