Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Ni kweli hatuwezi pata takwimu sahihi.Kwenye hivi vita ni ngumu kupata ukweli ni ngumu sana.
Mfano Ukraine ilitoa takwimu mwezi wa 11 eti tangu vita kuanza wanajeshi wake 10,000 tu ndo wameuwa ,wakaja kuumbuliwa na mkuu wa tume ya Ulaya baada ya kujikuta ameropoka kuwa wanajeshi zaidi 100,000 wa Ukraine wameuawa na 100,000 wengine wamejeruhiwa.
Urusi huyo ndo hatujui kabisa maana ni miezi sita mpaka sasa hawajatoa takwimu zozote.
Ila kamanda anaye ongoza kikosi kilichoko kwenye huo mji huo ulio shambuliwa naye ni bonge la fala aisee na anatakiwa kuwajibishwa ,hivi mko karibu na uwanja wa vita unaruhusuje watu wengi kiasi hicho wakusanyike sehemu moja eti kusherekea mwaka mpya?
Alafu walio uawa ni wale walio sajiliwa hivi karibuni ina maana walikuwa napelekwa kupata mafunzo huyu kamanda ni mpuuzi kabisa bora naye angekuwa miongoni mwa walio uawa.
Kwenye taarifa ya Ursula Europe walifafanua kwamba ilikua ikiakisi taarifa iliyotolewa na Pentagon kwamba Wanajeshi 100,000 wa Ukraine wameuawa. Ambapo kwenye taarifa hiyohiyo Pentagon walisema pia wanajeshi 100,000 wa Russia wameuawa.
Ukraine war: US estimates 200,000 military casualties on all sides.
The most senior US general estimates that around 100,000 Russian and 100,000 Ukrainian soldiers have been killed or injured in the war in Ukraine.
Ukraine war: US estimates 200,000 military casualties on all sides
Data ambazo Urusi ilitoa ilisema wanajeshi wake waliokufa vitani ni 6000.
Moscow's first update on casualty numbers in almost six months, Shoigu said 5,937 Russian soldiers had been killed since the start of the conflict.
Russia calls up 300,000 reservists, says 6,000 soldiers killed in Ukraine
Kwa tukio la juzi Urusi ni uzembe ndio ulifanya wanajeshi wao kufa kama kumbikumbi,hivi unawekaje wanajeshi wengi kiasi kile kwenye jengo moja pamoja na ammunitions?!