Tukubaliane, kutokubaliana. Sisi proRussia, tumeelemewa kila kona kwa sasa. Eneo la propaganda hapa tumeshikwa sana. Kila mtandao wa kijamii, hawa maproUkraNato wanatukimbiza mbaya. Kwa hapa jukwaani kwa sasa huyu
alex llyod, Ndio ameonekana kuwa wa moto.
Field. Huko taarifa za vifo na majeruhi kwa siku za karibuni zimekuwa sio nzuri masikioni na machoni kwetu. Russia wanapata hasara za mali na wanajeshi.
Kiuchumi. Hili eneo silielewi sana. Maana kwa mazingira yalivyo hapa siasa lazima ziingizwe. Mpaka sasa hali inaonyesha kuwa kuna refferundum ilifanyika kwa ile mikoa mi4. Lakini kwa mambo yalivyo, hayo maeneo russia hajaweza kuyashikilia kwa 100%.
Maoni yangu. Putin aangalie namna ya kumaliza hii kadhia.