Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Duh!..waliokuwemo ndani walipona kweli ?....wanasema zimetengenezwa kwa namna nzuri ya kulinda maisha ya waliopo ndani zinaposhambuliwa hata kama kikiharibiwa.
T14 Armata
Kila mtengenezaji wa kifaru anakuwa na vitu anazingatia. Mara nyingi kunakuwa na trade-off ya mobility na protection. Ukiwa na protection kubwa kifaru kinakuwa kizito sana hivyo kinakuwa na speed ndogo, kula sana mafuta na kuhitaji madaraja imara.

Israel inatengeneza vifaru vyenye protection kubwa kuliko vyote duniani kwa sasa. Hata injini ya kifaru wameweka mbele ili front armour ikiwa penetrated injini ndio iharibike. Israel inaamini ni bora upoteze kifaru kuliko kupoteza crew (gunner, commander, driver, loader). Utatumia gharama kubwa na kuhitaji muda mrefu kutrain wengine wakati hata ukiwapata hawatakuwa na uzoefu. Pia Israel haina population kubwa hivyo kila uhai wa mpiganaji ni muhimu.

Israel wana Trophy active protection system, ni bora kuliko zote kwa sasa. Marekani na UK kuna muda walitaka waichukue Trophy na wao sijui iliishia wapi. Russia ana Shtora-1 na Arena ambazo sijui ziko wapi kwenye operation hii.

Japan ana Type 10 tank. Ni kifaru kisicho kizito sana kuweka kutembea kwenye ardhi ya Japan ambayo huwa ni soft. Udongo wao ni mweusi na laini, madaraja yao yana limit fulani ya tani hivyo kifaru chao hakina tani nyingi sana kuweza kufikika maeneo karibia yote ya nchi (cross country mobility). Kwangu mimi naona Type 10 ndio kifaru pekee ukikiweka kwenye ardhi ya Japan kitaperform kuliko vingine vyote, kulingana na doctrine yao ambayo sitaelezea. Na Japan haitengenezi silaha ikiwaza soko la nje, haiuzi silaha hivyo kila silaha inawafaa wao tu.

Leopard 2 ya Ujerumani ni most balanced na inafanya vizuri. Huwa naipa nafasi ya kwanza duniani
Leopard_2_A5_der_Bundeswehr.jpg

South Korea wana K2 Black Panther iko balanced pia na nzuri kushindanishwa na Leopard 2 vinazidiana kidogo.

Marekani na Abrams yake ni proven ila imekuwa upgraded sana itabidi walete new MBT. Abrams zinakunywa mafuta vibaya ila Marekani walitaka iwe hivyo wakaipa turbine engine. Utasikia ngurumo wa Abrams ni tofauti sana na vifaru vingine kwa sababu ya gas turbine engine, sauti ndogo, inaweza tumia mafuta ya aina nyingi, very efficiency na very reliable haina breakdown za hovyo. Kunywa mafuta mengi maana yake na tankers ziwepo na uhakika wa kulinda logistics uwepo. Hasa hii modification ya SepV4 inayoendelea itakuwa imetulia
589964_5_.jpg

UK ina Challenger 2. Waingereza ni mojawapo ya watu wa mwanzo kutumia vifaru na kuleta concepts mpya mpya kwenye platform. Hawa wanaenda kivyao tofauti na NATO wengi. Challenger 2 ina Chobham armour ambayo ni secret, inatumia shells tofauti na vifaru vingine Waingereza kwenye research yao waling'ang'ania shell fulani inaitwa HESH ambayo siyo popular, wanatumia rifled gun tofauti na vifaru vingi vinavyotumia smoothbore.

Challenger 1, predecessor wa 2 ndio ina longest tank to tank kill record duniani, iliwekwa mwaka 1991 dhidi ya kifaru cha Iraq kwa kutumia APFSDS shell ikakipiga umbali wa mita 4700. Pia ndio kifaru kwa sasa hakijawahi pigwa na adui hata mara moja, ilitokea mara moja ya friendly fire kikapigwa na Challenger 2 mwenzake
British-Challenger-2-tank.jpg

Challenger ina sehemu ya kupikia chai, UK hupenda wanajeshi wake wasikose chai ni utamaduni wa Waingereza. Ni kama Marekani ilivyokuwa na utaratibu wa kuleta chocolate bars vitani na Wajerumani wakashangaa ile WW2.

France ina Lecrerc kifaru chenye bei kubwa kutokana na kutokuwa na economies of scale. Ni Ufaransa tu inakitumia na nchi nyingine ya Kiarabu nahisi UAE.

