Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Mekava katika history inaonesha ili be knocked out na Konet ATGM katika 2006.
Na zilipigwa nyingi sana na ikumbukwe hzi markava ilikuwa inaaminika kuwa ndio kifaru bora zaidi ulimwenguni kumbe ni bora tu mbele ya hamasi ila vikikutana na mbabe story inakuwa nyingine tu.
Majority ya weapons nyingi za west zinafanya vizuri kwenye stone age republic mfano angalia f16 nyingi wamezitumia kupigana na iraq yemebn lebanon na kwingine ambako hawana military hardware nzuri
 
MKUU NAOMBA SOURCE YA HII HABARI , CHOMBO GANI CHA HABARI KIMETANGAZA MAANA NIMEANGALIA VYOMBA VYA HABARI VIKUBWA SIJAONA.
Inawezekana ikawa propaganda
BREAKING:
Explosions reported in Kursk, Belgorod, Voronezh and Rostov moments ago.

The picture is from Rostov.

Happy New Year’s Eve to Russia from Ukraine.

Major explosion in Omsk, Russia
 
Niltegemea kuona ammunition depot,au vifaru,au magari ya kivita yaliyoharibika,, badala yake unaonesha picha za magari ya kiraia tu yaliyoharibika.., urusi hajawahi kulenga valuable target,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tutajuaje kuwa sio magari ya kijeshi maana last time south korea kawapa ma pickup ambayo pia ni common kwa matumizi ya raia. Si ajabu hizo gari zinatumika na jeshi la ukraine
 
Na zilipigwa nyingi sana na ikumbukwe hzi markava ilikuwa inaaminika kuwa ndio kifaru bora zaidi ulimwenguni kumbe ni bora tu mbele ya hamasi ila vikikutana na mbabe story inakuwa nyingine tu.
Majority ya weapons nyingi za west zinafanya vizuri kwenye stone age republic mfano angalia f16 nyingi wamezitumia kupigana na iraq yemebn lebanon na kwingine ambako hawana military hardware nzuri
Merkava inapokutana na Anti tank kichwa ngumu.
Iliyopiga Hapo ni North Korean version ya Russian made Kornet abayo Ili- be supplied na Syria to Hizbollah.
Screenshot_20230101-120851-01.jpg
Screenshot_20230101-122015-01.jpg
Screenshot_20221231-145242-01.jpg
Screenshot_20230101-120354-01.jpg
 
Kama wewe unavyoonekana kuwa mgumu kuacha upumbavu sio?
Ata kichaa huwaona wale wenye akili timamu kwamba wao ndio vichaa,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Interesting!!!! Unajifananisha ujuha wako na mimi? Labda ni kweli mimi sio akili sana kama wengine ila najua mjinga na mpumbavu kwa post zake na mkuu bahati nzuri au mbaya wewe una vigezo vyote vya mtu anayehitaji msaada wa elimu sala pamoja na dua, kwa sababu ww ni miongoni mwa watu pekee unayepost picha za ajabu na za mtu ambaye hana ukomavu wa akili...bro you need help for sure
 
Explosion in Russian Omsk: a fire broke out at the scene (video)

Yury Lyashchuk
Yesterday, 2022, 23:40 glavcom.ua
Explosion in Russian Omsk: a fire broke out at the scene (video)
The fire broke out near the railway line
photo: screenshot from the video
It is restless in Omsk, Russia, on New Year's Eve

In the evening of December 31, it became known about a powerful explosion in Omsk. A video showing the scale of the fire is circulating online.

Please read the text after the advertisement

Judging by the video, the fire occurred near the railway track.

Please read the text after the advertisement

Earlier, there was information that "cotton" was heard in many Russian cities . Note that there is no official information about the explosions in the enemy state yet.

It will be recalled that the missile attack by Russian terrorists on December 31 was aimed at the civilian infrastructure of Ukraine , Prime Minister Denys Shmyhal said.

As reported by the Commander-in-Chief of the Armed Forces of Ukraine, Valery Zaluzhny, 12 missiles were destroyed during a massive Russian attack on civilian objects on December 31. Air defense forces and means shot down 6 targets within Kyiv, 5 Zhytomyr and 1 Khmelnytskyi regions.

Read also: Zelenskyi on the Russian missile attack: Inhumans did it, and inhumans will lose
Вибух в російському Омську: на місці події спалахнула пожежа (відео)

Moronight walker
 
Interesting!!!! Unajifananisha ujuha wako na mimi? Labda ni kweli mimi sio akili sana kama wengine ila najua mjinga na mpumbavu kwa post zake na mkuu bahati nzuri au mbaya wewe una vigezo vyote vya mtu anayehitaji msaada wa elimu sala pamoja na dua, kwa sababu ww ni miongoni mwa watu pekee unayepost picha za ajabu na za mtu ambaye hana ukomavu wa akili...bro you need help for sure
unaonekana ni kichaa hambaye bado hajajitambua na hutokaa ujitambue kamwe.,ndio maana nikakwambia kwamba kichaa huwaona wale wenye akili timamu kwamba wao ndio vichaa..,ni kudra tu za mwenyezi ndio zitakuokoa Ili uondokane na huo wehu!

