Mimi sijui bhan mm nipo kigoma mloleLakini simlituambia ni 600 ndo wameuwa?
Ni kweli mkuu.Na mimi nilitilia shaka the figure ,kumbe figure haikupatikana from an independent source,but from a source affiliated to the Ukraine Army.Figure ya 63 nimeipata from a reliable source with informers inside the Russian Army,so it is highly dependable.Mwanzoni ulikutana na source zinazo exaggerate information.....
Urusi auvunja moyo wangu sehemu 4kumbe kuna mkubwa jana alikua anafundishwa ku hit target katika vita. muda umefika russia aachane na soft target anazo lenga pale Ukraine.
warusia wa buza anatuvunja moyo sana.
fikiria hili.
makombora yote anayo tupa kuanzia odesa hadi kyiv angechagua target moja tu ya bakhmut halaf awamu nyingine anachagua target nyingine
bakhmut asinge hangaika nayo miez nenda rud.
anakua kama vita ameanza leo bwana aah.
Hadi mwezi wa 4 wanajeshi wa ukrain alio uliwa watakuwa wamefika 200.000Mwaka unamalizika hivyo huku warusi wakiendelea kulambishwa mchanga..,tusikose kuwaombea, Putin kaamua kwa makusudi kabisa kuwapeleka machinjioni watoto wa mother Russia 🥱View attachment 2464672
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Urusi atashindwaje [emoji849]sema waseme vita inawalipa sana wauza silaha ila kwa sasa urusi inakwenda kuwa na nguvu zaidi kijeshi maana silaha wanazo unda kwa sasa ni zile za kisasa baada zile za kizamani kwisha kwenye vita bado miezi miwili ru mass production ya urussi itakuwa juu sana hapo nato wata tema nyongoHizi kampuni zinafurahia vita iendelee na Urusi kushindwa maana ndo watauza silaha zaidi.
GE, PW, Boeing, Raytheon, Bae Systems
Hawa wananukia dollar
Russia imesafisha silaha zake zote za kizamani kwa kuzipeleka ukrain kupigana sasa anaunda za daraja la kwanza kwa mass production NATO KAZI WANAYOKwa mwendu huu ukrain itabakia magofu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Urusi atashindwaje [emoji849]sema waseme vita inawalipa sana wauza silaha ila kwa sasa urusi inakwenda kuwa na nguvu zaidi kijeshi maana silaha wanazo unda kwa sasa ni zile za kisasa baada zile za kizamani kwisha kwenye vita bado miezi miwili ru mass production ya urussi itakuwa juu sana hapo nato wata tema nyongo
Kuotewa kawaida ila mashoga wanaishaKitu kizito chenye ncha kali
Kuboresha vifaru kunahitaji gharama pia. Kitu cha muhimu ni mbinu za kuvitumia na matumizi ya combined arms. Sio kama Russia ilienda na msafara wa magari bila air cover na haikutoa logistics za kutosha.
Bado vinahitaji uvilinde dhidi ya artillery, hapo uwe na counter battery radar na artillery zako ziwe precise na range nzuri.
Uvipe infantry, kifaru hakitembei peke yake njiani inabidi wawepo wanajeshi wasio mbali sana wa kukilinda na kuteka sehemu wakati kinatoa firepower kupiga fortified areas na heavy vehicles nyingine kisha infantry zipambane wa infantry wenzake. Russia walikuwa overstretched sehemu nyingine vifaru vilienda vyenyewe au na infantry wachache.
Na vifaru viko effective nyikani sio vizuri kwenye urban warfare. Kuvilinda mjini ni kazi zaidi ndio Russia walikuja na BMPT Terminator (pichani) ambayo on paper ni nzuri ila kwenye operation haijafanya vizuri na iko deployed kiasi kidogo, ni zana mpya hata haiko mass producedView attachment 2466952
Russia kwenye miji ya Ukraine vifaru vyake vilikuwa vinatembea vyenyewe maadui wanafanya suppression fire kwa gunner anafunga cupola/hatch anaingia ndani kisha adui anakuja na grenade anafungua hatch anadondosha. Au anakuja na Molotov cocktail karibu anawasha moto anarushia kifaru.
Na mambo mengine. Silaha za kupiga vifaru zipo ni vigumu kuzikwepa ila kuna tactics za kuzifanya zisiweze kutumika. Na hata zikitumika viharibike vichache. Ukijichanganya kuacha vifaru na IFV utakuwa na mobility ndogo sana na ni hasara kubwa zaidi.
Kuna sehemu nilisoma sikumbuki wapi ila walisema kwa Marekani gharama ya kufundisha crew ya kifaru ni kama nusu ya gharama ya kifaru chenyewe. Russia ni wazembe kwenye training ya silaha nyingi zaidi ni kwenye fighter jets, training ni budget allocation na accountability ya hiyo budget kitu kigumu kwenye jeshi la Urusi. Kadri unavyotrain ndivyo ajari na kupoteza vifaa hutokea, wear and tear inatokea na inabidi ununue spare parts hasa hasa gun barrel ambayo ina accuracy kwa idadi ya shots kadhaa (picha ni ya barrel ya rocket launcher, ya pili ni ya tank na cross section ikionyesha APFSDS projectile)View attachment 2466964
View attachment 2466965
Na hapo unanunua shells za kufanyia mazoezi, na kila muda fulani haohao wanajeshi wanaojua inabidi uwarudishe ground wajikumbushe na wawe na uzoefu. Tofauti na hapo tutalaumu watengenezaji wa silaha pekee.
Training ni muhimu jeshini. Na silaha zina nidhamu yake ukiachana na nidhamu kwa serikali na makamanda. Maintenance, matumizi sahihi, uhifadhi, nk hiyo ni nidhamu kwa silaha. Naamini vifaru haviondoki vitani ndani ya hii miaka 50 ijayo
Ndio wale Mia nne mliosema jana? Na BBC mungu anawaona walisema mamia ya wanajeshi.Kitu kizito kwa kichwa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hizo taarifa za kufa mamia ya wanajeshi zilianzia toka Telegram channels za ProRussia na baadhi ya viongozi wa DPR. Ukraine imekuja kukiri jana kufanya hilo shambuliziNdio wale Mia nne mliosema jana? Na BBC mungu anawaona walisema mamia ya wanajeshi.
Kwa maneno hayo maanayake NATO wapo vitani na Russia.[emoji1255][emoji298][emoji635][emoji779][emoji779]NATO should increase arms production in 2023 for the sake of Ukraine - Stoltenberg
“For example, for artillery, we need a huge amount of ammunition, we need spare parts. We need to increase production and that is what the allies are doing,” said the NATO Secretary General.
View attachment 2467300
Huwa nawashangaa watu wanaobeza uwezo wa fitna za MarekaniThe US tied Qatar as the world’s top exporter of liquefied natural gas last year, a milestone for the meteoric rise of America as a major supplier of the fuel
Urusi na CCM ni ndugu moja.Kabisa mkuu, usitegemee kiongozi wa urusi akasimama na kukuambia " tumepoteza askari 63" na wewe ukaiamini hiyo habari
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sio mgeni mkuu nafatilia sana hii thread ila umenena kweli haina haja ya kubishana na watu wa aina hii kwa kweliOh mkuu unabishana na kp?
Achana nae huyo utapoteza energy nyingi.bila shaka u mgeni humu.