Russia vifaru vyake nishavisema miezi michache uzi huu. Sio vizito sana (kutokuwa na uzito mkubwa ni almost kusema havina protection kubwa ya armour, kwa maana ni gharama kubwa sana kutumia armour yenye uzito mdogo kwa kifaru kinachokuwa mass produced) kwa vile hakuna madaraja makubwa kila sehemu nchini. Pia nchi ni kubwa na ina uwanda mwingi wa kutumia vifaru. Wana colossal turret inayohifadhi shells zote sehemu isiyo na ballistic doors, ukiipiga ikawa penetrated kwenye turret inatokea cookoff kifaru kinalipuka. Utaona utani wa pro NATO pale Ukraine wanasema Russia has won turret throwing competition. Russia inasave crew ya mtu mmoja kwa kutumia autoloader ila ni hatari zaidi.

China ina Type 99 ambayo haijajulikana sana duniani bado ina usiri
Type-99A-Tank-3.jpg
Haiuzwi badala yake kuna VT-4 ndio kifaru cha kuuza, sisi Tanzania tuna VT-2 chache sana.

Its all about doctrines. Kati ya Japan au Taiwan sikumbuki nani hasa. Kuna nilioona wana medium tank iko wheeled badala kubwa tracked kwa ajili ya cross country mobility, wafanye haraka kudeploy hivyo vifaru upande mwingine wa kisiwa kama adui (hasa China) amefanya amphibious landing. Huku nyuma waandae main battle tanks (MBT) kupambana. So kwao hizo medium tanks zinapiga kwa kuvizia ili ziwacheleweshe hawa mwadui waliofanya landing ili MBT zenye speed ndogo au zinazohitaji maroli kuletwa battlefield zije kupigana uso kwa uso.

Vifaru ni mada kubwa sana, ukitoka hii kuna shells zake kama HEAT, AP, APFSDS, nk. Huwa napata ugumu kusoma vifaru kuliko ndege, ila submarines warfare ndio ngumu zaidi. Ukitaka kuelewa zaidi vifaru tumia Quora na kidogo Reddit, Twitter sijui
 
Attachments

  • Type-99A-Tank-3.jpg
    Type-99A-Tank-3.jpg
    168.8 KB · Views: 22
Kila mtengenezaji wa kifaru anakuwa na vitu anazingatia. Mara nyingi kunakuwa na trade-off ya mobility na protection. Ukiwa na protection kubwa kifaru kinakuwa kizito sana hivyo kinakuwa na speed ndogo, kula sana mafuta na kuhitaji madaraja imara.

Israel inatengeneza vifaru vyenye protection kubwa kuliko vyote duniani kwa sasa. Hata injini ya kifaru wameweka mbele ili front armour ikiwa penetrated injini ndio iharibike. Israel inaamini ni bora upoteze kifaru kuliko kupoteza crew (gunner, commander, driver, loader). Utatumia gharama kubwa na kuhitaji muda mrefu kutrain wengine wakati hata ukiwapata hawatakuwa na uzoefu. Pia Israel haina population kubwa hivyo kila uhai wa mpiganaji ni muhimu.

Israel wana Trophy active protection system, ni bora kuliko zote kwa sasa. Marekani na UK kuna muda walitaka waichukue Trophy na wao sijui iliishia wapi. Russia ana Shtora-1 na Arena ambazo sijui ziko wapi kwenye operation hii.

Japan ana Type 10 tank. Ni kifaru kisicho kizito sana kuweka kutembea kwenye ardhi ya Japan ambayo huwa ni soft. Udongo wao ni mweusi na laini, madaraja yao yana limit fulani ya tani hivyo kifaru chao hakina tani nyingi sana kuweza kufikika maeneo karibia yote ya nchi (cross country mobility). Kwangu mimi naona Type 10 ndio kifaru pekee ukikiweka kwenye ardhi ya Japan kitaperform kuliko vingine vyote, kulingana na doctrine yao ambayo sitaelezea. Na Japan haitengenezi silaha ikiwaza soko la nje, haiuzi silaha hivyo kila silaha inawafaa wao tu.

Leopard 2 ya Ujerumani ni most balanced na inafanya vizuri. Huwa naipa nafasi ya kwanza dunianiView attachment 2465706
South Korea wana K2 Black Panther iko balanced pia na nzuri kushindanishwa na Leopard 2 vinazidiana kidogo.

Marekani na Abrams yake ni proven ila imekuwa upgraded sana itabidi walete new MBT. Abrams zinakunywa mafuta vibaya ila Marekani walitaka iwe hivyo wakaipa turbine engine. Utasikia ngurumo wa Abrams ni tofauti sana na vifaru vingine kwa sababu ya gas turbine engine, sauti ndogo, inaweza tumia mafuta ya aina nyingi, very efficiency na very reliable haina breakdown za hovyo. Kunywa mafuta mengi maana yake na tankers ziwepo na uhakika wa kulinda logistics uwepo. Hasa hii modification ya SepV4 inayoendelea itakuwa imetuliaView attachment 2465705

UK ina Challenger 2. Waingereza ni mojawapo ya watu wa mwanzo kutumia vifaru na kuleta concepts mpya mpya kwenye platform. Hawa wanaenda kivyao tofauti na NATO wengi. Challenger 2 ina Chobham armour ambayo ni secret, inatumia shells tofauti na vifaru vingine Waingereza kwenye research yao waling'ang'ania shell fulani inaitwa HESH ambayo siyo popular, wanatumia rifled gun tofauti na vifaru vingi vinavyotumia smoothbore.