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mekava katika history inaonesha ili be knocked out na Konet ATGM katika 2006.
Hapa ni kabla Merkava haijawekwa mfumo wa Trophy,baada ya kuwekwa mfumo wa Ulinzi wa Trophy vifaru vya Israel (Merkava IV) vimekua viki-intercept hizo ATGM hasa kornet na RPG pia.

Hii Trophy hadi Mmarekani kaikubali ameinunua na anainstall kwenye Abrams zake
 
Tunauanza mwaka huku warusi wakiendelea kulambishwa mchanga katika vita Yao waliyoipachika jina " operation maalum ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo"
Ushindi mkubwa kwa Ukraine mpaka Sasa ni kuweza kuigeuza operation hii kutoka saa 72 mpaka Sasa inakaribia kuingia mwaka wa pili,[emoji134]
1672566479898.jpg

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Duh!..waliokuwemo ndani walipona kweli ?....wanasema zimetengenezwa kwa namna nzuri ya kulinda maisha ya waliopo ndani zinaposhambuliwa hata kama kikiharibiwa.
T14 Armata
Merkava zimetengenezwa kwa namna ya kipekee kidogo yaani injini imewekwa mbele ili ikitokea imepigwa na ATGM au kifaru kingine Kwa mbele (frontal attack) bhas waliokua ndani wasalimike.

Lakini kwasasa hivyo vifaru vimefungwa mfumo unaitwa Trophy ambao ni maalum Kwa kuintercept ATGM kama Kornet, Javellin,etc. Kwenye Operation Protective Edge 2014 Hamas walirusha hizo Kornet zikadakwa kwa kutumia hiyo system.
Israel walianza kuunda hiyo system baada ya hasara waliyoipata kwenye vita na Hezbollah 2006,vifaru vyao vingi viliharibiwa na ATGM za Hezbollah.
 
Ni kweli.mekava tofauti na Soviet made T 72 Ni mlinzi sahihi wa crew yake dhidi ya shambulio but inategemeana Kama washambuliaji watatu wanaweza kulenga turret kwa pamoja Ni vigum tank crew kutoka salama.
 
Na zilipigwa nyingi sana na ikumbukwe hzi markava ilikuwa inaaminika kuwa ndio kifaru bora zaidi ulimwenguni kumbe ni bora tu mbele ya hamasi ila vikikutana na mbabe story inakuwa nyingine tu.
Majority ya weapons nyingi za west zinafanya vizuri kwenye stone age republic mfano angalia f16 nyingi wamezitumia kupigana na iraq yemebn lebanon na kwingine ambako hawana military hardware nzuri

"Majority ya weapons nyingi za west zinafanya vizuri kwenye stone age republic"

Waulize Urusi wakati huo (USSR) kilichowakuta baada ya kujaribu kwenda One Vs One na Israel kwenye vita vya anga.

Wakati huo Israel alikua na F-4 phantom ya Mmarekani na Mirage III za Mfaransa,zilitungua Mig 21 ambazo zilikua zikiendeshwa na marubani wa kisovoeti wenyewe. MIG 21 zote za USSR zilitunguliwa bila Israel kupoteza ndege hata moja. Kwa upande wa angani hawa jamaa hawana mpinzani.

Operation iliitwa Operation Rimon 20. Jaribu kuipitia uone warusi (sovieti) walivyokula kichapo heavy.
 
Merkava zimetengenezwa kwa namna ya kipekee kidogo yaani injini imewekwa mbele ili ikitokea imepigwa na ATGM au kifaru kingine Kwa mbele (frontal attack) bhas waliokua ndani wasalimike.

Lakini kwasasa hivyo vifaru vimefungwa mfumo unaitwa Trophy ambao ni maalum Kwa kuintercept ATGM kama Kornet, Javellin,etc. Kwenye Operation Protective Edge 2014 Hamas walirusha hizo Kornet zikadakwa kwa kutumia hiyo system.
Israel walianza kuunda hiyo system baada ya hasara waliyoipata kwenye vita na Hezbollah 2006,vifaru vyao vingi viliharibiwa na ATGM za Hezbollah.
Kweli but mbinu hii ya Ulinzi Ni Kama kupiga risasi kwa risasi. Ipo katika NATO ipo pia katika Russian made t90 M but bado so effective dhidi ya ATGM za kisasa Kama Javelin na Kornet
 
Interesting!!!! Unajifananisha ujuha wako na mimi? Labda ni kweli mimi sio akili sana kama wengine ila najua mjinga na mpumbavu kwa post zake na mkuu bahati nzuri au mbaya wewe una vigezo vyote vya mtu anayehitaji msaada wa elimu sala pamoja na dua, kwa sababu ww ni miongoni mwa watu pekee unayepost picha za ajabu na za mtu ambaye hana ukomavu wa akili...bro you need help for sure
Oh mkuu unabishana na kp?
Achana nae huyo utapoteza energy nyingi.bila shaka u mgeni humu.
 
Back
Top Bottom