Challenger 1, predecessor wa 2 ndio ina longest tank to tank kill record duniani, iliwekwa mwaka 1991 dhidi ya kifaru cha Iraq kwa kutumia APFSDS shell ikakipiga umbali wa mita 4700. Pia ndio kifaru kwa sasa hakijawahi pigwa na adui hata mara moja, ilitokea mara moja ya friendly fire kikapigwa na Challenger 2 mwenzakeView attachment 2465704
Challenger ina sehemu ya kupikia chai, UK hupenda wanajeshi wake wasikose chai ni utamaduni wa Waingereza. Ni kama Marekani ilivyokuwa na utaratibu wa kuleta chocolate bars vitani na Wajerumani wakashangaa ile WW2.

France ina Lecrerc kifaru chenye bei kubwa kutokana na kutokuwa na economies of scale. Ni Ufaransa tu inakitumia na nchi nyingine ya Kiarabu nahisi UAE.

Russia vifaru vyake nishavisema miezi michache uzi huu. Sio vizito sana (kutokuwa na uzito mkubwa ni almost kusema havina protection kubwa ya armour, kwa maana ni gharama kubwa sana kutumia armour yenye uzito mdogo kwa kifaru kinachokuwa mass produced) kwa vile hakuna madaraja makubwa kila sehemu nchini. Pia nchi ni kubwa na ina uwanda mwingi wa kutumia vifaru. Wana colossal turret inayohifadhi shells zote sehemu isiyo na ballistic doors, ukiipiga ikawa penetrated kwenye turret inatokea cookoff kifaru kinalipuka. Utaona utani wa pro NATO pale Ukraine wanasema Russia has won turret throwing competition. Russia inasave crew ya mtu mmoja kwa kutumia autoloader ila ni hatari zaidi.

China ina Type 99 ambayo haijajulikana sana duniani bado ina usiriView attachment 2465703Haiuzwi badala yake kuna VT-4 ndio kifaru cha kuuza, sisi Tanzania tuna VT-2 chache sana.

Its all about doctrines. Kati ya Japan au Taiwan sikumbuki nani hasa. Kuna nilioona wana medium tank iko wheeled badala kubwa tracked kwa ajili ya cross country mobility, wafanye haraka kudeploy hivyo vifaru upande mwingine wa kisiwa kama adui (hasa China) amefanya amphibious landing. Huku nyuma waandae main battle tanks (MBT) kupambana. So kwao hizo medium tanks zinapiga kwa kuvizia ili ziwacheleweshe hawa mwadui waliofanya landing ili MBT zenye speed ndogo au zinazohitaji maroli kuletwa battlefield zije kupigana uso kwa uso.

Vifaru ni mada kubwa sana, ukitoka hii kuna shells zake kama HEAT, AP, APFSDS, nk. Huwa napata ugumu kusoma vifaru kuliko ndege, ila submarines warfare ndio ngumu zaidi. Ukitaka kuelewa zaidi vifaru tumia Quora na kidogo Reddit, Twitter sijui
Baba! Unavyofungukaga, kama muajiriwa wa pentagon. Kumbe tailer wa bank
 
Heri ya mwaka mpya 2023 ndugu zangu wa Pro Russia na wale wa UkraNato. Muwe na afya njema na tuendee kupeana taarifa za kile kinachojiri kwenye huu mzozo.

Nawapenda wote.
Heri iwe kwa wote
  1. huu mwaka watu wapunguze makasiriko humu ndani, mambo ya kutoleana maneno ya kashfa yapunguzwe au kuachwa kabisa
  2. habari zisizoambatana na vyanzo vya uhakika zipungue
  3. ujuaji wa kifala upunguzwe
  4. imani yangu hakuna anayefaidika na huu mgogoro humu ndani,
  5. mambo ya kujivisha utimu mpaka kuvuka mipaka utatufanya wengine tuanze kuwa na wasiwasi na kilichopo ndani ya nafsi

ISIJEKUWA KUNA mabaradhuli YANALIPWA HUMU NDANI KUTETEA UKHABITHI​
 
Hapa ni kabla Merkava haijawekwa mfumo wa Trophy,baada ya kuwekwa mfumo wa Ulinzi wa Trophy vifaru vya Israel (Merkava IV) vimekua viki-intercept hizo ATGM hasa kornet na RPG pia.

Hii Trophy hadi Mmarekani kaikubali ameinunua na anainstall kwenye Abrams zake
Nina iman hata jamaa wa konet lazima wamezi upgrade so until proved in battle hizo zote ni just prototype tu
 
Na hawo pro rusia wanaotuma video kutoka YouTube nao wanaokoteza?
Achana na huyo jamaa tangu nimuumbue baada ya kuleta mapicha yake ya uongo na mihabari yake ya kimchongo yupo obsessed na Mimi anajaribu kuniondolea credibility ila hanisumbui nakula nae sahani moja.

Week kama mbili/tatu zilizopita alileta hii mipicha ya February akatuongopea ni Bakhmut,nikamuumbua[emoji23][emoji23]
IMG_20221214_141748.jpg
IMG_20221214_134201.jpg
 
Kila mtengenezaji wa kifaru anakuwa na vitu anazingatia. Mara nyingi kunakuwa na trade-off ya mobility na protection. Ukiwa na protection kubwa kifaru kinakuwa kizito sana hivyo kinakuwa na speed ndogo, kula sana mafuta na kuhitaji madaraja imara.

Israel inatengeneza vifaru vyenye protection kubwa kuliko vyote duniani kwa sasa. Hata injini ya kifaru wameweka mbele ili front armour ikiwa penetrated injini ndio iharibike. Israel inaamini ni bora upoteze kifaru kuliko kupoteza crew (gunner, commander, driver, loader). Utatumia gharama kubwa na kuhitaji muda mrefu kutrain wengine wakati hata ukiwapata hawatakuwa na uzoefu. Pia Israel haina population kubwa hivyo kila uhai wa mpiganaji ni muhimu.

Israel wana Trophy active protection system, ni bora kuliko zote kwa sasa. Marekani na UK kuna muda walitaka waichukue Trophy na wao sijui iliishia wapi. Russia ana Shtora-1 na Arena ambazo sijui ziko wapi kwenye operation hii.

Marekani imeanza kuinstall Trophy kwenye Abrams tank muda kidogo,Pia mwaka Jana Ujerumani imeingia mkataba na Rafael wakununua hiyo System baada ya kuitest na kuridhishwa na utendaji kazi wake.
 
Heri ya mwaka mpya 2023 ndugu zangu wa Pro Russia na wale wa UkraNato. Muwe na afya njema na tuendee kupeana taarifa za kile kinachojiri kwenye huu mzozo.

Nawapenda wote.
Heri ya mwaka mpya kwa wote humu especially ndugu yangu Bwana Utam wa nyanda za Siberia. Huyo nimemjua tangu nyuzi za silaha na vita zilizopita na sijawahi muona uzi mwingine wowote ule. Mwanzoni alidhani mimi ni pro Russia
 
Marekani imeanza kuinstall Trophy kwenye Abrams tank muda kidogo,Pia mwaka Jana Ujerumani imeingia mkataba na Rafael wakununua hiyo System baada ya kuitest na kuridhishwa na utendaji kazi wake.
Israel inajari sana crew protection sio kama nchi fulani inayoamini kwenye quantity kuliko quality. Huku ni kuwa na vifaru vichache vyenye ubora vilivyozingatia zaidi usalama wa crew.

Huku ni tengeneza vifaru vingi hata nusu ikiharibika ile nusu iliyopo itoshee kufanya kazi, nusu kuharibika hapo hata crew yake imedhurika.

"Quantity has a quality all its own” Josef Stalin
 
Marekani imeanza kuinstall Trophy kwenye Abrams tank muda kidogo,Pia mwaka Jana Ujerumani imeingia mkataba na Rafael wakununua hiyo System baada ya kuitest na kuridhishwa na utendaji kazi wake.
Hiyo itakusaidia nini wewe?
 
"Majority ya weapons nyingi za west zinafanya vizuri kwenye stone age republic"

Waulize Urusi wakati huo (USSR) kilichowakuta baada ya kujaribu kwenda One Vs One na Israel kwenye vita vya anga.

Wakati huo Israel alikua na F-4 phantom ya Mmarekani na Mirage III za Mfaransa,zilitungua Mig 21 ambazo zilikua zikiendeshwa na marubani wa kisovoeti wenyewe. MIG 21 zote za USSR zilitunguliwa bila Israel kupoteza ndege hata moja. Kwa upande wa angani hawa jamaa hawana mpinzani.

Operation iliitwa Operation Rimon 20. Jaribu kuipitia uone warusi (sovieti) walivyokula kichapo heavy.
Ni habari nzuri sana ndugu tunaomba tusaidie source ya habari yako tuelimike zaidi
 
Back
Top Bottom